Kuna mwanamke kazini ananichukia bila sababu

Wakuu kwema Kuna mdada kazini tulikuwa vi tukonae vizuri mwanzo
From no where akaanza kunichukia bila sababu,chuki imekuwa kubwa mpaka anisalimii
Huenda alikuhitaji uwe sehemu ya maisha yake, ila ikawa tofauti na matarajio yake. Hili huwa ni chanzo kikubwa sana.
 
Wakuu kwema Kuna mdada kazini tulikuwa vi tukonae vizuri mwanzo
From no where akaanza kunichukia bila sababu,chuki imekuwa kubwa mpaka anisalimii
Nashindwa kumuelewa wakati mimi ni mkuu wake wa kazi
Nawaza labda anataka dudu la yuyu
Kama wewe ni mkubwa wake kazini lazima uelewe chanzo ni nini? Usifiche.

Kama huelewi na hukijuwi basi hufai kuwa mkubwa wake kazini, mwachishe kazi au wewe wacha kazi.
 
IMG_0099.jpg

Kwahyo wewe
Dudu la yuyu huna?
 
Duh hata Mimi yupo Manzi ananichukia sana, mwanzoni tulikuwa mabest sana.... Hila sikuwahi kuwaza kumtongoza hata siku Moja. Kwa Sasa aninichukia mno
 
Wakuu kwema Kuna mdada kazini tulikuwa vi tukonae vizuri mwanzo
From no where akaanza kunichukia bila sababu,chuki imekuwa kubwa mpaka anisalimii
Nashindwa kumuelewa wakati mimi ni mkuu wake wa kazi
Nawaza labda anataka dudu la yuyu
Pengine kuna story kaisikia
Na wewe kwenye stori ulimess up

Humu maofisini humu!!
Tufanye tu kazi za watu turudi nyumbani kulala.
Mtu anaweza kukutengenezea stori mpk ushangae
 
mimi kuna dada mmoja jiran yangu . dah ananipakazia mambo mengi eti mimi malaya cha ajabu sinaga mazoea nae na na mheshimu kama dadaangu. juzi ndoo katia balaa kasema eti natembea na mmama mmoja hivi ambae ni kama mamangu mzazi hadi wife akacheka sana kuwa huyu mdada kazidi sasa . ila mimi wala sioneshi kumchukia wala nini sema wafe ndoo hata hawaongei tena walikuwa ma best sana

Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
 
Wakuu kwema Kuna mdada kazini tulikuwa vi tukonae vizuri mwanzo
From no where akaanza kunichukia bila sababu,chuki imekuwa kubwa mpaka anisalimii
Nashindwa kumuelewa wakati mimi ni mkuu wake wa kazi
Nawaza labda anataka dudu la yuyu
Kuna mdada umemuweka karibu zaidi hajapenda
 
Mwanamke kama huna undugu nae wowote hawezi kukuchukia nje ya sababu za kihisia za kimapenzi. Hawa viumbe wako emotional sana na wana mioyo dhaifu sana
 
mimi kuna dada mmoja jiran yangu . dah ananipakazia mambo mengi eti mimi malaya cha ajabu sinaga mazoea nae na na mheshimu kama dadaangu. juzi ndoo katia balaa kasema eti natembea na mmama mmoja hivi ambae ni kama mamangu mzazi hadi wife akacheka sana kuwa huyu mdada kazidi sasa . ila mimi wala sioneshi kumchukia wala nini sema wafe ndoo hata hawaongei tena walikuwa ma best sana

Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
Inaonesha alitaka kumpora shoga yake
 
Muweke kwenye visemina, ikitokea mafunzo mpendekeze afu jikaushe wewe onesha kua hamna tofsuti yeyote

Nafsi itamsuta tu
 
Back
Top Bottom