Kuna mkaka kanivutia humu MMU

Kuna mkaka kanivutia humu MMU

One day I will find the right words

and they will be simple

Today you found them. asante kwa kunielewesha.
 
mie mzima wa afya njema kabisa, hofu kwako, umeona na davina hapo juu kapotea njia ama magari yamegongana:A S 13:, sijui ndugu yangu mankaa ndio katujia na hiyo?

Hahaha nimeona ila si unajua ukila na kipofu hutakiwi kumshika mkono...

Tumwache afunguke zaidi akija kushtuka kaharibu pande yote mbili...
 
Kaka hivi vinuka mkojo ukivifuatilia sana utapasuka kichwa bure. Mi huwa na update ignore list yangu mara kwa mara nisijepasua screen yangu bure.

Mpwa tatizo ndio vinawafuata watu hadi huko PM kutengeneza mitoko...

Usipokuwa makini mpwa si tunaweza kupoteza member wenzetu hapa kwa ngoma au mambo yale kama ya Mushi na Ufoo...
 
hivi huyo mpenzi wangu wa jf uliyempenda kwa kumuona siku moja hasomi hii thread au lengo lako nini hasa???
 
Unajua walikuwa wanaongea nini kila siku? Mwache mtoto afanye kile anachokiona kinamfaa, kama ni wembe umkate tu.
ndo maana nkasema mwenye maaamuzi ya mwisho ni yy,ila pia ni vyema akaleta feedback ya decision atakayoamua,ila nahofia asije akatema big g kwa karanga za kuonjeshwa
 
kweli kabisa hata mimi kankera anataka tumshauri upuuz anadhani kila mtu ni kicheche mwenzake yani amsaliti jamaa wa watu bila kosa lolote hajui huo ni mtihani tu?ndo hivi baadh wachaga walivyo si bure ukute huyo mchumba wake hata baskeli hana ndoo maan anajifanya eti kavutiwa na mchumba wa mtu si aseme tu kapenda pesa za jamaa wa jf??mshenz wa tabia wew
hana lolote ni other way round ya kumwonyesha huyo mkaka wa jf kwamba anampenda(kana kawamba kampa mtihani mgumu hajui achague wapi) kwani huyo kaka hajui yeyee anatumia id gani na hawezi kuiona hii thread???
 
Mkuu nilikua na mawazo kama yako. Huyu dada yaelekea hana msimam, ktk dunia hii utavutiwa na wangapi kwanini ujenge ukaribu na mtu wakati una mchumba wako. Eti bila kuwasiliana hawalali. Ninachokiona wote 2 hawajui wanataka nini ktk maisha yao. Halafu si kila anayetaka kutambulishwa ni muoaji kuna hata waliofikia hatua ya kulipa mahali na hawakua waoaji sijui huyu ndugu analijua hili.
alafu kumbe kuna post nyingine alishaweka hapa kwamba ameolewa mkuu Watu8 ametuelewesha vyema,ndio matatizo ya kuwa na account nyingi mpaka unashau thread ipi ulipost habari ipi??
 
Waoooooo~ni nzuri sana hii,umemjib vizuri sn u my favourite one,but r u a male or female?
why do u care?? anyway im male,kama utafuatilia coment yangu vizuri hiyo (between words),ungegundua kabla hata ya kuuliza,lastly thanks for the apreciation
 
...njoo nione na mimi pia, and see if u can resist. Vizuri haviishi, na uzuri wa mtu si muonekano au uwezo, in life hasa ktk mahusiano ya kimapenzi kinacho bamba ni how ur partner handles u. r u sure that guy is perfect for u to give u happiness forever? au ndo kipya kinyemi???
.....just pop ur mind lady.....
....life is discipline......some games u play ....some games plays u...

Safi sana.Only classy men would give a such advice!!!
five-o!!
 
yesu na maria manka!!! yani cha kuonana nae tu hapo hotelini umeshapenda kweli? Apa ruwa! Nyi watoto wa siku isi sijui mna laana gani... saa huyo mamsapu wako unayemjua nje na ndani unamuacha hifi hifi!!! hifi hifi manka? au kwa sababu hyo kipya kinyemi ana gari?

Wai...
Apaa warumu huu ni uchuro.Uyu Manka si ndo wale dada zangu wanaotokea upande ulee ambao wanatabia unique?Unawezaje kumuona mtu siku moja ukabomoa uhusiano uloujenga kwa miongo kadhaa?Kumbuka `Easy Come Easy Go'.Basi uyo unaemuita mchumba siye kwani kama ulishampataulitakiwa uache kuendelea kuchungulia madirishani kutafuta mwingine/wengine sana sana ungekuwa unatafuta kidumu tungekuelewa nakushauri tuliza moyo wako ili ubongo nao ukupe ushirikiano!
 
napenda maua .... na ninadhni ni mzuri kama maua

nakusubiria pale escape one nikugeie hili ua!

beautiful-rose-flowers-hd-wallpapers.jpg
 
Kati ya hao wawili, mchague mwenye hela au mali nyingi zaidi
 
Mankaa we ni mburula tu! hebu toa ujinga wako hapa, wewe si umefanya mtihan wa form two mwaka jana? hivi nikimweleza baba ako atajisikiaje?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom