hahaha TGIF, mie mwenyewe nimebaki heee!
Kama sijakuelewa vile...
Habar zenu hop mko gud
okay katika chat chat zangu humu c nkakutana na jamaa mmoja tukawa tumeelewana sana
tukachage namba basi daily lazma tuongee yan silali bila kusikia saut yake nae halali bila kunisikia (apo mie nina mchumba wangu) nae ana wake!
bas tukapanga kuonana ye anakaa mbali kdg na nilipo mkaka wa watu huyo kajaza mafuta huyoo mguu kwangu
akafika zake hotel akanialika for diner
nikajikwatua mtoto wa kike
mie hyo had nlipoelekezwa kufika kuonana na yule mkaka oooh my God it was suprz ckuamn nilivutiwa sana na muonekano wake na yy akafurah sana kuniona
tukakaaa story tukapata diner vinywaj fresh
Kwa muda mfupi niliokaa na yule mkaka nulijikuta nimempenda na yeye pia alinambia amenipenda yupo radh kwa lolote he dnt care!ananihitaji
Niliinjoy sana kwa kweli tulivyoagana dah acha tu ilikuwa majonzi sasa nipo njia panda jamaa ananiambia anataka kwenda nyumbani kwetu kwa gharama yyte
nipen msaada wenu mchumba wangu nampenda na huyu mkaka wa jf nimempenda tena sana
Nilichogundua uyo mpenzi wa JF ana gari na uyo wake hamiliki gari.
Kama unataka kuolewa na gari nenda Toyota
Habar zenu hop mko gud
okay katika chat chat zangu humu c nkakutana na jamaa mmoja tukawa tumeelewana sana
tukachage namba basi daily lazma tuongee yan silali bila kusikia saut yake nae halali bila kunisikia (apo mie nina mchumba wangu) nae ana wake!
bas tukapanga kuonana ye anakaa mbali kdg na nilipo mkaka wa watu huyo kajaza mafuta huyoo mguu kwangu
akafika zake hotel akanialika for diner
nikajikwatua mtoto wa kike
mie hyo had nlipoelekezwa kufika kuonana na yule mkaka oooh my God it was suprz ckuamn nilivutiwa sana na muonekano wake na yy akafurah sana kuniona
tukakaaa story tukapata diner vinywaj fresh
Kwa muda mfupi niliokaa na yule mkaka nulijikuta nimempenda na yeye pia alinambia amenipenda yupo radh kwa lolote he dnt care!ananihitaji
Niliinjoy sana kwa kweli tulivyoagana dah acha tu ilikuwa majonzi sasa nipo njia panda jamaa ananiambia anataka kwenda nyumbani kwetu kwa gharama yyte
nipen msaada wenu mchumba wangu nampenda na huyu mkaka wa jf nimempenda tena sana
Lipi kati ya hayo unalohitaji ushauriBy Mankaa![]()
![]()
Naamin hamjambo na mnaendelea vzr na kutusaidia ushaur sisi wenye matatz ya hapa na pale.
ni miezi minne imepita toka nimchukuwe mdogo wangu (mtoto wa baba mdogo) kijijini baada ya yeye kufeli form four na kuzalisha mtoto nikaona nimchukue nije nae mjini kwenye biashara yetu angalau apate pesa za maziwa ya mtoto
basi tumeishi vizuri siku zote na juz ndiyo akaniaga anataka arudi nyumbani akamuone mwanae,nikamwambia hakuna tatizo jiandae nkamwandalia pesa za safari vzr bas akaondoka jana.
baada ya kuondoka mume wangu akaniweka kwa mazungumzo nanukuu( mdogo wako kanieleza mambo ya kusikitisha umekuwa na mazoea mabaya na wanaume pale kwenye biashara wengne wanakuja kila siku,wengne wanaenda china wanakuletea zawadi unanidhalilidha,umekuwa malaya kwa kuzoeana na wanaume lukuki pale kazini na maneno meng sana)
Ukweli n kuwa hayo aliyoeleza mengne ni kweli nimezoeana na hao watu ni wateja wetu wazuri lakn hakuna cha zaidi hata huyu mdogo wangu anaelewa ukweli kwani muda wote nipo nae kazini.
nimemweleza mama yangu hajaamini kashangaa sana yani.
nafikiria najiuliza au huyu mdogo wangu alitumwa na mama yake kuja kuniharibia ndoa au ni kipi nilichomkosea au kosa langu kumsaidia had sasa amekuwa nae mtu anaonekana?au. ni kipi bado sielewi
mpaka sasa mume wangu ana kinyongo,
Huyo mdogo wangu cjamuuliza kitu chochote
nafikiria nimwambie neno gani ajue jinsi amenikosea au ninyamaze?
nishaurini wapendwa nifanye nini?
