Kuna mkaka kanivutia humu MMU

Kuna mkaka kanivutia humu MMU

kumbe hata mimi nikukualika naweza kukupata na ukanipenda? Loh! Jiulize utakuwa na wangapi?
 
wape wote tu hiyo papuchi yako, hiyo yua kuja kwenu ni gia tu ya kukuvua puchi yako, hivi mpaka leo bado mnadangaywa na gia ya kuja kwenu? halafu fikiriaga wakati mwingine, kesho pia miss chaga atakutana nae halafu atavutiwa nae, bado mama wa kuongea lara1, sasa mtapona. ebu tulia we manka au unataka kuwapa wachaga safari ya kukurudisha kwenu ukiwa mwepesi?
 
Angalia usikose wote lazma kuna mmoja alimzidi mwenzake usikilize moyo wako
 
Nukuu hii hapa chini nimeitoa katika thread yako ya karibuni...

https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/590805-alichonifanyia-mdogo-wangu-naumia.html

Katika thread hiyo ulitueleza kuwa umeolewa, una mume na namna mdogo wako alivyoiweka ndoa yako matatani...

Nanukuu:

Lakini leo tena naona unatueleza kuwa una mchumba, lakini umekutana na mkaka wa JF ambaye umevutiwa naye na yeye kavutiwa nawe...

Nanukuu:

Sasa bi mkubwa, huku kama si ni kucheze akili na muda wetu?

Nahisi utajitetea kama wanavyojitetea wengine kuwa katika thread ya mwanzo hakikuwa kisa kinachokuhusu, lakini uliamua kutumia nafsi ya kwanza umoja.

Hebu tuletee utetezi wako bi mkubwa....

meeen... you're so smart...!!!!
 
Habar zenu hop mko gud
okay katika chat chat zangu humu c nkakutana na jamaa mmoja tukawa tumeelewana sana
tukachage namba basi daily lazma tuongee yan silali bila kusikia saut yake nae halali bila kunisikia (apo mie nina mchumba wangu) nae ana wake!

bas tukapanga kuonana ye anakaa mbali kdg na nilipo mkaka wa watu huyo kajaza mafuta huyoo mguu kwangu
akafika zake hotel akanialika for diner
nikajikwatua mtoto wa kike
mie hyo had nlipoelekezwa kufika kuonana na yule mkaka oooh my God it was suprz ckuamn nilivutiwa sana na muonekano wake na yy akafurah sana kuniona
tukakaaa story tukapata diner vinywaj fresh
Kwa muda mfupi niliokaa na yule mkaka nulijikuta nimempenda na yeye pia alinambia amenipenda yupo radh kwa lolote he dnt care!ananihitaji
Niliinjoy sana kwa kweli tulivyoagana dah acha tu ilikuwa majonzi sasa nipo njia panda jamaa ananiambia anataka kwenda nyumbani kwetu kwa gharama yyte
nipen msaada wenu mchumba wangu nampenda na huyu mkaka wa jf nimempenda tena sana

usikilize moyo wako halafu uamue mwenyewe,ila usidharau nazi embe tunda la msimu tu
 
Mkuu watu8 ahsante kwa nukuu zako, nami nimemfuatilia kwa karibu ni kweli kabisa, hapa tunaweza kujikuta tunapoteza muda kwa kujadili hoja za watu wasio na sifa ya kujadiliwa.
 
Aise dadangu mankaa, usiingie kichwa kichwa mamangu, jiridhishe kwanza mankaa. Wakati unasoma iweke kwenye lafudhi ya kule kwetu Manka

Habar zenu hop mko gud
okay katika chat chat zangu humu c nkakutana na jamaa mmoja tukawa tumeelewana sana
tukachage namba basi daily lazma tuongee yan silali bila kusikia saut yake nae halali bila kunisikia (apo mie nina mchumba wangu) nae ana wake!

bas tukapanga kuonana ye anakaa mbali kdg na nilipo mkaka wa watu huyo kajaza mafuta huyoo mguu kwangu
akafika zake hotel akanialika for diner
nikajikwatua mtoto wa kike
mie hyo had nlipoelekezwa kufika kuonana na yule mkaka oooh my God it was suprz ckuamn nilivutiwa sana na muonekano wake na yy akafurah sana kuniona
tukakaaa story tukapata diner vinywaj fresh
Kwa muda mfupi niliokaa na yule mkaka nulijikuta nimempenda na yeye pia alinambia amenipenda yupo radh kwa lolote he dnt care!ananihitaji
Niliinjoy sana kwa kweli tulivyoagana dah acha tu ilikuwa majonzi sasa nipo njia panda jamaa ananiambia anataka kwenda nyumbani kwetu kwa gharama yyte
nipen msaada wenu mchumba wangu nampenda na huyu mkaka wa jf nimempenda tena sana
 
Last edited by a moderator:
  • dada na sikuelewi kabisa kuna siku ulikuja hapa kuwa mpenzi wako anakata kiuno.......
  • jana kama siyo juzi umesema una mume ...
  • leo unamchumba loh....
  • kuna siku ulisema unamtoto na wanaotoa mimba watajiju wanavyozidi kuzeeka loh ..... Ukiwa muongo jitahidi uwe na kumbkumbu
 
Hivi multiple IDs za nini?
Kuna malipo yoyote mtu anapewa humu?
 
wape wote tu hiyo papuchi yako, hiyo yua kuja kwenu ni gia tu ya kukuvua puchi yako, hivi mpaka leo bado mnadangaywa na gia ya kuja kwenu? Halafu fikiriaga wakati mwingine, kesho pia miss chaga atakutana nae halafu atavutiwa nae, bado mama wa kuongea lara1, sasa mtapona. Ebu tulia we manka au unataka kuwapa wachaga safari ya kukurudisha kwenu ukiwa mwepesi?

aisee huyu dadfa ni mwongo sitaki mimi
 
Mankaa duh uchawi wa kizungu ndo umekuchanganya kumbuka mkishazoeana izo dinner n blah blah kibao utazisoma kwny magazeti pendwa tu yakianza matamuuu km vp komaa na ulienae
 
Last edited by a moderator:
Alfu mwisho wa siku mnakuja kulalalamika hapa oohh mpenzi wangu hanijali oh mapenzi yananitesa nyokonyoko nyingi!,wewe unajijua una mpenzi/wako mchumba wako hw cone unakuwa close na mwanaume mwingine kiasi cha kila siku usiku lazima muongee na mengineyo,huyo anaweza akawa hana mapenzi ya kweli na ww may b amekutamani tu onetime,coz hajakugegeda,so ana hamu na ww,ila huyo ambae ashakugegeda na still anaweza kukuangalia machoni kukutamkia i love you huyo ndo ana mapenzi ya kweli,by the way maamuzi ni yako either kuharibu future yako au kuijenga.
Mkuu nilikua na mawazo kama yako. Huyu dada yaelekea hana msimam, ktk dunia hii utavutiwa na wangapi kwanini ujenge ukaribu na mtu wakati una mchumba wako. Eti bila kuwasiliana hawalali. Ninachokiona wote 2 hawajui wanataka nini ktk maisha yao. Halafu si kila anayetaka kutambulishwa ni muoaji kuna hata waliofikia hatua ya kulipa mahali na hawakua waoaji sijui huyu ndugu analijua hili.
 
  • dada na sikuelewi kabisa kuna siku ulikuja hapa kuwa mpenzi wako anakata kiuno.......
  • jana kama siyo juzi umesema una mume ...
  • leo unamchumba loh....
  • kuna siku ulisema unamtoto na wanaotoa mimba watajiju wanavyozidi kuzeeka loh ..... Ukiwa muongo jitahidi uwe na kumbkumbu
Heeee kumbe huyu dada ni msanii, ndio maana tunavunjika moyo kuchangia wakati mwingine sababu ya hawa watu wanaofanya usanii na kuchezea akili za watu. Huwa wanapata nini wanapotumia multiple ids?????/
 
hapana chezea watu8 in jf jamaa yuko intelligent!! saafi sana!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom