Kuna mwanamke kazini ananichukia bila sababu

Kuna mwanamke kazini ananichukia bila sababu

Sisi ni watumishi wa afya ,mimi ni mkuu wake wa kituo .
Mimi ni AMO yeye ni ANO
Hii ni kazi yangu ya kwanza serikalini ,japo nilifanya Sana privates kabla sijaingia serikalini.
Nilitaka kuona ikiwa anaamini anastahili kua juu yako.

Umezuia upigaji deal hapo kituoni? Ukipiga deals unamhusisha?
 
Asante kwa ushauri ,japo kwa upande wangu nilipunguza kumtuma na kumpa fursa za semina .
Lakini naona anazid kunichukia Zaid, nilishawahi kumuandikia barua lakini hajawahi kujirekebisha .
Kwa experience yangu naona hivi ninavyoishi nae ni sahihi ,kwa sababu nakwepa mambo mengi Sana.
Ebu fikiria unaweza kujitoa ufahamu halafu akakujibu vibaya ,ukashindwa kujicontrol ukimgusa tu jua tayari umeyakanyaga
Fanya nilivyokwambia kaa nae mbali ishi nae hivyo hivyo siku akiona azioni damu zake kule chini atakaa sawa,
 
Kuchukiwa lazima kuwe na sababu, ziweke hapa tukusaidie maana wewe unajua nini chanzo
Funguka tukupe michango yetu na ushauri
Bila hivyo tutapiga ramli tu
 
Nilitaka kuona ikiwa anaamini anastahili kua juu yako.

Umezuia upigaji deal hapo kituoni? Ukipiga deals unamhusisha?
Sijabana Sana ila walau nimebanana ,
Wakati naingia mapato yalikuwa hayafiki laki 2
Lakini now tunachezea mil 3.5
Dili zangu nyingi zinatokana na jinsi ninavyokusanya .
Mimi ni mkuu wa kituo ,kazi za kujiripa ni nyingi .
Yaani nikipigika naenda tu hata kutoa elimu sehemu fulani .
Najiandikia per dm
Wenyewe maokoto nimewaachia baadhi ya sehemu ila ndio hivyo inahitaji kujituma Sana.
 
JD yako inakupa mamlaka ya kumuwajibisha?
Inanipa mamlaka ya kumpa onyo ,
Na kumuandikia makosa yake kwa barua ,asipobadilika ninamshtaki kwa ngazi za juu .
Hivyo anaweza kuhamishwa kwa utovu wa nidhamu
 
Wakuu kwema Kuna mdada kazini tulikuwa vi tukonae vizuri mwanzo
From no where akaanza kunichukia bila sababu,chuki imekuwa kubwa mpaka anisalimii
Nashindwa kumuelewa wakati mimi ni mkuu wake wa kazi
Nawaza labda anataka dudu la yuyu
Fanya kilichokutuma kazini. Akikuchunia ni maamuzi yake wewe piga kazi wala usijichanganye kumtafuta zaidi. Women look like snake some time the hide to bite you and that is the end of you.
 
Kuchukiwa lazima kuwe na sababu, ziweke hapa tukusaidie maana wewe unajua nini chanzo
Funguka tukupe michango yetu na ushauri
Bila hivyo tutapiga ramli tu
Nadhani ni sababu ya promotion ,kwangu mimi fursa zinampata anaefanya kazi na tunaona matokeo
Wewe kila sehemu una haribu ,utapenda kwenda semina tu ,ila ukitoka huko una relax .
Hufanyii kazi uliyofundishwa huko .
 
Kwa hiyo ni wivu kazini
Wewe chapa kazi
Kama hakuwekei sahani mezani
 
Fanya kilichokutuma kazini. Akikuchunia ni maamuzi yake wewe piga kazi wala usijichanganye kumtafuta zaidi. Women look like snake some time the hide to bite you and that is the end of you.
Watu wa kituo cha afya wakiwa hawaelewani wagonjwa itakuaje? Vifo vipi?
 
Sijabana Sana ila walau nimebanana ,
Wakati naingia mapato yalikuwa hayafiki laki 2
Lakini now tunachezea mil 3.5
Dili zangu nyingi zinatokana na jinsi ninavyokusanya .
Mimi ni mkuu wa kituo ,kazi za kujiripa ni nyingi .
Yaani nikipigika naenda tu hata kutoa elimu sehemu fulani .
Najiandikia per dm
Wenyewe maokoto nimewaachia baadhi ya sehemu ila ndio hivyo inahitaji kujituma Sana.
Mi naona balaa linaanzia hapa.
 
Duuhh, mie Kuna Mmoja Jana Pissi kaliii.

Nmeenda kutoa Pesa Kwa Ofisi yake .

Nashangaa mida ya saa moja, namba ngen inanipigia.

Mara meseji, ndo ananiuliza... Wee ni Mkaka ulotoa Pesa kwangu muda mfupi ulopita???.

Nikajibu Ndio .... Et ananiambia ..óhooo Samahan kama nmekusumbua .

🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom