Kuna muda natamani kuuliza kuwa kwanini Mwigulu anajibu hoja dhaifu (sana) jukwaani ila naogopa naweza kutekwa

Joined
May 23, 2022
Posts
92
Reaction score
339
“Uranium haiwezi kuwa na umuhimu kwa watu ambao hawajui afya zao zitarejeshwaje wakiugua. Watoto wao wanasoma mazingira ya duni.......”

Mfano hoja ya “wanaomezea mate madini ya uranium”. Kulikuwa na haja gani ya kuizungumza jukwaani wakati hao wanaomsikiliza wanashida ya maji toka dunia kuumbwa?

Ni kweli uranium ni muhimu lakini unapata wapi nguvu ya kujadili suala la mabilioni wakati wananchi wana njaa? Mwenye njaa anawaza kushiba kwanza kabla ya kuleta hoja kuwa uranium ni muhimu.

Uranium haiwezi kuwa na umuhimu kwa watu ambao hawajui afya zao zitarejeshwaje wakiugua. Watoto wao wanasoma mazingira ya duni, wazazi wamepoteza watoto wao kwa mauaji ya kikatili, wafanyabiashara wana kodi lundo, vijana hawana ajira na bahati mbaya hawawezeshwi kujitegemea,

Hakuna uwajibikaji kwa viongozi wanaotumia madaraka yao vibaya, mafisadi hawapelekwi mahakamani. Mahakama si huru. Wananchi hawana imani na jeshi la polisi na JWTZ. Nk

Ningeandika mengi lakini nahofia nikisema nitapotezwa na ndio kwanza naelekea miaka 27 mwezi January na sina mtoto.
 
Waziri mkuu anazunguka juani kuzungumzia ishu ndogondogo za wasanii.
Majukumu ya uwaziri mkuu ni kuonesha dira ya maendeleo ya wananchi sio kuimba taarabu na vijembe , huyu ndiye waziri mkuu hovyo TANZANIA na sioni tija ya ziara zake za kijinga
 
“Uranium haiwezi kuwa na umuhimu kwa watu ambao hawajui afya zao zitarejeshwaje wakiugua. Watoto wao wanasoma mazingira ya duni.......”

Mfano hoja ya “wanaomezea mate madini ya uranium”. Kulikuwa na haja gani ya kuizungumza jukwaani wakati hao wanaomsikiliza wanashida ya maji toka dunia kuumbwa?

Ni kweli uranium ni muhimu lakini unapata wapi nguvu ya kujadili suala la mabilioni wakati wananchi wana njaa? Mwenye njaa anawaza kushiba kwanza kabla ya kuleta hoja kuwa uranium ni muhimu.

Uranium haiwezi kuwa na umuhimu kwa watu ambao hawajui afya zao zitarejeshwaje wakiugua. Watoto wao wanasoma mazingira ya duni, wazazi wamepoteza watoto wao kwa mauaji ya kikatili, wafanyabiashara wana kodi lundo, vijana hawana ajira na bahati mbaya hawawezeshwi kujitegemea,

Hakuna uwajibikaji kwa viongozi wanaotumia madaraka yao vibaya, mafisadi hawapelekwi mahakamani. Mahakama si huru. Wananchi hawana imani na jeshi la polisi na JWTZ. Nk

Ningeandika mengi lakini nahofia nikisema nitapotezwa na ndio kwanza naelekea miaka 27 mwezi January na sina mtoto.
Kama una miaka 27 na unatamani ufikishe miaka zaidi ya tisini kama sisi basi acha kukosoa.unaowakosoa watachukia wakunyakue kama mwewe anavyonyakua vifaranga vya kuku
 
“Uranium haiwezi kuwa na umuhimu kwa watu ambao hawajui afya zao zitarejeshwaje wakiugua. Watoto wao wanasoma mazingira ya duni.......”

Mfano hoja ya “wanaomezea mate madini ya uranium”. Kulikuwa na haja gani ya kuizungumza jukwaani wakati hao wanaomsikiliza wanashida ya maji toka dunia kuumbwa?

Ni kweli uranium ni muhimu lakini unapata wapi nguvu ya kujadili suala la mabilioni wakati wananchi wana njaa? Mwenye njaa anawaza kushiba kwanza kabla ya kuleta hoja kuwa uranium ni muhimu.

Uranium haiwezi kuwa na umuhimu kwa watu ambao hawajui afya zao zitarejeshwaje wakiugua. Watoto wao wanasoma mazingira ya duni, wazazi wamepoteza watoto wao kwa mauaji ya kikatili, wafanyabiashara wana kodi lundo, vijana hawana ajira na bahati mbaya hawawezeshwi kujitegemea,

Hakuna uwajibikaji kwa viongozi wanaotumia madaraka yao vibaya, mafisadi hawapelekwi mahakamani. Mahakama si huru. Wananchi hawana imani na jeshi la polisi na JWTZ. Nk

Ningeandika mengi lakini nahofia nikisema nitapotezwa na ndio kwanza naelekea miaka 27 mwezi January na sina mtoto.
Tanzania ina kiasi cha Uranium kidogo sana, ipo nafasi ya 38 katika dunia hii, inayo tani 58 elfu wakati nchi ya kwanza ambayo ni Australia inayo tani millioni 3, hakuna nchi inayomezea mate tani 58 elfu wakati kuna nchi zinachimba mamilioni ya tani. Msidanganywe na propaganda za Mwigulu Nchemba. Tunataka watoe miili ya ndugu zetu watanganyika waliouawa na huyo bibi kizee...Kigagula cha Kizimkazi.
 
“Uranium haiwezi kuwa na umuhimu kwa watu ambao hawajui afya zao zitarejeshwaje wakiugua. Watoto wao wanasoma mazingira ya duni.......”

Mfano hoja ya “wanaomezea mate madini ya uranium”. Kulikuwa na haja gani ya kuizungumza jukwaani wakati hao wanaomsikiliza wanashida ya maji toka dunia kuumbwa?

Ni kweli uranium ni muhimu lakini unapata wapi nguvu ya kujadili suala la mabilioni wakati wananchi wana njaa? Mwenye njaa anawaza kushiba kwanza kabla ya kuleta hoja kuwa uranium ni muhimu.

Uranium haiwezi kuwa na umuhimu kwa watu ambao hawajui afya zao zitarejeshwaje wakiugua. Watoto wao wanasoma mazingira ya duni, wazazi wamepoteza watoto wao kwa mauaji ya kikatili, wafanyabiashara wana kodi lundo, vijana hawana ajira na bahati mbaya hawawezeshwi kujitegemea,

Hakuna uwajibikaji kwa viongozi wanaotumia madaraka yao vibaya, mafisadi hawapelekwi mahakamani. Mahakama si huru. Wananchi hawana imani na jeshi la polisi na JWTZ. Nk

Ningeandika mengi lakini nahofia nikisema nitapotezwa na ndio kwanza naelekea miaka 27 mwezi January na sina mtoto.
Huyo jamaa uwezo wake ni mdogo.

Uranium yenyewe atapewa Rosttamu au watapigiana madeal wao wenyewe
 
Sawa tutafika huko ILA HATUWEZI KUFIKA HUKO KWA KUWA NA NYUMBU AMBAO HAWAJITAMBUI
Huko hatutafika kwa utashi wenu, bali tutafika kwa lazima. Kama mliamini kuna nyumbu, basi mlikuwa mnajidanganya maana watu walikuwa waoga kwa kukosa ujasiri, kwa sasa ujasiri upo wa kutosha, ni silaha za moto tu zinakosekana.

Msigwa alikuwa anasema watu wana id nyingi huku mitandaoni, hivyo unaweza kudhani watu ni wengi. Je kwa sasa bado unaamini mtu anaweza kumiliki id kibao na zote zikawa zinachangia kwa uwiano? Ertugrul Bey
 
“Uranium haiwezi kuwa na umuhimu kwa watu ambao hawajui afya zao zitarejeshwaje wakiugua. Watoto wao wanasoma mazingira ya duni.......”

Mfano hoja ya “wanaomezea mate madini ya uranium”. Kulikuwa na haja gani ya kuizungumza jukwaani wakati hao wanaomsikiliza wanashida ya maji toka dunia kuumbwa?

Ni kweli uranium ni muhimu lakini unapata wapi nguvu ya kujadili suala la mabilioni wakati wananchi wana njaa? Mwenye njaa anawaza kushiba kwanza kabla ya kuleta hoja kuwa uranium ni muhimu.

Uranium haiwezi kuwa na umuhimu kwa watu ambao hawajui afya zao zitarejeshwaje wakiugua. Watoto wao wanasoma mazingira ya duni, wazazi wamepoteza watoto wao kwa mauaji ya kikatili, wafanyabiashara wana kodi lundo, vijana hawana ajira na bahati mbaya hawawezeshwi kujitegemea,

Hakuna uwajibikaji kwa viongozi wanaotumia madaraka yao vibaya, mafisadi hawapelekwi mahakamani. Mahakama si huru. Wananchi hawana imani na jeshi la polisi na JWTZ. Nk

Ningeandika mengi lakini nahofia nikisema nitapotezwa na ndio kwanza naelekea miaka 27 mwezi January na sina mtoto.
Hakuna Waziri hapo. Madudu ya CCM yameanza kabla ya uranium
 
Back
Top Bottom