Kuna mkaka kanivutia humu MMU

Kuna mkaka kanivutia humu MMU

^^
Tunatarajie thread nyingi za wana JF kupendana baada ya 25th JF Together party.
Maana hapa ndipo jf ilipotufikisha
^^
 
Nyie endeleeni kutafunana tu , huwezi kukutana na mtu kwa night moja half mtangaze nia...........mnakurupuka tu hapo.
 
Hapendwi mtu hapa ila pochi komaa bidada uolewe na mwenye gari.Shida yangu ni kwamba kwa vile huyo mwenye gari ni member hapa obvious jamaa atasoma hizi comments na kufanya adjustments ili aje na mikakati ya kushinda bingo kwa bidada.
 
hahahahah!!! shemeg watu8 una tofauti gani na kifimbo cheza? khaaaaa!!! mi nakuogopa sahv maana ushakuwa mtambo wa kurekebisha wazushi jf.
 
Last edited by a moderator:
Sorry......!

Is all that you cant say!!!!!

Words dont come easily!

Like sorry.....!

Forgive me!

But you cant say baby...! Baby can i hold you tonight..!

*kuna kitu nimemaanisha kulingana na topic*

ipo siku Mankaa utamkumkumbuka mtu wako wa kwanza! Mavi ya kale hayanuki!
 
Last edited by a moderator:
Sorry......!

Is all that you cant say!!!!!

Words dont come easily!

Like sorry.....!

Forgive me!

But you cant say baby...! Baby can i hold you tonight..!

*kuna kitu nimemaanisha kulingana na topic*

ipo siku Mankaa utamkumkumbuka mtu wako wa kwanza! Mavi ya kale hayanuki!
 
Last edited by a moderator:
watu8 umetisha sana mkuu.nimefuta na "ku delete kabisa" ile post niliyoandika maneno machache ya kumtia moyo huyu mke mtu Mankaa huhusu hao maboi-friend zake wawili.watu wengine maskini hawajui hata techinics za kutengeneza uongo wa kuwapatia cheap popularity hapa JF.poor you mankaa.
 
Last edited by a moderator:
hahahahah!!! shemeg watu8 una tofauti gani na kifimbo cheza? khaaaaa!!! mi nakuogopa sahv maana ushakuwa mtambo wa kurekebisha wazushi jf.

Shemeg miye huwa napenda sana kutoa ushauri kwa kuwa naguswa sana na shida za watu, lakini watu wanaotumia hadaa huninyong'oshesha sana...

Tunatumia muda wetu kushinda kijiweni, kuweka shauri zetu lakini kuna watu hawathamini hilo na kuona hapa kama uwanja wa kupeana soga na porojo...
 
Habar zenu hop mko gud
okay katika chat chat zangu humu c nkakutana na jamaa mmoja tukawa tumeelewana sana
tukachage namba basi daily lazma tuongee yan silali bila kusikia saut yake nae halali bila kunisikia (apo mie nina mchumba wangu) nae ana wake!

bas tukapanga kuonana ye anakaa mbali kdg na nilipo mkaka wa watu huyo kajaza mafuta huyoo mguu kwangu
akafika zake hotel akanialika for diner
nikajikwatua mtoto wa kike
mie hyo had nlipoelekezwa kufika kuonana na yule mkaka oooh my God it was suprz ckuamn nilivutiwa sana na muonekano wake na yy akafurah sana kuniona
tukakaaa story tukapata diner vinywaj fresh
Kwa muda mfupi niliokaa na yule mkaka nulijikuta nimempenda na yeye pia alinambia amenipenda yupo radh kwa lolote he dnt care!ananihitaji
Niliinjoy sana kwa kweli tulivyoagana dah acha tu ilikuwa majonzi sasa nipo njia panda jamaa ananiambia anataka kwenda nyumbani kwetu kwa gharama yyte
nipen msaada wenu mchumba wangu nampenda na huyu mkaka wa jf nimempenda tena sana
Ana ndinga gani Mark X,Verossa au kama ya Daimond..................................?
 
Nukuu hii hapa chini nimeitoa katika thread yako ya karibuni...

https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/590805-alichonifanyia-mdogo-wangu-naumia.html

Katika thread hiyo ulitueleza kuwa umeolewa, una mume na namna mdogo wako alivyoiweka ndoa yako matatani...

Nanukuu:



Lakini leo tena naona unatueleza kuwa una mchumba, lakini umekutana na mkaka wa JF ambaye umevutiwa naye na yeye kavutiwa nawe...

Nanukuu:



Sasa bi mkubwa, huku kama si ni kucheze akili na muda wetu?

Nahisi utajitetea kama wanavyojitetea wengine kuwa katika thread ya mwanzo hakikuwa kisa kinachokuhusu, lakini uliamua kutumia nafsi ya kwanza umoja.

Hebu tuletee utetezi wako bi mkubwa....

Hahaha me huko bado jaman cjafika
huyo ni shost yangu wa karibu kabisa yalinkuta
 
Inakera sana kushauri kanyaboya mkuu...

Kamata Mwizi Meeeen.....Hongera sana Mfukunyuku wetu kwa kufukua.....uliniacha hoi ulivyomwumbua yule mkenya aliyekopi Facebook kwenye thread ya kugoma kumfulia pichu mmewe!
 
tatizo wako watu8 ndio maana wanafukunyua hivi. Haya sasa Mankaa wajibu hao
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom