Kuna namna naanza kuwaelewa wanawake

Kuna namna naanza kuwaelewa wanawake

Issue sio kuamini, tunaandika vya wahenga. Tafakari hiyo kauli, usitumie nguvu sana utaelewa.
Wahenga walilewa sana siku wanaandika hilo, hakuna logic consistency yoyote katika hiyo kauli. Na toka niko mdogo nimekuwa nikiwa soma wanawake namna wanavyoishi na kufanya maamuzi. So mbona ninapeta tu?

Mimi naona mtu ambaye bado anashikiria hizi dhana ndo yule anayeendeshwa na kutokuyatawala mazingira yake
 
Kuna mambo yana make sense na kuna mengine hayana maana. Kuna mambo yanamake sense hata kuyapa mda wako na mengine ni wastage of time na akili. Ni unaamia tu kipi uende nacho mkulungwa.
 
Kuna mambo yana make sense na kuna mengine hayana maana. Kuna mambo yanamake sense hata kuyapa mda wako na mengine ni wastage of time na akili. Ni unaamia tu kipi uende nacho mkulungwa.
Kwa hili lenye ku affect mustakabali wa future yako na wanao, si lakusema hali make any sense. Labda kama unaishi kwa mazoea!
 
Kwa hili lenye ku affect mustakabali wa future yako na wanao, si Kaku sema hali make any sense. Labda kama unaishi kwa mazoea!
Nikishajua basics na kanuni muhimu za kuishi na mwanamke, I need no more mkuu.
 
Kanuni muhimu ni kuishi na mwanamke kwa akili, wapi niongee wapi nikae kimya, nini cha kumjibu na wakati gani. Coz kitu cha kwanza kuharibu ndoa ni ulimi, mengine yanafuata tu.
Ulicho kisema wewe ni namna ya kuujishushha kwa ajili ya kufanya nyumba iwe na amani hata kama kuna Ufuska unaendelea, na nani anapenda hilo?

We were not made to come up here to stay quite for the xoence of another human being, ukiona mwanaume mkaa kimya au mwanamke mkaa kimya ndani ya nyumba jua kakubali ujinga wa mwenza wake kwa ajili ya kutaka abaki naye. Na hicho ndo hufanya ndoa au mahusiano yawe magumu zaidi.

Ni kheri kafanya jitihada kujua mtu ili asije kukufanya ukawa mtumwa kwake.
 
Sikupingi kjjana, ingia chamani tulisongeshe.
 
Hata mimi huwa nawashangaa wanaume wanaolalamika wanawake kufuata pesa kwa wanaume ilihali wanaume wengi wao nao kuna sifa huwa wanazifuata kwa wanawake na siku hizo sifa zikiisha mwanamke anapigwa chini, kwenye hii dunia hakuna unconditional love kwenye mahusiano kila jinsia inaingia kwa maslahi yake binafsi na hayo maslahi yakikosekana unaachwa, it is what it is sasa msitake ionekane kama wakifanya wanaume it's okay ila wakifanya wanawake basi ni mashetani kiuhalisia jinsia zote ni victims kwenye hilo katika namna tofautitofauti msitazame kwenye muktadha wa pesa tu
 
Sikupingi kjjana, ingia chamani tulisongeshe.
Mkuu mimi ni mtu makini sana linapokuja swala la hawa viumbe. Najitahidi lakini ussinichukulie vibaya😎
 
Ataenda atampa bodaboda mmoja bure tu bila masharti. Hamna cha security wala nini.

Wanawake ni wahaini tu. Wao ndo wangepaswa watupwe pale Ukonga wahukumiwe kunyongwa na sio Mh. Lissu.
Wewe baada ya kupigwa tukio na manzi yako Umekosa trust kabisa na wanawake sio? 😂

Ndio mwanamke a naangalia safety sana, ikiwa na maana kwamba pia linapokuja swala la wewe kuwa na hela alafu usioe attention kwake, nalo pia atatafuta huyo boda boda, wa kwenda kumpa missing love. These chicks needs you to be available too
 
Back
Top Bottom