Kuna Mlipuko wa Homa na Mafua makali jijini Dar

Maelezo ni kwamba korona yupo lakini kwetu sisi anasabisha mafua, kichwa kuuma+koo, mwili kuchoka choka, tumbo kuunguruma sana na kuharisha kidogo.
Dalili nyingine ni macho kuwashawasha lakini hatufi labda kwa wachache sana ambao wana matatizo mengine lukuki
 
Pita hapa
IMG-20201212-WA0043.jpg
 
Daah Mwanangu ameumwa this week hadi nikakosa raha! Antibiotic kanywa za kutosha lakini wapi!
Ndipo nikakumbuka hapa kuna ka Covid-20 but now yuko good thanks God.
 
Maelezo ni kwamba korona yupo lakini kwetu sisi anasabisha mafua, kichwa kuuma+koo, mwili kuchoka choka, tumbo kuunguruma sana na kuharisha kidogo.
Dalili nyingine ni macho kuwashawasha lakini hatufi labda kwa wachache sana ambao wana matatizo mengine lukuki.

Yamenitokea ila hayana madhara sana kiasi cha kusema tuweke lockdown ila tupige kazi huku tukitumia baadhi ya dawa ambazo zitatupa afueni na mwisho kupona
[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ulicho kimaanisha unakijua wewe...[emoji28][emoji28]
 
Maelezo ni kwamba korona yupo lakini kwetu sisi anasabisha mafua, kichwa kuuma+koo, mwili kuchoka choka, tumbo kuunguruma sana na kuharisha kidogo.
Dalili nyingine ni macho kuwashawasha lakini hatufi labda kwa wachache sana ambao wana matatizo mengine lukuki.

Yamenitokea ila hayana madhara sana kiasi cha kusema tuweke lockdown ila tupige kazi huku tukitumia baadhi ya dawa ambazo zitatupa afueni na mwisho kupona
[emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
Una andika ni kiswahili cha wapi mkuu. Hii nchi nitahama.
Huwezi kutenganisha Una-andika.
Neno andika Ni verb, na "una" Ni prefixes. Ambazo huwezi tenganisha na verb. Ni kitenzi na viambishi awali vya nafsi "u" na wakati "na"
Tabatahood 😀😀😀
 
Si ungekuja kunielekeza pm mkuu kwahiyo unanidharirisha mbele ya kadamnasi 😀😀😀
 
Maelezo ni kwamba korona yupo lakini kwetu sisi anasabisha mafua, kichwa kuuma+koo, mwili kuchoka choka, tumbo kuunguruma sana na kuharisha kidogo.
Dalili nyingine ni macho kuwashawasha lakini hatufi labda kwa wachache sana ambao wana matatizo mengine lukuki
Mkuu hii kama unafanya utani ni kweli kabisa,naipitia dalili ulizotaja ninazo zote na Hakuna iliyoongezeka
 
daaaaaaah semina hii niliikuta Regency hospital
Nurse akatuambia
bora leo kina Baba mmekuja, nunueni kipima joto (themometer)mtoto akiwa na joto chini ya 38 mvueni nguo zote na kisha muwekeni kwenye feni hata kama anatetemekaa lkn pia mumpe dawa ya kushusha homa, ila akiwa na joto zaidi ya 38 haraka muwahisheni hospital,
ukweli mjini kuna homa kali mnooo ya mafua inawakumba watoto pia watu wazimaaa
 
Kama Corona ipo na HAMFI basi Corona inawapenda Sana.
Wenzenu huko wanakufa Kama kumbi kumbi

Back
Top Bottom