Nyamayao
JF-Expert Member
- Jan 22, 2009
- 6,966
- 2,380
Mpwa mambo ya multiple I'd hayo. Tayari keshaji mix
hahaha TGIF, mie mwenyewe nimebaki heee!
Mpwa mambo ya multiple I'd hayo. Tayari keshaji mix
ha haaaa, mtani umetishaaaaa.......Shemeg miye huwa napenda sana kutoa ushauri kwa kuwa naguswa sana na shida za watu, lakini watu wanaotumia hadaa huninyong'oshesha sana...
Tunatumia muda wetu kushinda kijiweni, kuweka shauri zetu lakini kuna watu hawathamini hilo na kuona hapa kama uwanja wa kupeana soga na porojo...
Katika thread hii hapa chini umejitabanaisha kwamba una mume na una ndoa ya miaka saba...
https://www.jamiiforums.com/mahusia...1-kuolewa-rahaaaaaaaa-kuzaa-nako-utamuuu.html
Nanukuu:
Pia hii nyingine unakiri wazi kabisa kuwa una mume na ndoa ina miaka saba...
https://www.jamiiforums.com/mahusia...kwa-matendo-yake-namchukia-huyu-mwanaume.html
Nanukuu:
Ahaaa wewe utakuwa ndo huyo ulokutana na Mankaa,kwann unatetea upuuzi??Sa umtukane ili iweje?kwani ukiwa na MTU either way una date au umeolewa ndo mwisho Wa hisia?
Don't pint fingers about Mapenz just respect conditions
Jibu hoja ya watu8 kwanza alafu ndio tukushauri
Katika thread hii hapa chini umejitabanaisha kwamba una mume na una ndoa ya miaka saba...
https://www.jamiiforums.com/mahusia...1-kuolewa-rahaaaaaaaa-kuzaa-nako-utamuuu.html
Nanukuu:
safi sana shemeg, ntakuletea zawadi kwa kazi nzuri unayoifanya. watu tunamaliza bundle zetu kumbe wanaleta mzaha. maskini bidada kaumbukaje sasa. lolShemeg miye huwa napenda sana kutoa ushauri kwa kuwa naguswa sana na shida za watu, lakini watu wanaotumia hadaa huninyong'oshesha sana...
Tunatumia muda wetu kushinda kijiweni, kuweka shauri zetu lakini kuna watu hawathamini hilo na kuona hapa kama uwanja wa kupeana soga na porojo...
Habar zenu hop mko gud
okay katika chat chat zangu humu c nkakutana na jamaa mmoja tukawa tumeelewana sana
tukachage namba basi daily lazma tuongee yan silali bila kusikia saut yake nae halali bila kunisikia (apo mie nina mchumba wangu) nae ana wake!
bas tukapanga kuonana ye anakaa mbali kdg na nilipo mkaka wa watu huyo kajaza mafuta huyoo mguu kwangu
akafika zake hotel akanialika for diner
nikajikwatua mtoto wa kike
mie hyo had nlipoelekezwa kufika kuonana na yule mkaka oooh my God it was suprz ckuamn nilivutiwa sana na muonekano wake na yy akafurah sana kuniona
tukakaaa story tukapata diner vinywaj fresh
Kwa muda mfupi niliokaa na yule mkaka nulijikuta nimempenda na yeye pia alinambia amenipenda yupo radh kwa lolote he dnt care!ananihitaji
Niliinjoy sana kwa kweli tulivyoagana dah acha tu ilikuwa majonzi sasa nipo njia panda jamaa ananiambia anataka kwenda nyumbani kwetu kwa gharama yyte
nipen msaada wenu mchumba wangu nampenda na huyu mkaka wa jf nimempenda tena sana
Hahaha me huko bado jaman cjafika
huyo ni shost yangu wa karibu kabisa yalinkuta