Nani aliye kudanganya? Kuwa kwenye hii dunia hakuna unconditional love?
Ndo nyie ambao bado mna weak perspective na trauma za kukosa malezi bora huwa mnaingia kutafuta upendo mlio kosa kwa Wanaume and vice versa.
Ukishaona mtu anaingia kwenye mahusiano with a means to an end mentality huyo tayari anashida ndani yake. Sio mwenza tena hapo.
Mwanamke anaye jielewa hawezi kukubali mwanaume amchezee kwa nia ya kumpata hela, atajua boundaries na thamani yake, viyvo hivyo mwanaume anayejielewa hawezi toka na pussy ambayo ni gold digger.
Miksha ya fanya mahusiano yawe transactional, hapo hamna tofauti na malaya wa buza. Mmejivika ndoa tu.