Shadow7
JF-Expert Member
- Sep 28, 2020
- 13,768
- 20,157
Nchi sio masikini, nchi inakosa viongozi wenye maono ya kutuvusha
Nchi sio masikini, nchi inakosa viongozi wenye maono ya kutuvusha
Tutajikomboa kwa uongozi upi sasa?chini ya hiki chama kinachotegemea akina kibaji na wengineo?Mkuu inaonekana unaeamini katika misaada,au nyie ni wanufaika binafsi wa hiyo misaada?,si hilo povu tutajikomboa kwa kufanya kazi na ubunifu ,sio misaada ,misaada mingine ndio maana tunaambiwa turuhusu na ndoa za jinsia moja , "wake up gay"
Omba omba ni tabia na ukishakuwanayo, huwezi kuiacha mpaka mtoaji aache kutoa.Nawauliza watanzania, nchi hii ni maskini kweli au inakosa viongozi wenye maono?
Kabla ya Magufuli kuingia madarakani Kikwete alitembeza sana bakuri ughaibuni,tulivyoambulia ni pamoja na vyandarua toka USA
Magufuli akaingia madarakani slogan yake akasema nchi hii si maskini ,ina kila aina ya utajiri ,akasisitiza watanzania tuchape kazi na ndani ya muda mfupi alifanya maajabu,shahidi ni Rais wa awamu ya pili Mzee Ali Hassan Mwinyi,mara kwa mara alikiri hadharani juu kazi nzuri ya hayati Magufuli,
Ifahamike mzee huyu ni mchamungu haswa.
Zama za MAGUFULI zimepita.
Awamu ya sita imeingia naona kama tunaanza kulemazwa na misaada uchwara tena,walewale ambao wanafahamu sisi ni matajiri kwa raslimali zetu ndio wako mstari wa mbele na vijimisaada.nasi tunashangilia kweli kweli.
Je, tunahitaji misaada ama tunahitaji viongozi wenye maono ya kuhakikisha neno maskini linafutika midomoni mwetu.
Na kwanini kiongozi anayejaribu kutufumbua macho anakuwa adui kwa hawa wanaotubatiza umaskini?
Huu unaoitwa umaskini ni wa kweli au ni ukosefu wa akili ,uzalendo na maarifa?
Jamaa badala watupe ndoano tuvue samaki kazi yao ni kutupatia samaki wa kula ,nini kilicho nyuma ya hii ajenda?
"Mtanikukumbuka "alisema kiumbe mmoja
HahahWapumbavu wa mwendakuzimu wala hamuwezi kuisha na mtaendelea kuweweseka kenge nyinyi.
Shetani wenu ndio amesababisha MCC wakawithdraw msaada wa mradi wa dola million 700 kwa sababu ya kenge nyinyi.
Umeme wa Rea ni msaada kutoka kwa mabeberu, barabara mikoani zimewekwa lami kwa hisani ya watu wa marekani, lakini kenge mmoja umevimbiwa makande unakuja kujamba JF? Hovyo kabisa. View attachment 1979962
Wafuate kwao kama una mahaba nao sana...Sisi hatuwataki na pipi zao; tuna nguvu na uwezo wa kujifanyia mambo yetu wenyeweWapumbavu wa mwendakuzimu wala hamuwezi kuisha na mtaendelea kuweweseka kenge nyinyi.
Shetani wenu ndio amesababisha MCC wakawithdraw msaada wa mradi wa dola million 700 kwa sababu ya kenge nyinyi.
Umeme wa Rea ni msaada kutoka kwa mabeberu, barabara mikoani zimewekwa lami kwa hisani ya watu wa marekani, lakini kenge mmoja umevimbiwa makande unakuja kujamba JF? Hovyo kabisa. View attachment 1979962
Tambaza,Mzee Mbowe,Sewa Haji,nimekupa hawa unaowafahamu wengine huwezi wafahamu.Two can be many...Hao wengi walikuwa wapi? Tuletee taswira/picha ya Dar mji mkuu wakati wa ukoloni tuone hao watu matajiri walikuwa nfiyo akija nani na wakoje....Tatizo la uswahili, maneno mengi, matendo zero!
Viongozi masikini wa fikraTza sio masikini sema Ina viongozi masikini.
