Kwa ' Uhuni ' huu tuliofanyiwa Watanzania na Taifa Stars yetu huko nchini Burundi, Jumapili ya tarehe 8 nasi tuna haki ya Kulipiza Kisasi

cleverbright

JF-Expert Member
Apr 2, 2015
1,779
2,000
1. Wamempiga Mwandishi wa Habari wa Michezo Mohamed Zubery ( wa kutoka Mtandao wa Bin Zubeiry ) pamoja na kuwaweka ndani Kituoni Yeye na Mwandishi mwenzake Oscar Oscar ( kutoka Efm na Dstv ) na Meneja wa Timu ya Taifa Daniel Msangi na Kumuharibia Vifaa vyake vya Kazi.

2. Askari waliokuwepo Uwanjani walimfuata Mtanzania aliyekuwa akilinda Vyumba vya Wachezaji wetu na wakamtishia na Silaha na wakamuondoa kwa nguvu.

3. Wakati Mchezo wa Taifa Stars ( Tanzania ) na Intamba Murugamba ( Burundi ) ukiendelea ' Makomandoo ' wa Burundi waliingia katika Vyumba vya Kubadilishia Nguo Wachezaji na Kumwaga Sumu ili Kuwadhoofisha Wachezaji wetu hali iliyosababisha Timu isiingie Vyumbani wakati wa Mapumziko.

4. Waandishi wa Habari wa Michezo walioongozana na Timu wamenyanyasika mno Uwanjani.

5. Mashabiki hasa wale ' Makomandoo ' wao waliufanyia Fujo Msafara wa Viongozi wa TFF uliokuwa ukiongozwa na Msemaji wa TFF Clifford Ndimbo.

6. Timu yetu imefanyiwa Vitendo vingi na vya Ajabu vya Kishirikina tena wazi wazi kabisa.

7. Watanzania waliokuwepo pale Uwanjani wametukanwa Matusi makubwa na ya Nguoni na Waburundi utadhani Sisi Tanzania hatujawasaidia katika Amani yao na hatujawatunzia Wakimbizi wao.

Tunaiomba Serikali ya Tanzania iwe Kimya na ituvumilie kidogo Sisi ' Mashabiki Mafia ' wa Soka la Tanzania ili nasi tujibu Mapigo kwa Waburundi Siku ya Jumapili ya tarehe 8 Septemba pale watakapokuja kurudiana nasi Jijini Dar es Salaa katika Uwanja wa Mkapa ( zamani kwa Mchina ) na wakirejea Kwao Bujumbura nchini Burundi wataenda Kuwahadithia Wenzao.

Watanzania ifike mwisho sasa Kujifanya ni Wakarimu sana kwa Wageni wanapokuja nchini Kwetu kwa Kigezo cha kwamba Sisi ni Wastaarabu na hapa ni Kisiwa cha Amani. Kumbukeni Mipira ya sasa ni Vita hivyo Mapambano huwa yanatakiwa kuwa ni ya ndani na nje ya Uwanja hivyo hakuna kuwaonea Huruma hawa Waburundi bali nasi tulipize Kisasi kwa kuwafanyia Unyama kuliko Wao.
 
M-mbabe

JF-Expert Member
Oct 29, 2009
11,097

sidhani kama Watanzania wanao muda wa kupoteza kwa ajili ya hii timu ya kina Bashite!
 
jerrybanks

JF-Expert Member
Jan 4, 2017
2,158

nakuunga mkono mkuu nadhani ntakuwa wa kwanza kukinukisha
 
kiLimIlire

JF-Expert Member
Apr 8, 2012
282
1,000
kwani mchezo umemalizikaje? kwa yaliyofanyika AFCON, sipati nguvu ya kufuatilia safari yao ya WORLD CUP
 
cleverbright

JF-Expert Member
Apr 2, 2015
1,779
2,000
kwani mchezo umemalizikaje? kwa yaliyofanyika AFCON, sipati nguvu ya kufuatilia safari yao ya WORLD CUP
Sasa kama mpaka Usiku huu hujui matokeo ya Taifa Stars una uhalali wa Kujiita kweli Wewe ni Mtanzania au labda ' tukulengeshe / tukuchomeshe ' kwa UHAMIAJI Tanzania ili wakurudishe Kwenu Blantyre Malawi au Cabo Delgado Msumbiji na utuachie Tanzania yetu?
 
