Kuna Mlipuko wa Homa na Mafua makali jijini Dar

Naona upo kwenye uzi huu tangu 2020, haya vipi mwaka huu 2021 umesalimika na mlipuko huu wa mafuwa?

Jumatatu ulikuja kwa speed ya kulazwa hospitali nikaushughulikia kwa 3hrs umepotea kabisaa
 
Tupe mbinu ulitumia nini? Maana mimi yamenikamata mafuwa tangu juzi jana nikajitia wazimu nikapiga Wisky ila bado yamekomaa tu.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Mimi nipo kwenye sekta ya afya.

Kwa wiki tatu sasa kuanzia katikati ya November 2020 kumekuwa na mlipuko wa homa kali na mafua makali ambayo huambatana na kikohozi.

Kwa takwimu ndogo niliyochukua kutoka vituo mbalimbali vya afya ni kuwa kuna ongezeko la wagonjwa wa

1. Homa kali
2. Maumivu ya kichwa
3. Mafua makali
4. Mafindofindo

Ni wazi kuwa tunapitia katika kipindi kigumu cha magonjwa haya.

Wengi wa wagonjwa hupona katika kipindi cha siku nne mpaka 7.

Mmejiuliza pia sababu ya mlipuko huu?

Wagonjwa wengi wamepimwa malaria lakini hawana malaria.

Hivyo madaktari wengi wamewapa dawa za homa na kikohozi.

Hali ikoje huko kwenu?
Nimesikia hali hiyo ikirepotiwa Nchini Kenya na Jopo la madactari nchini humo ambapo walisema ni flue ya kawaida na inapona yenyewe kati ya siku tatu hadi saba hivi kulingana na kinga ya mtu hata hivyo dawa za kawaida za flue zinatolewa kwa wahitaji; Hata hivyo kwa kuwa kuna janga la Korona, nivizuri kuchukua tahadhari kwani vyaweza kuchanganyikana
Kwa huko Dar sijasikia muongozo wa madactari wetu
 
I like your reaction 😉 mtu anakueleza mambo ya kufikirika inabidi ugeuke mbayuwayu tu.
Ndio maana nikakubali yaishe, ningempa jibu alilostahili ningemkwaza bure, nikaona nimuache tu anayekunywa chai na Mungu sebuleni.
 
Nimesikia hali hiyo ikirepotiwa Nchini Kenya na Jopo la madactari nchini humo ambapo walisema ni flue ya kawaida na inapona yenyewe kati ya siku tatu hadi saba hivi kulingana na kinga ya mtu hata hivyo dawa za kawaida za flue zinatolewa kwa wahitaji; Hata hivyo kwa kuwa kuna janga la Korona, nivizuri kuchukua tahadhari kwani vyaweza kuchanganyikana
Kwa huko Dar sijasikia muongozo wa madactari wetu
Madaktari wetu wanataka kusema lakini wanapata kigugumizi. Si mnajua tena Nani anaruhusiwa kutoa taarifa nyeti kama hizo. Vinginevyo waweza jikuta upo upande ule wa sheria.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Mimi nipo kwenye sekta ya afya.

Kwa wiki tatu sasa kuanzia katikati ya November 2020 kumekuwa na mlipuko wa homa kali na mafua makali ambayo huambatana na kikohozi.

Kwa takwimu ndogo niliyochukua kutoka vituo mbalimbali vya afya ni kuwa kuna ongezeko la wagonjwa wa

1. Homa kali
2. Maumivu ya kichwa
3. Mafua makali
4. Mafindofindo

Ni wazi kuwa tunapitia katika kipindi kigumu cha magonjwa haya.

Wengi wa wagonjwa hupona katika kipindi cha siku nne mpaka 7.

Mmejiuliza pia sababu ya mlipuko huu?

Wagonjwa wengi wamepimwa malaria lakini hawana malaria.

Hivyo madaktari wengi wamewapa dawa za homa na kikohozi.

Hali ikoje huko kwenu?
Upo sahihi Mimi Jana nimeshinda nagalagala kitandani kwa vile me ni mbishi kwenda hospitali nimepiga nyungu ndo nasikilizia
 
Back
Top Bottom