ELI COHEN JF-Expert Member Joined Jun 19, 2023 Posts 9,375 Reaction score 28,484 Dec 23, 2025 #1 Jamaa mjanja sana baada ya huo uzi hajawaahi tena kuonekana na hicho kitabu hakuwahi kukisema, 😂😂 Jf is a mystery sometimes
Jamaa mjanja sana baada ya huo uzi hajawaahi tena kuonekana na hicho kitabu hakuwahi kukisema, 😂😂 Jf is a mystery sometimes
Holoholo JF-Expert Member Joined May 10, 2023 Posts 6,725 Reaction score 13,747 Dec 23, 2025 #2 Nauza majini ya utajiri kwa bei poa,karibu imbox tuyajenge.
Mjusi Sharobalo JF-Expert Member Joined Sep 4, 2025 Posts 7,442 Reaction score 12,709 Dec 23, 2025 #3 Njaa huwa inawapa watu ujasili wa kuandika vitu vya ajabu sana kusudi kuwakamata watu kwenye beseni.
ELI COHEN JF-Expert Member Joined Jun 19, 2023 Posts 9,375 Reaction score 28,484 Dec 23, 2025 Thread starter #4 General Ngona said: Nauza majini ya utajiri kwa bei poa,karibu imbox tuyajenge. Click to expand... 🤣🤣
General Ngona said: Nauza majini ya utajiri kwa bei poa,karibu imbox tuyajenge. Click to expand... 🤣🤣