Kuna mwanamke kazini ananichukia bila sababu

Kuna mwanamke kazini ananichukia bila sababu

Wakuu kwema Kuna mdada kazini tulikuwa vi tukonae vizuri mwanzo
From no where akaanza kunichukia bila sababu,chuki imekuwa kubwa mpaka anisalimii
Nashindwa kumuelewa wakati mimi ni mkuu wake wa kazi
Nawaza labda anataka dudu la yuyu
Dawa yake ni moja tu na ni muhimu sana.

Wewe mpende zaidi sasa.....

Na Mwenyezi Mungu atakubariki na kukuangazia makubwa usiyoyajua dhidi yake
 
Dawa yake ni moja tu na ni muhimu sana.

Wewe mpende zaidi sasa.....

Na Mwenyezi Mungu atakubariki na kukuangazia makubwa usiyoyajua dhidi yake
Asante kwa ushauri ,japo kwa upande wangu nilipunguza kumtuma na kumpa fursa za semina .
Lakini naona anazid kunichukia Zaid, nilishawahi kumuandikia barua lakini hajawahi kujirekebisha .
Kwa experience yangu naona hivi ninavyoishi nae ni sahihi ,kwa sababu nakwepa mambo mengi Sana.
Ebu fikiria unaweza kujitoa ufahamu halafu akakujibu vibaya ,ukashindwa kujicontrol ukimgusa tu jua tayari umeyakanyaga
 
Boss ndio una andika kama hivi!

Natamani niwaone ao wafanyakazi walio chini yako.
Yote kwa yote, tafadhali kaa mbali na wanawake maeneo ya kazini.
Mimi kwa upande wangu naona nime emprove Sana kwenye kuandika .
Everything need exercise ,unaweza kuwa msomi mzuri lakini usijue kupangilia vizuri maneno
Napenda Sana kusahihishwa
 
Asante kwa ushauri ,japo kwa upande wangu nilipunguza kumtuma na kumpa fursa za semina .
Lakini naona anazid kunichukia Zaid, nilishawahi kumuandikia barua lakini hajawahi kujirekebisha .
Kwa experience yangu naona hivi ninavyoishi nae ni sahihi ,kwa sababu nakwepa mambo mengi Sana.
Ebu fikiria unaweza kujitoa ufahamu halafu akakujibu vibaya ,ukashindwa kujicontrol ukimgusa tu jua tayari umeyakanyaga
Barua kuwa aache kukuchukia?
 
Back
Top Bottom