Mkereketwa_Huyu
JF-Expert Member
- Feb 19, 2011
- 10,588
- 7,965
kasoro mimi rafiki... Hujambo
yesu na maria manka!!! yani cha kuonana nae tu hapo hotelini umeshapenda kweli? Apa ruwa! Nyi watoto wa siku isi sijui mna laana gani... saa huyo mamsapu wako unayemjua nje na ndani unamuacha hifi hifi!!! hifi hifi manka? au kwa sababu hyo kipya kinyemi ana gari?
Wai...
Habar zenu hop mko gud
okay katika chat chat zangu humu c nkakutana na jamaa mmoja tukawa tumeelewana sana
tukachage namba basi daily lazma tuongee yan silali bila kusikia saut yake nae halali bila kunisikia (apo mie nina mchumba wangu) nae ana wake!
bas tukapanga kuonana ye anakaa mbali kdg na nilipo mkaka wa watu huyo kajaza mafuta huyoo mguu kwangu
akafika zake hotel akanialika for diner
nikajikwatua mtoto wa kike
mie hyo had nlipoelekezwa kufika kuonana na yule mkaka oooh my God it was suprz ckuamn nilivutiwa sana na muonekano wake na yy akafurah sana kuniona
tukakaaa story tukapata diner vinywaj fresh
Kwa muda mfupi niliokaa na yule mkaka nulijikuta nimempenda na yeye pia alinambia amenipenda yupo radh kwa lolote he dnt care!ananihitaji
Niliinjoy sana kwa kweli tulivyoagana dah acha tu ilikuwa majonzi sasa nipo njia panda jamaa ananiambia anataka kwenda nyumbani kwetu kwa gharama yyte
nipen msaada wenu mchumba wangu nampenda na huyu mkaka wa jf nimempenda tena sana
Pia hii nyingine unakiri wazi kabisa kuwa una mume na ndoa ina miaka saba...
https://www.jamiiforums.com/mahusia...kwa-matendo-yake-namchukia-huyu-mwanaume.html
Nanukuu:
Alfu mwisho wa siku mnakuja kulalalamika hapa oohh mpenzi wangu hanijali oh mapenzi yananitesa nyokonyoko nyingi!,wewe unajijua una mpenzi/wako mchumba wako hw cone unakuwa close na mwanaume mwingine kiasi cha kila siku usiku lazima muongee na mengineyo,huyo anaweza akawa hana mapenzi ya kweli na ww may b amekutamani tu onetime,coz hajakugegeda,so ana hamu na ww,ila huyo ambae ashakugegeda na still anaweza kukuangalia machoni kukutamkia i love you huyo ndo ana mapenzi ya kweli,by the way maamuzi ni yako either kuharibu future yako au kuijenga.
Umeharibu pozi zima ndugu.Nukuu hii hapa chini nimeitoa katika thread yako ya karibuni...
https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/590805-alichonifanyia-mdogo-wangu-naumia.html
Katika thread hiyo ulitueleza kuwa umeolewa, una mume na namna mdogo wako alivyoiweka ndoa yako matatani...
Nanukuu:
Lakini leo tena naona unatueleza kuwa una mchumba, lakini umekutana na mkaka wa JF ambaye umevutiwa naye na yeye kavutiwa nawe...
Nanukuu:
Sasa bi mkubwa, huku kama si ni kucheze akili na muda wetu?
Nahisi utajitetea kama wanavyojitetea wengine kuwa katika thread ya mwanzo hakikuwa kisa kinachokuhusu, lakini uliamua kutumia nafsi ya kwanza umoja.
Hebu tuletee utetezi wako bi mkubwa....
jamani!!!!
Ooooo eti tuambiane kazi yake kwanza je ni ticha??
Nijipange kimapambano.
We koma, ma-ticha wamefanya nini tena?
sijambo bana! nimekumiss tu mwana wa rombo!
kila leo wabadili maua tu!!!
wewe ni mwanamke si msichana
Habar zenu hop mko gud
okay katika chat chat zangu humu c nkakutana na jamaa mmoja tukawa tumeelewana sana n