Kuna Mlipuko wa Homa na Mafua makali jijini Dar

Kuna Mlipuko wa Homa na Mafua makali jijini Dar

[emoji23][emoji23][emoji23]
Una andika ni kiswahili cha wapi mkuu. Hii nchi nitahama.
Huwezi kutenganisha Una-andika.
Neno andika Ni verb, na "una" Ni prefixes. Ambazo huwezi tenganisha na verb. Ni kitenzi na viambishi awali vya nafsi "u" na wakati "na"
Hii nchi imejaa vijana Vilaza mkuu msamehe bure

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimekuja dar tangu tarehe 26/11 na Sasa nmerud mtwara jana
Nilipoingia lango la dar nimepokelew na Hali Hiyo ya


Kikohoz
Mafua makali
Unapg chafya anA mwil mzma unatngshk (had mishp ya mapumbu aseee)
Sasa na juzi jumanne (Tareh 8/12/2020) niliumwa kichwa tangu asubuh Hadi saa 12 ikabd nimeze Panadol si kawaida


Sasa nmerud huku eneo la kazi naendelea vzr

Huu ni ugonjw Gani ?
Ugonjwa huo unaitwa kitaalamu GOJ: Ghadhia ya Ongezeko la Joto
 
Maelezo ni kwamba korona yupo lakini kwetu sisi anasabisha mafua, kichwa kuuma+koo, mwili kuchoka choka, tumbo kuunguruma sana na kuharisha kidogo.
Dalili nyingine ni macho kuwashawasha lakini hatufi labda kwa wachache sana ambao wana matatizo mengine lukuki

Hii kitu nimeisikia shule moja hivi, na watoto walikosa sana shule kisa mafua, kichwa, tumbo, koo kuuma nk
 
Hakuna dawa ya mafua bali zilizopo ni zakutuliza makali ya mafua ila sio kutibu mafua
 
Wizara ya Afya jitokezeni mtutoe wasiwasi maana yoote yanayochangiwa na abiria wa humu ndani yapo na sio propoganda na wala hakuna anaefaidika maana hatuchelewi kusikia kuwa sio wazalendo...
 
Mkuu hii kama unafanya utani ni kweli kabisa,naipitia dalili ulizotaja ninazo zote na Hakuna iliyoongezeka
Ipo kweli mkuu maana ilinitesa kama siku tatu ya nne nikawahi hospitali nikapimwa vipimo vingi kweli ila mwisho wakaniambia nina typhoid eti 😆

Nilikuja kupona mwenyewe kibishibishi tu ila kuna mafua yamevamia hapa mtaani kila mtu anayo.
Kingine pua hazifanyi kazi ya kunusa na test ya chakula mdomoni imepotea kwa kiwango kikubwa
 
Nilimaliza siku 3.
Hiyo hali ipo hata mikoani wakuu.
Ni mabadiliko ya hali ya hewa bila shaka
 
Back
Top Bottom