Habar zenu hop mko gud
okay katika chat chat zangu humu c nkakutana na jamaa mmoja tukawa tumeelewana sana
tukachage namba basi daily lazma tuongee yan silali bila kusikia saut yake nae halali bila kunisikia (apo mie nina mchumba wangu) nae ana wake!
bas tukapanga kuonana ye anakaa mbali kdg na nilipo mkaka wa watu huyo kajaza mafuta huyoo mguu kwangu
akafika zake hotel akanialika for diner
nikajikwatua mtoto wa kike
mie hyo had nlipoelekezwa kufika kuonana na yule mkaka oooh my God it was suprz ckuamn nilivutiwa sana na muonekano wake na yy akafurah sana kuniona
tukakaaa story tukapata diner vinywaj fresh
Kwa muda mfupi niliokaa na yule mkaka nulijikuta nimempenda na yeye pia alinambia amenipenda yupo radh kwa lolote he dnt care!ananihitaji
Niliinjoy sana kwa kweli tulivyoagana dah acha tu ilikuwa majonzi sasa nipo njia panda jamaa ananiambia anataka kwenda nyumbani kwetu kwa gharama yyte
nipen msaada wenu mchumba wangu nampenda na huyu mkaka wa jf nimempenda tena sana
Kuna kauli tata nyingi..Lakini kauli tata kuliko zote ni hii "Nina mpenzi WANGU"Habar zenu hop mko gud
okay katika chat chat zangu humu c nkakutana na jamaa mmoja tukawa tumeelewana sana
tukachage namba basi daily lazma tuongee yan silali bila kusikia saut yake nae halali bila kunisikia (apo mie nina mchumba wangu) nae ana wake!
bas tukapanga kuonana ye anakaa mbali kdg na nilipo mkaka wa watu huyo kajaza mafuta huyoo mguu kwangu
akafika zake hotel akanialika for diner
nikajikwatua mtoto wa kike
mie hyo had nlipoelekezwa kufika kuonana na yule mkaka oooh my God it was suprz ckuamn nilivutiwa sana na muonekano wake na yy akafurah sana kuniona
tukakaaa story tukapata diner vinywaj fresh
Kwa muda mfupi niliokaa na yule mkaka nulijikuta nimempenda na yeye pia alinambia amenipenda yupo radh kwa lolote he dnt care!ananihitaji
Niliinjoy sana kwa kweli tulivyoagana dah acha tu ilikuwa majonzi sasa nipo njia panda jamaa ananiambia anataka kwenda nyumbani kwetu kwa gharama yyte
nipen msaada wenu mchumba wangu nampenda na huyu mkaka wa jf nimempenda tena sana
katika thread hii hapa chini umejitabanaisha kwamba una mume na una ndoa ya miaka saba...
https://www.jamiiforums.com/mahusia...1-kuolewa-rahaaaaaaaa-kuzaa-nako-utamuuu.html
nanukuu:
Hahaha me huko bado jaman cjafika
huyo ni shost yangu wa karibu kabisa yalinkuta
Mmmmmmmmmmh!
Pia hii nyingine unakiri wazi kabisa kuwa una mume na ndoa ina miaka saba...
https://www.jamiiforums.com/mahusia...kwa-matendo-yake-namchukia-huyu-mwanaume.html
Nanukuu:
Katika thread hii hapa chini umejitabanaisha kwamba una mume na una ndoa ya miaka saba...
https://www.jamiiforums.com/mahusia...1-kuolewa-rahaaaaaaaa-kuzaa-nako-utamuuu.html
Nanukuu:
ahhha bwana we, yatoshaaa na huko kufukunyua kwako, hupotezei? Lol
Sorry......!
Is all that you cant say!!!!!
Words dont come easily!
Like sorry.....!
Forgive me!
But you cant say baby...! Baby can i hold you tonight..!
*kuna kitu nimemaanisha kulingana na topic*
ipo siku Mankaa utamkumkumbuka mtu wako wa kwanza! Mavi ya kale hayanuki!
Jamani jamani jamani.....Kuna watu mna tamaa sijui nyege mshindo khaaa yaani sielewi......Una mtu kisha unatafuta mtu dah...Hata sijui niseme nini natamani nikutukane!!!!
Kama sijakuelewa vile...
Hahaha!!! ni kwa nia njema tu
Habari ya wewe lakini?
The funny thing about luv is u can love two people but u can't be inluv with two people so just make decent choices a cha kupenda handsome au uwezo wakeHabar zenu hop mko gud