kindikinyer leborosier
JF-Expert Member
- Jan 6, 2018
- 497
- 951
Idumu jamii forum... kidumu kitongoji cha MMU
:
:
HII NI STORI YA RAFIKI YANGU NIMEAMUA NIWASHIRIKISHE NIMPE USHAURI ULIO SAHIHI KWAKE,,,
:
kuna huyu mwanamke nimedumu nae kwenye mahusiano kwa muda mrefu ikafikia hatua tukaachana,,, naomba niwashirikishe ndugu zangu walau naweza pata mengi kutoka kwenu..
:
:Nilipofahamiana nae:
alikua ni rafiki yake na mdogo wangu kipindi nipo shule ya msingi walikua wakija wote nyumbani, waliendelea hivi mpaka walipofika sekondari, mimi niliwazidi kwa miaka mitatu hivi, kwa muda wote huo alikua akinitambua kama kaka yake, na sikuwahi kabisa kufikiria mapenzi kwake... muda ulivyozidi kwenda nilikuja kumpenda rafiki ambae waliku wakisoma naye, ambae nae nitakuja kuwashirikisha walau, nipate mawazo yenu.....
:
:muda ulizidi kwenda hatimae nilihitimu kidato cha nne, nilisoma shule ya wavulana na ilikua mbali sana na mkoa wangu, hivyo likizo tuu ndo tulikua tukikutana,,, nilipomaliza kidato cha nne nilirudi nyumbani nikamkuta nyumbani wamefunga shule, muda huo nae alikua sekondari kidato cha pili... alianza kubadilika na kunichngamkia hasa alipogundua sikua nikimuwaza.
:
:
hiki kipindi mdogo wangu alikua hajafunga hivyo nymbani tulikua mimi na yeye na mdogo wetu wa mwisho ambaye yeye alikua hajaanza shule kwa kipindi hicho, kiukweli aisee alikua akiniona sipo nae close sana, alikua hajanizoea na mimi hivyohivyo.
wakati nafungua mabegi nikague vitabu vyangu mara akaja akaniomba mapepa na vitabu ambavyo nilikua navyo... hapa ndio mazungumzo yakaanza,, aisee alikua mchangamfu mno, ule usiku akaniomba nikanunue karata tuje tucheze akinichimba mkwara kua sitamfunga, na kweli tulicheza mpaka usiku mkali, alinishinda goli moja, ikabidi tukalale..
:
:
maisha yalienda hatiamae nikapangiwa kwenda A-level nayo ilikua shule ya wavulana.. mkoa wa Pwani... nikawa nimepotezana nae,,, ila kidogo ubizy kwangu uliongezeka, nilimaliza kidato cha sita, matokeo kwangu yalikua mazuri, ila kwake akawa hajapata nafasi ya kuendelea.... mwanzo kipindi cha kusubiri matokeo tulikua tukichat sana, mpk muda mwingine nilikua nikimuaga mimi,,hivyo matokeo yalivyokuja hivyo, ikawa mimi ndie mtu wake wa karibu alikua akishare kila kitu....
nilimshauri sana,, na hatimae tukakubaliana akasome diploma Tabora, mimi nikaanza chuo mwaka wa kwanza, tukapotezana tena.. mpaka nilipokua mwaka wa pili akanipata tena nilikua nimepoteza simu, mawasiliano yakaendelea.....
:
:
RELATION INAANZA BILA MIMI KUTEGEMEA
siku moja weekend nilikua nipo rum naangalia muvie, bas mara text ikaingia ilikua ni salamu tuu, mara nilivyoona tunachata sana nikamuuliza unafanya nini? akanijibu natazama muvie, kama mimi nilivykua nafanya... nikamjibu muvie zinahitaji hisia bora ukomae huko, kusema neno hisia ikawa hapo ndo mwanzo wa kuanza kuongea relation, nikaona bora nimtongoze japo nilijua nipo bzy sana kuchat labda weekend...
akakataa akasema mpka afikirie nilishukuru nimekwepa maana muda ule siku tayari kua in relation na isitoshe yupo ambae alikua akinizungua... akanambia usiku atanijibu,,, muda umeenda nikasahau kumbe alikua akisubiri nimtafute, sikufanya hivyo mara saa tano akanipigia simu,, akaniuliza mbona hukunitafuta??? nikajitetea pale bas akaanza kunipa nasaha nisije kumuumiza wala kumcheat, na kuniambia amekubali,,,,
maisha yakaanza pale ya relation, nilikua nipo bzy sana na coz.... watu kila term walikua wana disco, sikutaka nimpe hata chembe na kuna siku aliniambia X- wake anamsumbua anataka warudiane, nilimjibu kama anampenda warudiane, sikupend drama kabisa halafu physically tulikua mbali,,,,
NAANZA KUMWAZA TOFAUTI
mara kidogo akawa analazimisha tuonane, hapo karibia miaka mitano hatujaonana,,, kiukweli ilikua vigumu lakini alifunga safari wakati narudi likizo tukakutana... ni mbali sana kutoka chuoni kwao,,, aisee kidogo nilianza kufikiria pengine ananipenda....
tukio lingine nilistuka kuna siku nililala mapema kuamka asubuhi na kuta misscal nyingi mpaka za marafiki zangu wa chuo kingine na mesej kua alinitafuta,, anauliza nilikua wapi... mmmh kidogo nilishangaa maana sikudhani kama mapenzi yangekua hvyo......
maisha yaliendelea hatimae nikamaliza chuo mwaka wa nne,,,, nae akamaliza diploma... akagoma kuendelea... nikamsisitiza... akakubali... mpaka muda huu yupo mwaka wa mwisho...
NAMWACHA BILA KUMWAMBIA SABABU....
wakati nipo mwaka wa mwisho nilikuja shtuka alikua na mpenzi mwingine kule, na mwanza alikua na mpenz mwingine, arusha alikua na mpenz mwingine,,, ila hajawahi hata siku moja kutafutwa tukiwa wote...
hii ilitokea siku moja kuna picha nilipost fb,,, akashare baada ya muda kuna marafiki zake wakaanza kuchat na mimi wakinambia anampenzi huko, aisee kilichoniuma walintumia picha wamevaa tishet zinafanana... hahahaahahahaah
life goes nilimwambia yaishe.. hii ilikua 2016... miaka mitano in relation,,, alilia sana, ila sikumwonea huruma na sikujua kumbe alikua kwenye mitihani... alikuja kuniambia.. basi nkamwambia akae kimya na wala asiwaze mimi sikua na mpenzi,,, nataka tuu muda wa kutulia... akaapa hawezi kuniacha na akija kujua mwanamke nilie nae ATAMUUA,,,, sikumwambia bado sababu....
mwaka mzima bado nilikua kimya lkn alikua akinitafuta,,,, nikawa nimepata nafasi ya kwenda kufanya kazi Mwanza,, nikaona nimsamehe ila nimwambie ukweli,,, nilimpostia picha zote za watu wake coz nilizisave googl.... alishangaa sana na hapo nilishajitoa kwenye mitandao yote na namba nimebadilisha.....
baada ya hayo mambo yalibadilika... kwa muda huo alikua ameanza chuo mwaka wa kwanza,,, ikawa sasa anataka kunikomoa...
1. alimwambia mdogo wangu nampenda sana na siwezi kumwacha...
2. text zangu mdogo waangu alikua akizisoma na alikua akifahamu mpaka alipokua akija kwangu , ila kwa ndugu zake alikua hataki wanifahamu..
3. baada ya kumrudia sasa nikawa nataka tuanze upya akawa text hajibu... ukimpigia hapokei,,, kuna siku nikamtukana,,, maana ilifikia mpk anaect ugonjwa, sijui ili iweje...
4.mdogo wangu alikua akijua vyote ila amenificha... alikua mpk anamchuna askari flani,,, daaaaah aisee hapa ni pabaya sana,,,,
5. akanambia yeye ni mwanamke kwa sasa anagharama ambazo hawezi mwambia baba yake,,, mpesa kulikua na laki 4, nikamtumia laki 2... jioni yake akanambia dada yake kapoteza mil 1 bank kwenye follen,,, nilivyombana akakataa maswali,,,,
6.tar 14 feb mwaka 2017... nikamwambia sasa tuachane akaja na mikwara mingi kua tutaachana maana hatujazaliwa Tumbo moja,,, nilikaa kimya.....
Baada ya miezi mitatu.. akarudi anataka turudiane,,, Nilikataaa katkata na nikamwambia siwezi, akaniambia naomba tuonane alikua anaenda likizo kwao... nikamwambia ts oky... nikamsubiri stand akafika hatuongea sana, nikamwambia amsalimie mama nikampa na hela ya nauli...
jioni yake akaniambia amebaki kwa kaka yake siku tatu, jioni nilimpigia akadai yupo na kaka yake nikamwacha....
NINI SABABU YA KUSHARE HUU UZI
1. amekua akiniomba sana hela, na kuniambia yupo single,, ukimwacha kumtafuta analalamika sana, kua sisi ni marafiki na hawezi acha kunitafuta
2. kwao wana uwezo ila kwanini kama anapenda gharama asitumie fedha za wazazi wake
3. anapenda kushindana na mimi, anatamani picha zake nizione akiwa ameshikwa kimahaba akiona status watsap sijaiona lazima anitafute hio siku,,
4. anataka turudiane, tuyasahau ya nyuma!! inawezekana haya??? moyo unasita sana, japo nakiri kuna muda namkumbuka na kumwaza pia....
5. nimefuta namba zake mara kadhaa na kuwa nae mbali hata namba nimebadili ila anampigia mpaka mama mzazi anamwomba namba zangu!!
anaomba ushauri, anataka kuwa kwenye relation ya kudumu sasa!!

NIKAMSAMEHE!!