Kuna mkaka kanivutia humu MMU

Kuna mkaka kanivutia humu MMU

Duuu mapema hivyo?? utakutana nao wengi tu na kila mmoja utampenda.

Join Date : 21st January 2012
Posts : 147
Rep Power : 434
Likes Received33
Likes Given5
Sista na sister!! yani mngejua ninavyowatafuta!!

wallahi mngeliitika fwasta!!
 
Last edited by a moderator:
dah! Hapa mi ndo watu wa Jf huwa waniachaga hoi. Yaani mnajua kabisa haka ni kastory ka kutunga ila mnashupaa kuchangia hoja na kutoa maushauri kama vile ni problem ya kweli. Nawafananisha na mtu anaengalia muvi na kuanza kutoa ushauri kwa sterling "usipite hapo wametega bomu, au unakuta mtu anatokwa machozi ilihali anajua fika jamaa wanaigiza". Anyway probably you are not serious too, and you are just acting!
 
1. Ukiwa mwongo usisahau.
2. First in first saved, ni hayo tu.
 
nakusubiria pale escape one nikugeie hili ua!

beautiful-rose-flowers-hd-wallpapers.jpg

thank you sana rafiki jana sikuja mpenzi ila usijali utanipa sehemu nyingine rafiki....
 
We manka ni penda penda,ndivyo mlivyo mademu wengi wa kichaga,na dawa yenu ni bastola tu! Humu jf ma handsome tupo wengi mno sasa utapenda wangapi?
 
Nimekujaga wasemaje..?

sasa muda woote huo ulikuwa wapi jamani? mbona tunatiana roho juu hivi? hivi unajua ni kiasi gani nimepigwa na jua pale kituoni kukungoja wewe? sio vizuri sister! never do it again!
 
Last edited by a moderator:
sasa muda woote huo ulikuwa wapi jamani? mbona tunatiana roho juu hivi? hivi unajua ni kiasi gani nimepigwa na jua pale kituoni kukungoja wewe? sio vizuri sister! never do it again!

Pole aisee si unajua uku kwetu lori liliharibika njiani basi hiyo foleni yake usipime....yani hakukuwa na hata sehemu ya kuweka mguu jinsi magari walivyosongomana...
 
Last edited by a moderator:
yo, i missed ya! you know, u usually walk like doves..! and, iam the doves' hunter!!

goodmorning sister and Sista!

happy valentine!!

Morning za wew....

eeh hivi huu mwezi kuna valentine?
 
Last edited by a moderator:
Acha ujinga wewe unaendeshwa na hisia tu za mapenzi.
 
Back
Top Bottom