No it’s not ok, you’re the one who’s full of crap.acha porojo na upotoshaji useless jukwaani gentleman,
sina haja ya kumpangia mdau yeyote wa Jf namna ya kuandika porojo yake jukwaani,
na hayupo wa kuzuia mimi nisitoe maoni au mtazamo wangu huru dhidi ya hoja useful na zile nonsense kama hii jukwaani, okay?
usirudie tena kukurupuka kupotosha wadau wa Jf kwa mihemko useless kama hiyo jukwaani, okay?🐒
relax then gentleman and avoid useless mayhem 🐒No it’s not ok, you’re the one who’s full of crap.
Badala ya hoja unaleta viroja.
Kwa maoni yangu huyu wanayemsema ni kweli amefeli uongozi, lakini sikubaliani na approach yao, ni beyond Uanaharakati.Hao wanaharakati wanawake ni malaya kuliko huyo mwanamke wanayemsema kwa maoni yako?
Wao wanaenda “gloves off”Kwa maoni yangu huyu wanayemsema ni kweli amefeli uongozi, lakini sikubaliani na approach yao, ni beyond Uanaharakati.
Kwa mara ya kwanza maishani mwangu nimeshudia Rais aliyechaguliwa kwa kishindo (98% ya kura zote) akiapishwa kwa kificho na pia kushindwa kuwashukuru wapiga kura wake kupitia mikutano ya hadhara nchi nzima.
Hapa napo n tatizo lingine kuliongezaUshauri tumuombee afya njema rais wetu, awe na afya njema
Wanapoteza credibility wenyewe, angalia maandishi ya watu smart kama Lema, anawapiga nyundo za kichwa bila kumtukana mtu.Wao wanaenda “gloves off”
Inawezekana wana “reflect” hasira za wananchi kutokana na utekaji, utesaji, mauwaji ambayo yametokea nchini.
Hata humu kuna watu wanazungumza maneno makali lakini unashindwa kuwalaumu maana the victims are many.
Itachukuwa muda sana Watanganyika kuja kugunduwa ukweli adui wa Watanganyika siyo huyo mama.Kwa mara ya kwanza maishani mwangu nimeshudia Rais aliyechaguliwa kwa kishindo (98% ya kura zote) akiapishwa kwa kificho na pia kushindwa kuwashukuru wapiga kura wake kupitia mikutano ya hadhara nchi nzima.
Mara nyingi huwa wanafuatana nasikia mume akifa anafuata mke
Ni nini sasaHii sio code
Ili iweje?Unajua hata Magu ilianza hivi hivi watumishi wa Mungu walimtahadharisha mno mno ila hakusikia mara paap Dada mara mama mgonjwa then wakapita naye. Unajua tatizo haliwezi kuisha kwa mtu kufa. Ushauri tumuombee afya njema rais wetu, awe na afya njema
Haya unayosema, ndo aliyokuwa akiyasema Pole pole. Huyo Samia hajui Polepole alipo?Itachukuwa muda sana Watanganyika kuja kugunduwa ukweli adui wa Watanganyika siyo huyo mama.
Mimi nimekwenda Camoroon kwa rafiki zangu bahati nzuri wapo kwenye sehemu ya familia ya Rais Paul Biya, ndio nikaelewa kumbe nchi inaweza isiwe na Rais ila mkawekewa Boya tu mkiaminishwa ndio Rais lakini ukweli kuna genge ndio linaloendesha nchi na kunufaika.
Huyo Mama hana ujanja wala uthubutu wa kuratibu chochote kilichotokea october 29 na kuendelea.
Shida yake ambaye itamgharimu mpaka kwa muumba wake ni tamaa yake ya madaraka na kukubali kutumika, angestaafu zake tu kwa heshima 2025, lakini sasa kanogewa na mtoto wake ni serikali kimvuli hivi sasa.
Nenda ofisi yoyote unayoijuwa wewe hapa duniani ukikuta kiongozi ni mwanamke na kuna wizi mkubwa piga tochi yako vizuri hapo kuna mwanaume/wanaume ndio master mind.