Gilbert Julius
Senior Member
- Jan 28, 2014
- 102
- 72
0687125977 whatsapp
Morning za wew....
eeh hivi huu mwezi kuna valentine?
Okay kumbe imekaribia..ngoja nifanye mchakato wa utaratibu wangu wa kila valentine..jamani unataka kuniambia hujui kuna kupendana upya mwezi huu?feb 14.. hiyoo indoor!
Ungetupia na maua mekundu mawili ingekuwa mzuka !!!!
Sista n sister..Okay kumbe imekaribia..ngoja nifanye mchakato wa utaratibu wangu wa kila valentine..
tell me your dirty secret..!
through PM lakini!
Nikikuambia si itabidi niibadili niseme tunayo secret mimi na wewe
Utaharibu utawa wako
Kama tuko tayari mlete jamvini tuwakalishe kiti moto tupime misimamo yenu toward each other
Katika thread hii hapa nyingine pia unakiri kuwa umeolewa...
https://www.jamiiforums.com/mahusia...me-wangu-niimalizie-hiyo-nyumba-mwenyewe.html
Nanukuu:
Wakilimanjaro wanamatatizo ya kupenda kufa bila kuchunguza.ukimwambia nakupenda tu yeye anaingia kichwa kichwa
Habar zenu hopE mko good,
okay katika chat chat zangu humu c nkakutana na jamaa mmoja tukawa tumeelewana sana
tukachage namba basi daily lazma tuongee yan silali bila kusikia saut yake nae halali bila kunisikia (apo mie nina mchumba wangu) nae ana wake!
Basi tukapanga kuonana ye anakaa mbali kidogo na nilipo mkaka wa watu huyo kajaza mafuta huyoo mguu kwangu
akafika zake hotel akanialika for diner
nikajikwatua mtoto wa kike
Mie hyo hadi nilipoelekezwa kufika kuonana na yule mkaka oooh my God it was suprise sikuamini nilivutiwa sana na muonekano wake na yeye akafurahi sana kuniona .
Tukakaaa story tukapata diner vinywaj fresh
Kwa muda mfupi niliokaa na yule mkaka nulijikuta nimempenda na yeye pia alinambia amenipenda yupo radhi kwa lolote he doesn't care!ananihitaji .
Niliinjoy sana kwa kweli tulivyoagana dah acha tu ilikuwa majonzi sasa nipo njia panda jamaa ananiambia anataka kwenda nyumbani kwetu kwa gharama yoyote .
Nipeni msaada wenu mchumba wangu nampenda na huyu mkaka wa JF nimempenda tena sana.
Ni ishara umevutiwa na jamaa kwa kua ana gar na inawezekana mpenz wako hana,pili hujitambui na hujui unataka nn hasa,mi nakushaur uende kwa huyo jamaa wa jf achana na mchumba wako wa zaman,mwambie kua moyo wako umehamia kwingne ajue.