Kuna Mlipuko wa Homa na Mafua makali jijini Dar

Kwenye content ndani ilkuwa imeandikwa 2019... Baadae ikawa edited.
Okay, nadhani kujua kama uzi ni wa zamani au wa hivi karibuni, the best way ni kuangalia ulianzishwa lini, maana hiyo inakuwa ni tarehe ya system
 
Mleta habari nadhani alifanya makosa...
All in all habari imeeleweka
 
Yap wiki iliyopita ilinikumba hiyo hali ila saiv ni shwari .

Nilikuwa na kikohozi pamoja na kubanwa mafua.
 
Mie mwanangu kafariji kwa hali hii ya homa kali na mm pia nimeugua sana chafya za kutosha mwili kuchemka, kichwa kuuma, kikohozi na mafua na jointi kuuma. Mwanangu ameondoka na hali hii ya ugonjwa hapo mnazi mmoja hospital zanzibar majira ya jioni jana.
Pole mkuu
 
Dah.
Pole sana
 
Kwa wewe kuona hizo dalili ulizotaja kuwa ni za MALARIA inatudhibishia kuwa wewe huna Elimu ya tiba (Dactari )
Kwa maana hiyo, nashindwa pia kukuamini kuwa umewezaje kukusanya data kutoka vituo mbali mbali vya Afya. Kwa huku Kigoma sijapata kuona hilo ongezeko ila pia sijawa na fursa ya kupata takwimu kutoka vituo mbali mbali vya Afya
Wapi nimeona hizo kuwa ni dalili za malaria?
Unapoenda Hospital na damu yako kupelekwa maabara kupimwa daktari huwa anafanya hivyo kwa sababu gani?
Wewe ni mjinga tu.
 
Kwa wewe kuona hizo dalili ulizotaja kuwa ni za MALARIA inatudhibishia kuwa wewe huna Elimu ya tiba (Dactari )
Kwa maana hiyo, nashindwa pia kukuamini kuwa umewezaje kukusanya data kutoka vituo mbali mbali vya Afya. Kwa huku Kigoma sijapata kuona hilo ongezeko ila pia sijawa na fursa ya kupata takwimu kutoka vituo mbali mbali vya Afya
Wewe ni jinga kabisa hata hukuelewa kilichoandikwa.
Unajua chochote kuhusu tiba na udaktari?

Kichwa boga.
 
Kwa wewe kuona hizo dalili ulizotaja kuwa ni za MALARIA inatudhibishia kuwa wewe huna Elimu ya tiba (Dactari )
Kwa maana hiyo, nashindwa pia kukuamini kuwa umewezaje kukusanya data kutoka vituo mbali mbali vya Afya. Kwa huku Kigoma sijapata kuona hilo ongezeko ila pia sijawa na fursa ya kupata takwimu kutoka vituo mbali mbali vya Afya
Wewe Jamaa kichwa maji sana.

Yaani umeandika utumbo tu.
 
Kwa wewe kuona hizo dalili ulizotaja kuwa ni za MALARIA inatudhibishia kuwa wewe huna Elimu ya tiba (Dactari )
Kwa maana hiyo, nashindwa pia kukuamini kuwa umewezaje kukusanya data kutoka vituo mbali mbali vya Afya. Kwa huku Kigoma sijapata kuona hilo ongezeko ila pia sijawa na fursa ya kupata takwimu kutoka vituo mbali mbali vya Afya
Dah! Yaani hapa ndio uwezo wako wa kufikiri umefikia ukomo.
Hujui kuwa 70% ya Watanzania wakifika hospitali wanapimwa malaria?
Familia yako ina hasara.
 
kwa hiyo kama 70% ya watanzania wanapimwa malaria inamaana wakikosekana malaria basi ugonjwa haujulikani?
Huyo atakuwa dactari wa aina gani????
Unajua ni magonjwa mangapi yana dalili sawa na malaria? Kimsingi mtu ambaye ni mtalaam, akikosa malaria anaenda plan B, then C nk
Ingekuwa ni hivyo si tungekuwa na alert ya kupata magonjwa yasiyofahamika kila baada ya Lisaa.....
 
Ndugu zangu Watanzania,

Mimi nipo kwenye sekta ya afya.

Kwa wiki tatu sasa kuanzia katikati ya November 2020 kumekuwa na mlipuko wa homa kali na mafua makali ambayo huambatana na kikohozi.

Kwa takwimu ndogo niliyochukua kutoka vituo mbalimbali vya afya ni kuwa kuna ongezeko la wagonjwa wa

1. Homa kali
2. Maumivu ya kichwa
3. Mafua makali
4. Mafindofindo

Ni wazi kuwa tunapitia katika kipindi kigumu cha magonjwa haya.

Wengi wa wagonjwa hupona katika kipindi cha siku nne mpaka 7.

Mmejiuliza pia sababu ya mlipuko huu?

Wagonjwa wengi wamepimwa malaria lakini hawana malaria.

Hivyo madaktari wengi wamewapa dawa za homa na kikohozi.

Hali ikoje huko kwenu?
Dawa yake ni kujifukiza tu a.k.a Nyungu
 
Hebu fikiria mtu anakula ugali usiku alfu anaenda kulala,
 
Ukweli ni kwamba hali hii imejirudia kama Desemba 2019.

Naamini mabadiliko ya climate yanachangia.

Tuendelee kuchukua tahadhari na kumuomba Mungu
 
Ndugu zangu Watanzania,

Mimi nipo kwenye sekta ya afya.

Kwa wiki tatu sasa kuanzia katikati ya November 2020 kumekuwa na mlipuko wa homa kali na mafua makali ambayo huambatana na kikohozi.

Kwa takwimu ndogo niliyochukua kutoka vituo mbalimbali vya afya ni kuwa kuna ongezeko la wagonjwa wa

1. Homa kali
2. Maumivu ya kichwa
3. Mafua makali
4. Mafindofindo

Ni wazi kuwa tunapitia katika kipindi kigumu cha magonjwa haya.

Wengi wa wagonjwa hupona katika kipindi cha siku nne mpaka 7.

Mmejiuliza pia sababu ya mlipuko huu?

Wagonjwa wengi wamepimwa malaria lakini hawana malaria.

Hivyo madaktari wengi wamewapa dawa za homa na kikohozi.

Hali ikoje huko kwenu?
Hiyo ni korona boss. Jikarantini fasta
 
Back
Top Bottom