Leo yaweza kuwa mwisho wake wa kukanyaga JfKaka hivi vinuka mkojo ukivifuatilia sana utapasuka kichwa bure. Mi huwa na update ignore list yangu mara kwa mara nisijepasua screen yangu bure.
Habar zenu hop mko gud
okay katika chat chat zangu humu c nkakutana na jamaa mmoja tukawa tumeelewana sana
tukachage namba basi daily lazma tuongee yan silali bila kusikia saut yake nae halali bila kunisikia (apo mie nina mchumba wangu) nae ana wake!
bas tukapanga kuonana ye anakaa mbali kdg na nilipo mkaka wa watu huyo kajaza mafuta huyoo mguu kwangu
akafika zake hotel akanialika for diner
nikajikwatua mtoto wa kike
mie hyo had nlipoelekezwa kufika kuonana na yule mkaka oooh my God it was suprz ckuamn nilivutiwa sana na muonekano wake na yy akafurah sana kuniona
tukakaaa story tukapata diner vinywaj fresh
Kwa muda mfupi niliokaa na yule mkaka nulijikuta nimempenda na yeye pia alinambia amenipenda yupo radh kwa lolote he dnt care!ananihitaji
Niliinjoy sana kwa kweli tulivyoagana dah acha tu ilikuwa majonzi sasa nipo njia panda jamaa ananiambia anataka kwenda nyumbani kwetu kwa gharama yyte
nipen msaada wenu mchumba wangu nampenda na huyu mkaka wa jf nimempenda tena sana
Napenda sana namna unatuletea valid source kwa hawa wanaotunga stori wamesahau ukiwa muongo unatakiwa uwe na kumbukumu. BIG UP KAKANukuu hii hapa chini nimeitoa katika thread yako ya karibuni... https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/590805-alichonifanyia-mdogo-wangu-naumia.html Katika thread hiyo ulitueleza kuwa umeolewa, una mume na namna mdogo wako alivyoiweka ndoa yako matatani... Nanukuu: Lakini leo tena naona unatueleza kuwa una mchumba, lakini umekutana na mkaka wa JF ambaye umevutiwa naye na yeye kavutiwa nawe... Nanukuu: Sasa bi mkubwa, huku kama si ni kucheze akili na muda wetu? Nahisi utajitetea kama wanavyojitetea wengine kuwa katika thread ya mwanzo hakikuwa kisa kinachokuhusu, lakini uliamua kutumia nafsi ya kwanza umoja. Hebu tuletee utetezi wako bi mkubwa....
Habar zenu hop mko gud
okay katika chat chat zangu humu c nkakutana na jamaa mmoja tukawa tumeelewana sana
tukachage namba basi daily lazma tuongee yan silali bila kusikia saut yake nae halali bila kunisikia (apo mie nina mchumba wangu) nae ana wake!
bas tukapanga kuonana ye anakaa mbali kdg na nilipo mkaka wa watu huyo kajaza mafuta huyoo mguu kwangu
akafika zake hotel akanialika for diner
nikajikwatua mtoto wa kike
mie hyo had nlipoelekezwa kufika kuonana na yule mkaka oooh my God it was suprz ckuamn nilivutiwa sana na muonekano wake na yy akafurah sana kuniona
tukakaaa story tukapata diner vinywaj fresh
Kwa muda mfupi niliokaa na yule mkaka nulijikuta nimempenda na yeye pia alinambia amenipenda yupo radh kwa lolote he dnt care!ananihitaji
Niliinjoy sana kwa kweli tulivyoagana dah acha tu ilikuwa majonzi sasa nipo njia panda jamaa ananiambia anataka kwenda nyumbani kwetu kwa gharama yyte
nipen msaada wenu mchumba wangu nampenda na huyu mkaka wa jf nimempenda tena sana
Mada za JF siku hizi...Money stunna tayari ashaenda kutambulishwa...mi nakushauri fuata moyo wako!! Hawa wa JF ni karanga zza kuonjeshwa tu..komaa na wa kitaa. Usije adhirika bidada. Hata ingekuwa ni mm ningekuja na swaga hizo za kujaza tank na kukutoa dinna. Jitambue
Nukuu hii hapa chini nimeitoa katika thread yako ya karibuni...
https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/590805-alichonifanyia-mdogo-wangu-naumia.html
Katika thread hiyo ulitueleza kuwa umeolewa, una mume na namna mdogo wako alivyoiweka ndoa yako matatani...
Nanukuu:
Lakini leo tena naona unatueleza kuwa una mchumba, lakini umekutana na mkaka wa JF ambaye umevutiwa naye na yeye kavutiwa nawe...
Nanukuu:
Sasa bi mkubwa, huku kama si ni kucheze akili na muda wetu?
Nahisi utajitetea kama wanavyojitetea wengine kuwa katika thread ya mwanzo hakikuwa kisa kinachokuhusu, lakini uliamua kutumia nafsi ya kwanza umoja.
Hebu tuletee utetezi wako bi mkubwa....