Norton82

JF-Expert Member
Jul 3, 2016
668

🙆🏽‍♂️🙆🏽‍♂️
 
kiLimIlire

JF-Expert Member
Apr 8, 2012
282
1,000
...na utuachie Tanzania YETU?
Kumbe kuna mnaojidhania hii nchi ni ya kwenu kuliko wengine, una wazimu wewe!! Baada ya Simba kutolewa Klabu Bingwa hatuna tena timu ya kutupa raha ya soka msimu huu. Kama na wewe umepigwa huko Burundi ni sehemu ya majukumu yalokupeleka, so siku nyingine unaweza kuacha kwenda sio kushitaki shitaki kila jambo.
 
kalagabaho

JF-Expert Member
Nov 4, 2010
5,221
2,000
Basi tulivyo wajinga tutawekeza nguvu zetu zote ktk kufanya fujo badala ya kuhamasisha kushangilia timu yetu ishinde matokeo yake tutagongwa na kutolewa halafu tutabaki na ushindi wetu mkubwaa wa kufanya fujo .. nyie waandishi wa kibongo acheni huo ujinga andikeni kuhamasisha watu waingie uwanjani kushangilia na sio kwenda kuwapiga warundi mawe. narudia tena acheni ujinga
 
namba force

JF-Expert Member
Nov 18, 2017
711
500
1. Wamempiga Mwandishi wa Habari wa Michezo Mohamed Zubery ( wa kutoka Mtandao wa Bin Zubeiry ) pamoja na kuwaweka ndani Kituoni Yeye na Mwandishi mwenzake Oscar Oscar ( kutoka Efm na Dstv ) na Meneja wa Timu ya Taifa Daniel Msangi na Kumuharibia Vifaa vyake vya Kazi.

2. Askari waliokuwepo Uwanjani walimfuata Mtanzania aliyekuwa akilinda Vyumba vya Wachezaji wetu na wakamtishia na Silaha na wakamuondoa kwa nguvu.

3. Wakati Mchezo wa Taifa Stars ( Tanzania ) na Intamba Murugamba ( Burundi ) ukiendelea ' Makomandoo ' wa Burundi waliingia katika Vyumba vya Kubadilishia Nguo Wachezaji na Kumwaga Sumu ili Kuwadhoofisha Wachezaji wetu hali iliyosababisha Timu isiingie Vyumbani wakati wa Mapumziko.

4. Waandishi wa Habari wa Michezo walioongozana na Timu wamenyanyasika mno Uwanjani.

5. Mashabiki hasa wale ' Makomandoo ' wao waliufanyia Fujo Msafara wa Viongozi wa TFF uliokuwa ukiongozwa na Msemaji wa TFF Clifford Ndimbo.

6. Timu yetu imefanyiwa Vitendo vingi na vya Ajabu vya Kishirikina tena wazi wazi kabisa.

7. Watanzania waliokuwepo pale Uwanjani wametukanwa Matusi makubwa na ya Nguoni na Waburundi utadhani Sisi Tanzania hatujawasaidia katika Amani yao na hatujawatunzia Wakimbizi wao.

Tunaiomba Serikali ya Tanzania iwe Kimya na ituvumilie kidogo Sisi ' Mashabiki Mafia ' wa Soka la Tanzania ili nasi tujibu Mapigo kwa Waburundi Siku ya Jumapili ya tarehe 8 Septemba pale watakapokuja kurudiana nasi Jijini Dar es Salaa katika Uwanja wa Mkapa ( zamani kwa Mchina ) na wakirejea Kwao Bujumbura nchini Burundi wataenda Kuwahadithia Wenzao.

Watanzania ifike mwisho sasa Kujifanya ni Wakarimu sana kwa Wageni wanapokuja nchini Kwetu kwa Kigezo cha kwamba Sisi ni Wastaarabu na hapa ni Kisiwa cha Amani. Kumbukeni Mipira ya sasa ni Vita hivyo Mapambano huwa yanatakiwa kuwa ni ya ndani na nje ya Uwanja hivyo hakuna kuwaonea Huruma hawa Waburundi bali nasi tulipize Kisasi kwa kuwafanyia Unyama kuliko Wao.
Tupange location ya maandalizi maanake haiwezekani South tupigwe na Burundi tunyanyaswe ngoja sasa tutaona
 
Tate Mkuu

JF-Expert Member
Jan 24, 2019
3,918
2,000
Ila fitina kwenye michezo zina raha yake aisee. Natamani na TFF na vilabu navyo vikaanza kujifunza kutoka kwa wenzetu walio bobea kwenye huo utaalamu.

Niliwaona jana Stars wakiwa wamegwaya kabisa kuingia kwenye vyumba vya kubadili nguo! na hatujua watachukuliwa hatua gani na huku usikute jamaa hawakufanya chochote cha maana, zaidi ya kutaka tu kuwatoa wapinzani wao nje ya mchezo.
 
Majan

JF-Expert Member
Jul 2, 2015
702
1,000
Mi Naomba tu kujua ivi ule uwanja wakule Burundi 2lioutumia kucheza nao jana je ndio uwanja wao wataifa.? Mana unaonekana kama hivi viwanja vyetu vya mikoani tu
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom