Kuna Mlipuko wa Homa na Mafua makali jijini Dar

Mimi na kijana wangu wa kiume tumeumwa tonsil na homa kali pia. Ofisini kwangu same case kwa watu 4
Ndugu zangu Watanzania,

Mimi nipo kwenye sekta ya afya.

Kwa wiki tatu sasa kuanzia katikati ya November 2020 kumekuwa na mlipuko wa homa kali na mafua makali ambayo huambatana na kikohozi.

Kwa takwimu ndogo niliyochukua kutoka vituo mbalimbali vya afya ni kuwa kuna ongezeko la wagonjwa wa

1. Homa kali
2. Maumivu ya kichwa
3. Mafua makali
4. Mafindofindo

Ni wazi kuwa tunapitia katika kipindi kigumu cha magonjwa haya.

Wengi wa wagonjwa hupona katika kipindi cha siku nne mpaka 7.

Mmejiuliza pia sababu ya mlipuko huu?

Wagonjwa wengi wamepimwa malaria lakini hawana malaria.

Hivyo madaktari wengi wamewapa dawa za homa na kikohozi.

Hali ikoje huko kwenu?
 
Kweli aisee. Nilitoka Dar mzima nikapigwa mafua makali na kikohozi nikiwa Arusha. Dawa hazisaidii naona kama napona naturally!!

Cha ajabu Wizara iko kimyaaaaaa!!!!
 
Ndugu zangu Watanzania,

Mimi nipo kwenye sekta ya afya.

Kwa wiki tatu sasa kuanzia katikati ya November 2020 kumekuwa na mlipuko wa homa kali na mafua makali ambayo huambatana na kikohozi.

Kwa takwimu ndogo niliyochukua kutoka vituo mbalimbali vya afya ni kuwa kuna ongezeko la wagonjwa wa

1. Homa kali
2. Maumivu ya kichwa
3. Mafua makali
4. Mafindofindo

Ni wazi kuwa tunapitia katika kipindi kigumu cha magonjwa haya.

Wengi wa wagonjwa hupona katika kipindi cha siku nne mpaka 7.

Mmejiuliza pia sababu ya mlipuko huu?

Wagonjwa wengi wamepimwa malaria lakini hawana malaria.

Hivyo madaktari wengi wamewapa dawa za homa na kikohozi.

Hali ikoje huko kwenu?
Second wave ya Covid-19 imeshaanza kwa kuwa uko sekta ya afya chunguza kwa makini
 
Ndugu zangu Watanzania,

Mimi nipo kwenye sekta ya afya.

Kwa wiki tatu sasa kuanzia katikati ya November 2020 kumekuwa na mlipuko wa homa kali na mafua makali ambayo huambatana na kikohozi.

Kwa takwimu ndogo niliyochukua kutoka vituo mbalimbali vya afya ni kuwa kuna ongezeko la wagonjwa wa

1. Homa kali
2. Maumivu ya kichwa
3. Mafua makali
4. Mafindofindo

Ni wazi kuwa tunapitia katika kipindi kigumu cha magonjwa haya.

Wengi wa wagonjwa hupona katika kipindi cha siku nne mpaka 7.

Mmejiuliza pia sababu ya mlipuko huu?

Wagonjwa wengi wamepimwa malaria lakini hawana malaria.

Hivyo madaktari wengi wamewapa dawa za homa na kikohozi.

Hali ikoje huko kwenu?
Covid 19 ipo sema mfalme j hataki ijulikane
 
Wizara ya Afya wanasema ni side effects ya kutokuwa na Covid-19 hapa nchini. Yes, hatuna Corona ila tunapata rasha rasha zake.
 
We acha tu cha kushangaza huu uzi ni wa mwaka jana lakini angalia ulivyovamiwa kama ni wa leo leo[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] hii inaonyesha ni kweli ugonjwa huu wa mafua makali unaendelea kwa kasi sana.
Una uhakika uzi ni wa mwaka jana? Kwangu inaonyesha 3 days ago au akili yangu imedata?
 
Aisee mwanangu amepata hii shida leo ni siku ya tano anapata homa anakohoa na kuchoka, nimempa antibiotics anaendelea vizr.
 
Una uhakika uzi ni wa mwaka jana? Kwangu inaonyesha 3 days ago au akili yangu imedata?
Ulifanyiwa editing,
Mwanzo sisi tunachangia ilikuwa inasomeka November 2019.
Hamna shida lakini maana ndo misimu ya mafua kila mwaka
 
Habari ya mwaka jana? Wakati thread imeandikwa four days ago? Try to use your common sense.
Pig headed....
Mimi nlichangia hii thread kabla haijafanyiwa editing, ilkuwa inasomeka November 2019.
Try to use your uncommon sense
 
Back
Top Bottom