Kuna mkaka kanivutia humu MMU

Kuna mkaka kanivutia humu MMU

Kuna watu wanaboa na hizi stori zao za kusikia mitaani yani mtu asisikie kajambo huko mtaani tayari kesha kimbia kuja kuanzisha uzi humu, halafu bora basi uandike lakini ionekane haikuhusu wewe.
Ona sasa aibu inayokupata ukiwa mwogo usiwe msahaulifu Mankaa

Nakumbuka siku hiyo nilijipinda kuandika eti natoa ushauri kumbe stori ya uongo >>.yeroo.. nimeuzika sana mpaka mori imepanda.!!!!!

Mjinga sana huyu Manka,juz hata mm nljpnda nakutoa ushauri kumbe ni uongo tu.
 
We usisumbuke waowe wote uingie kwenye maajabu mwanamke kuoa wanaume wawili huoni fursa hiyo.
 
yesu na maria manka!!! yani cha kuonana nae tu hapo hotelini umeshapenda kweli? Apa ruwa! Nyi watoto wa siku isi sijui mna laana gani... saa huyo mamsapu wako unayemjua nje na ndani unamuacha hifi hifi!!! hifi hifi manka? au kwa sababu hyo kipya kinyemi ana gari?

Wai...

Hakimpenda Ila kamtamani haya mavempire msisumbuke nayo.
 
Umri wako kwanza? Maana haingii akilini mpaka sasa bado unawapanga mpenzi wako na huyo wa JF,,hujaolewa hata kidogo una mawazo ya kuDate tuu jiangalia kwanza unaelekea wap na unafanya nini?
Pili nimekuona huna msimamo wa mapenzi na bwana ako kala hasara, km huyo wa pili wa JF anampango wa kukugegeda tu unafkiri m/ume gani mjinga awe na ww huku anajua ulikuwa na mtu ukamsaliti? Halafu ameingia na gear anaenda kwenu na yuko tayari kwa lolote?

Mwisho kabisa ridhika na mpenzi wako huku ukiangalia MTANDAO WA NGONO.

Huyo anajiuza mnadhani atawaingia kwa gia gani hata ww ukitaka ruksa.hii balaaaaaaaaa
 
Yaan huyu yuko wokoni anauza bambucha wanunuzi kazi kwenu.
 
"Ingawa tunatumia AVATARS na USERNAMES ambazo ni FAKE, bado haibadilishi uhalisia wa MIOYO YETU" Sahihi ya watu8 ina ujumbe mzito sana, usije ukafikiria Samaritan wa JF ni tofauti sana na Samaritan halisia.

Nadhani hii inatuonyesha Mankaa halisi ni mtu wa aina gani.

Last edited by a moderator:
Habar zenu hop mko gud
okay katika chat chat zangu humu c nkakutana na jamaa mmoja tukawa tumeelewana sana
tukachage namba basi daily lazma tuongee yan silali bila kusikia saut yake nae halali bila kunisikia (apo mie nina mchumba wangu) nae ana wake!

bas tukapanga kuonana ye anakaa mbali kdg na nilipo mkaka wa watu huyo kajaza mafuta huyoo mguu kwangu
akafika zake hotel akanialika for diner
nikajikwatua mtoto wa kike
mie hyo had nlipoelekezwa kufika kuonana na yule mkaka oooh my God it was suprz ckuamn nilivutiwa sana na muonekano wake na yy akafurah sana kuniona
tukakaaa story tukapata diner vinywaj fresh
Kwa muda mfupi niliokaa na yule mkaka nulijikuta nimempenda na yeye pia alinambia amenipenda yupo radh kwa lolote he dnt care!ananihitaji
Niliinjoy sana kwa kweli tulivyoagana dah acha tu ilikuwa majonzi sasa nipo njia panda jamaa ananiambia anataka kwenda nyumbani kwetu kwa gharama yyte
nipen msaada wenu mchumba wangu nampenda na huyu mkaka wa jf nimempenda tena sana

Ni juzi tu umelalamika kuwa mdogo wako amemwambia mumeo kuwa wewe si mwamifu kwa sababu wanaume wengi wanakufuata mchana kazini kwako, na tulikushauri mengi jinsi ya kuinusuru ndoa yako leo umempata mkaka amekuvutia mmhhhhh I salute you.
 
Umempenda sana hata hujamchunguza background yake ilivyo. Acha kumsaliti mchumba wako bwana!
 
Baadhi ya wadada hawafikirii inapokuja swalal la mapenzi. Kufikiri ni pamoja na kufanya right choice convenietly. Vitu viwili haviwezi kukaa sehemu mpja at the same time. Unmwacha kwanza ndio unaanza kipya. Otherwise ww ni msaliti Hata ukiolewa utaendeleza ufuska
 
Nukuu hii hapa chini nimeitoa katika thread yako ya karibuni...

https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/590805-alichonifanyia-mdogo-wangu-naumia.html

Katika thread hiyo ulitueleza kuwa umeolewa, una mume na namna mdogo wako alivyoiweka ndoa yako matatani...

Nanukuu:

Lakini leo tena naona unatueleza kuwa una mchumba, lakini umekutana na mkaka wa JF ambaye umevutiwa naye na yeye kavutiwa nawe...

Nanukuu:

Sasa bi mkubwa, huku kama si ni kucheze akili na muda wetu?

Nahisi utajitetea kama wanavyojitetea wengine kuwa katika thread ya mwanzo hakikuwa kisa kinachokuhusu, lakini uliamua kutumia nafsi ya kwanza umoja.

Hebu tuletee utetezi wako bi mkubwa....
........hawa watu wanaharibu huu mtandao
 
Heshma yako best.
Sijui huu utoto wa kuchanganya habari utaisha lini?
 
Habar zenu hop mko gud
okay katika chat chat zangu humu c nkakutana na jamaa mmoja tukawa tumeelewana sana
tukachage namba basi daily lazma tuongee yan silali bila kusikia saut yake nae halali bila kunisikia (apo mie nina mchumba wangu) nae ana wake!

bas tukapanga kuonana ye anakaa mbali kdg na nilipo mkaka wa watu huyo kajaza mafuta huyoo mguu kwangu
akafika zake hotel akanialika for diner
nikajikwatua mtoto wa kike
mie hyo had nlipoelekezwa kufika kuonana na yule mkaka oooh my God it was suprz ckuamn nilivutiwa sana na muonekano wake na yy akafurah sana kuniona
tukakaaa story tukapata diner vinywaj fresh
Kwa muda mfupi niliokaa na yule mkaka nulijikuta nimempenda na yeye pia alinambia amenipenda yupo radh kwa lolote he dnt care!ananihitaji
Niliinjoy sana kwa kweli tulivyoagana dah acha tu ilikuwa majonzi sasa nipo njia panda jamaa ananiambia anataka kwenda nyumbani kwetu kwa gharama yyte
nipen msaada wenu mchumba wangu nampenda na huyu mkaka wa jf nimempenda tena sana

Atakugegeda atakuacha kwasababu haiwezekeni kwamba kuonana kwa siku moja tu kutapelekea akuoe wewe mpige chini kwasababu si mkweli ni heri angekuambia ukweli kwamba kakutamani anaomba game tu lakini hizo longo longo za kuja kwenu take care
 
Moyo wenyewe unasema,lakini kama umependea mali ujue umekosea,mchukue huyo wa mwanzo kwani huyo wa pili ni kwa kuwa ni mpya kwako na binadamu hupenda kuvutika na vitu vipya.Au mpe kama anahitaji na kisha pata muda utajua nani anakufaa
 
Umempenda ghafla! vipi huyo uliye naye ulimpataje naye ulimpenda ghafla au? Vipi akitokea mwingine ambaye utampenda ghafla utafanyaje,uamuzi ni wako
 
Kwa leo naishia hapa ila nasubiri majibu mazuri toka kwako bi mkubwa...

Tujaribu kujenga MMU yenye ukweli na uwazi...

Shikamoo kaka@watu8!!,
Nilidhani ban hutolewa na admins peke yake kumbe hata WEWE?
 
Back
Top Bottom