Kuna Mlipuko wa Homa na Mafua makali jijini Dar

Ila kuna kitu kingine nimekigundua, sasa hivi binadamu TUMEKUWA NA HARUFU mpya ya kikwapa, sijui kama watu wamefuatilia, yaani sasa hv kikwapa kina harufu kama ya vilainishi vya mitambo ( lubricant ) . sitanii fuatilia
 
mimi nimetoka hispital mda huu niko hoi....yaaan nmekua kama fala...homa kikohozi,mafua..matonses yote kwa pamoja!!!vinatesa sana
 
Nimekuja dar tangu tarehe 26/11 na Sasa nmerud mtwara jana
Nilipoingia lango la dar nimepokelew na Hali Hiyo ya

Kikohoz
Mafua makali
Unapg chafya anA mwil mzma unatngshk (had mishp ya mapumbu aseee)
Sasa na juzi jumanne (Tareh 8/12/2020) niliumwa kichwa tangu asubuh Hadi saa 12 ikabd nimeze Panadol si kawaida

Sasa nmerud huku eneo la kazi naendelea vzr

Huu ni ugonjw Gani ?
 
Je wamepimwa covid-19? Inaonekana unaanya kutaja hilo dubwasha
Ndugu zangu Watanzania,

Mimi nipo kwenye sekta ya afya.

Kwa wiki tatu sasa kuanzia katikati ya November 2020 kumekuwa na mlipuko wa homa kali na mafua makali ambayo huambatana na kikohozi.

Kwa takwimu ndogo niliyochukua kutoka vituo mbalimbali vya afya ni kuwa kuna ongezeko la wagonjwa wa

1. Homa kali
2. Maumivu ya kichwa
3. Mafua makali
4. Mafindofindo

Ni wazi kuwa tunapitia katika kipindi kigumu cha magonjwa haya.

Wengi wa wagonjwa hupona katika kipindi cha siku nne mpaka 7.

Mmejiuliza pia sababu ya mlipuko huu?

Wagonjwa wengi wamepimwa malaria lakini hawana malaria.

Hivyo madaktari wengi wamewapa dawa za homa na kikohozi.

Hali ikoje huko kwenu?
 
Hiyo kohoa na chafya ni balaa inatingsh mwil mzma
Ni kweli kabisa. Mimi ndio nimepona leo toka jumatatu.
Yaani nimekohoa mpaka misuli ya tumbo ikawa inauma kama mtu uliyefanya mazoezi ya kunyanyua kitu kizito ukiwa chali.
 
Ila kuna kitu kingine nimekigundua, sasa hivi binadamu TUMEKUWA NA HARUFU mpya ya kikwapa, sijui kama watu wamefuatilia, yaani sasa hv kikwapa kina harufu kama ya vilainishi vya mitambo ( lubricant ) . sitanii fuatilia
Hahahah ni kweli, ila nimecheka sana. Hii kitu niliambiwa karibuni week 2 sasa nikaifatilia kwa kunusa nusa work mates hasa wale wanaokujaga bila kujispray
 
mimi nimetoka hispital mda huu niko hoi....yaaan nmekua kama fala...homa kikohozi,mafua..matonses yote kwa pamoja!!!vinatesa sana
Tonses tumia ibuprofen, me zilinikamata mpaka nikachomwa sindano moja na hizo ibuprofen.
Zangu zilinikamata kiasi nikawa napata shida hadi kwenye kuongea.
 
Kabla ya kwenda katika jiji la Dar tarehe 28/11 niliasoma uzi ambao unaonyesha hali ya homa inayo-trend Dar

Ili nimefika kiukweli nmepokelew na mafua makali Mara kikohozi na nkaja kuumwa kichwa siku nzma ya 8/12 sambamba na Hapo nikajiongeza kutumia amoxicillin na dawa ya kikohozi mukolyn

Nmetumia nmemalza dozi lakn bado unakuta bado na kohoa na mafua ya hapa na pale yanaendelea (sambamba na Hospital kufika wakanipa dawa hizo hizo )

Kwa Sasa nimetok Dar nipo Mtwara.

Mlioptia Hali hiii mliikabl vp?
 
Kabla ya kwend katk jiji la dar tarehe 28/11 niliasoma uzi ambao unaonyesh Hali ya Homa inayo trend dar ,

Ili nmefk kiukwel nmepokelew na mafua makali Mara kikohozi na nkaja kuumwa kichwa siku nzma ya 8/12 sambamba na Hapo nikajiongeza kutumia amoxicillin na dawa ya kikohozi mukolyn

Nmetumia nmemalza dozi lakn bado unakuta bado na kohoa na mafua ya hapa na pale yanaendelea (sambamba na Hospital kufk wakanpa daw hzo hzo )

Mlioptia Hali hiii mliikabl vp ?
Mbona fresh tu tunakomaa nayo
 
Kwa Sasa nimetok dar nipo mtwara.

Mlioptia Hali hiii mliikabl vp ?
Dar hatutaki wahamiaji, nendeni Dodoma
 
701437569.jpg
 
Back
Top Bottom