Pia fahamu kwenye kuhakiki serikali iliokoa pesa nyingi sana ,upigaji ni jadi nchi hiiHuhitaji kusoma sana kwenye hili ,tunatakiwa tuwe na mfumo wakiuchumi ambao wanasiasa hawatakiwi kuuchezea hapa siongelei 'National economy and social development strategy of the existing government' naongelea 'The structure of the Nation economy'. Mfano nchi ikiamua kutolipa madeni ya ndani inaua uchumi wake yenyewe eti unahakiki madeni ulikuwa wapi kuhakiki kabla ya kupewa huduma kuna mengi mno ya kuyasema,awamu ya 5 hata kama ulikuwa na mtaji ama elimu ya ujasiriamali ilikuwa ngumu sana kutoboa
Well SaidHakuna msaada punda mmoja wewe!
Wakusaidie kama nani?
Unayoita misaada ni mikopo pendwa ya kimya kimya yenye madhara makubwa mbeleni.
Hakuna nchi wala familia inaweza kuendelea wala kuwa na amani kwakusaidiwa.
Mtumwa mmoja wewe!
Na nimekuita punda kwani hata punda huwa anaona anapendwa kwa kupewa malisho.
Ukipewa nyasi nyingi na maji yakutosha ujue unamzigo mkubwa wakubeba siku hiyo
Wewe boya kweliAmeicha nchi ikiwa ime ugua kiharusi,mtu mbaya ambaye hakujua kuwa kufanya miradi mingi tena mikubwa ingedhohofisha uchumi wetu , Ila kwa sababu alikuwa mpenda sifa, akaendela nayo huku wajinga flani wakiwa Wana mshangilia.
Kudorora kwa uchumi wetu chanzo kikubwa uongozi mbovu wa jpm.
Noma sana ,wanajisifu kwa sasa eti misaada imefunguka kweliKwa hali ya kawaida huwezi kuwa ombaomba ukafanikiwa hata siku moja ni rule of the thumb...Sasa hawa ambao wanataka kutuaminisha ombaomba ndiyo staili ya kuondokana na umasikini huo ni ugunduzi mpya au theory hii wao ndiyo wanaianzisha kuua ile ya iliyoko miaka yote kwamba huwezi ukawa ombaomba kisha ukaondokana na utegemezi?
Inasikitisha sana kwakweli!
Je, kwa wale ambao hawakupiga kumbuka biashara nyingi zilikopa kwenye mabenki ,unadhani ninini kilitokea kwakutokulipa madeni kwa zaidi ya miaka 4 ama zaidi "many business were closed and confiscated'Pia fahamu kwenye kuhakiki serikali iliokoa pesa nyingi sana ,upigaji ni jadi nchi hii
Halafu hivyo vyandarua mkawa mnavulia samakiTuache uongo,misaada kupindi cha kikwete eti tuliambulia vyandarua?huna hata haya
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Nawauliza watanzania, nchi hii ni maskini kweli au inakosa viongozi wenye maono?
Kabla ya Magufuli kuingia madarakani Kikwete alitembeza sana bakuri ughaibuni,tulivyoambulia ni pamoja na vyandarua toka USA
Magufuli akaingia madarakani slogan yake akasema nchi hii si maskini ,ina kila aina ya utajiri ,akasisitiza watanzania tuchape kazi na ndani ya muda mfupi alifanya maajabu,shahidi ni Rais wa awamu ya pili Mzee Ali Hassan Mwinyi,mara kwa mara alikiri hadharani juu kazi nzuri ya hayati Magufuli,
Ifahamike mzee huyu ni mchamungu haswa.
Zama za MAGUFULI zimepita.
Awamu ya sita imeingia naona kama tunaanza kulemazwa na misaada uchwara tena,walewale ambao wanafahamu sisi ni matajiri kwa raslimali zetu ndio wako mstari wa mbele na vijimisaada.nasi tunashangilia kweli kweli.
Je, tunahitaji misaada ama tunahitaji viongozi wenye maono ya kuhakikisha neno maskini linafutika midomoni mwetu.
Na kwanini kiongozi anayejaribu kutufumbua macho anakuwa adui kwa hawa wanaotubatiza umaskini?
Huu unaoitwa umaskini ni wa kweli au ni ukosefu wa akili ,uzalendo na maarifa?
Jamaa badala watupe ndoano tuvue samaki kazi yao ni kutupatia samaki wa kula ,nini kilicho nyuma ya hii ajenda?
"Mtanikukumbuka "alisema kiumbe mmoja
Maza kaongezewa ulinzi ni mbwembwe,ulevi wa madaraka,au anaogopa sukuma gang?uyo kiumbe hakuna wa kumkumbuka labda sukuma gang?