Kuna mtu anaomba ushauri amepata content

Kuna mtu anaomba ushauri amepata content

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
23,634
Reaction score
57,009
Kuna Jamaa ana kipaji ila anauliza ata create account Kwa njia gani ili zikalink zote akawa anapata hela Kwa views anachotaka kujua account ili ulipwe hela Kwa views lazima atengenezewe na watalaam wa IT au hata yeye anaweza kukamilisha mchakato wote. Iwe fb iwe Instagram iwe Twitter iwe YouTube iwe tiktok ilimradi apate tu hela.
 
akitengeneza acc mpaka afike muda wa kula hela atachelewa anunue tu
 
Wataalamu mkuje mtupe muongozoo wa hii kitu aise tunufaike wt na Whatsapp pia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom