Kuna mtu anakaribia kuingia kwenye 18

Kuna mtu anakaribia kuingia kwenye 18

Nawakumbusha Mama Samia ndio mgeni rasmi kwenye hafla ya kuzima mwenge.

Watu na akili zenu source yenu ni huyu malaya Hilda Newton?

Sikubaliani na wanaharakati uchwara kama hawa kina Hilda.

Bongo saa nyingine wanaume kama machoko watupu, Rais mwananamke, eti na wanaharakati ni wanawake malaya watupu Hilda, Mange, Maria, Rachel, kweli Bongo ni channel ya vichekesho mbinguni.🚮🚮
 
Nawakumbusha Mama Samia ndio mgeni rasmi kwenye hafla ya kuzima mwenge.

Watu na akili zenu source yenu ni huyu malaya Hilda Newton?

Sikubaliani na wanaharakati uchwara kama hawa kina Hilda.

Bongo saa nyingine wanaume kama machoko watupu, Rais mwananamje, eti na wanaharakati ni wanawake malaya watupu Hilda, Mange, Maria, Rachel, kweli Bongo ni channel ya vichekesho mbinguni.🚮🚮
Hao wanaharakati wanawake ni malaya kuliko huyo mwanamke wanayemsema kwa maoni yako?
 
Na wewe nani amekuzuia usianzishe nyuzi ambazo zina make sense completely?
Thread zako za hovyo tu lakini unataka kupangia watu nini cha kuandika?
acha porojo na upotoshaji useless jukwaani gentleman,

sina haja ya kumpangia mdau yeyote wa Jf namna ya kuandika porojo yake jukwaani,

na hayupo wa kuzuia mimi nisitoe maoni au mtazamo wangu huru dhidi ya hoja useful na zile nonsense kama hii jukwaani, okay?

usirudie tena kukurupuka kupotosha wadau wa Jf kwa mihemko useless kama hiyo jukwaani, okay?🐒
 
Sema bimdashi na yeye uongozi wake umeshakuwa na heka heka nyingi. Ukiwa raisi kukawa na heka heka nyingi. Mara hili, mara lile mara toa huyu, toa yule. Unachoka roho na mwili, ni rahisi sana kukata moto. Kuna kuwa na mchanyanyiko wa kihoro, hofu, presha, anxiety, mashambulizi, woga wa kupoteza maisha, skendo na kazi ngumu.
It is a constant fear of unknown. Plenty of anxiety.
Hiyo situation unakuta mtu anaogopa hadi kivuli chake.
 
Back
Top Bottom