mwallu
JF-Expert Member
- Sep 5, 2013
- 6,787
- 4,217
labda alishaacha..akamuoa..wakaachana akapata mchumba..sasa uyo mchumba kaovatekiwa na mkaka mzuri wa jf..na wale watoto aliwapata kwa mumewe wa mwanzo..lol...posibilitiz
- dada na sikuelewi kabisa kuna siku ulikuja hapa kuwa mpenzi wako anakata kiuno.......
- jana kama siyo juzi umesema una mume ...
- leo unamchumba loh....
- kuna siku ulisema unamtoto na wanaotoa mimba watajiju wanavyozidi kuzeeka loh ..... Ukiwa muongo jitahidi uwe na kumbkumbu