Ahaaa wewe utakuwa ndo huyo ulokutana na Mankaa,kwann unatetea upuuzi??
Sijasema ni mwisho wa hisia,Ukishakuwa na committment(uchumba/ndoa) lazima ujifunza kucontroll hisia zako au utakuwa mzinzi.....Kwanza kitendo cha yeye kuongea na mwanaume mwengine mpaka kuonana nae angali yupo kwenye mahusiano tayari kimenifanya nimuweke kwenye "BLACK LIST",hajiheshimu wala hajitambui na ana tamaa!!Kama hana furaha katika ndoa/uhusiano wake atafute suluhisho kwanza kabla hajaangukia pua.....
NANUKUU HAKUNA URAFIKI KATI YA MWANAMKE NA MWANAUME......MTAKUJA KUTAMANIANA TU NA NI NATURE!!
yesu na maria manka!!! yani cha kuonana nae tu hapo hotelini umeshapenda kweli? Apa ruwa! Nyi watoto wa siku isi sijui mna laana gani... saa huyo mamsapu wako unayemjua nje na ndani unamuacha hifi hifi!!! hifi hifi manka? au kwa sababu hyo kipya kinyemi ana gari?
Wai...
Sista n sister..
V .is for Valentine ; you are my only Valentine
A ..is for I will Always be yours
L ..is for Love at its most extreme
E ..is for Everlasting love ; Ecstatic love.
N ..is for Never-ending love
T ..is for we will Always be Together forever
I ..is for you being Intelligent and Innocent;
N .is 4 Natures naughty way of saying I love you too
E ..is for Eternity our love is so ever lasting .!!!!!!!
![]()
happy valentine..
Habar zenu hopE mko good,
okay katika chat chat zangu humu c nkakutana na jamaa mmoja tukawa tumeelewana sana
tukachage namba basi daily lazma tuongee yan silali bila kusikia saut yake nae halali bila kunisikia (apo mie nina mchumba wangu) nae ana wake!
Basi tukapanga kuonana ye anakaa mbali kidogo na nilipo mkaka wa watu huyo kajaza mafuta huyoo mguu kwangu
akafika zake hotel akanialika for diner
nikajikwatua mtoto wa kike
Mie hyo hadi nilipoelekezwa kufika kuonana na yule mkaka oooh my God it was suprise sikuamini nilivutiwa sana na muonekano wake na yeye akafurahi sana kuniona .
Tukakaaa story tukapata diner vinywaj fresh
Kwa muda mfupi niliokaa na yule mkaka nulijikuta nimempenda na yeye pia alinambia amenipenda yupo radhi kwa lolote he doesn't care!ananihitaji .
Niliinjoy sana kwa kweli tulivyoagana dah acha tu ilikuwa majonzi sasa nipo njia panda jamaa ananiambia anataka kwenda nyumbani kwetu kwa gharama yoyote .
Nipeni msaada wenu mchumba wangu nampenda na huyu mkaka wa JF nimempenda tena sana.
Halafu unaeza kuta kuwa ni dume hilo.