Mapi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2011
- 6,848
- 2,741
Bado unasubir hilo!! Keshaacha vumbi.Hahaaa jirani....ngoja tusubilie utetezi..
Bado unasubir hilo!! Keshaacha vumbi.Hahaaa jirani....ngoja tusubilie utetezi..
Nukuu hii hapa chini nimeitoa katika thread yako ya karibuni...
https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/590805-alichonifanyia-mdogo-wangu-naumia.html
Katika thread hiyo ulitueleza kuwa umeolewa, una mume na namna mdogo wako alivyoiweka ndoa yako matatani...
Nanukuu:
Lakini leo tena naona unatueleza kuwa una mchumba, lakini umekutana na mkaka wa JF ambaye umevutiwa naye na yeye kavutiwa nawe...
Nanukuu:
Sasa bi mkubwa, huku kama si ni kucheze akili na muda wetu?
Nahisi utajitetea kama wanavyojitetea wengine kuwa katika thread ya mwanzo hakikuwa kisa kinachokuhusu, lakini uliamua kutumia nafsi ya kwanza umoja.
Hebu tuletee utetezi wako bi mkubwa....
mie mzima wa afya njema kabisa, hofu kwako, umeona na davina hapo juu kapotea njia ama magari yamegongana:a s 13:, sijui ndugu yangu mankaa ndio katujia na hiyo?
ahsnte watu nane ,analeta utoto humu ndani.......ny..ko yake!nukuu hii hapa chini nimeitoa katika thread yako ya karibuni...
https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/590805-alichonifanyia-mdogo-wangu-naumia.html
katika thread hiyo ulitueleza kuwa umeolewa, una mume na namna mdogo wako alivyoiweka ndoa yako matatani...
Nanukuu:
Lakini leo tena naona unatueleza kuwa una mchumba, lakini umekutana na mkaka wa jf ambaye umevutiwa naye na yeye kavutiwa nawe...
Nanukuu:
Sasa bi mkubwa, huku kama si ni kucheze akili na muda wetu?
Nahisi utajitetea kama wanavyojitetea wengine kuwa katika thread ya mwanzo hakikuwa kisa kinachokuhusu, lakini uliamua kutumia nafsi ya kwanza umoja.
Hebu tuletee utetezi wako bi mkubwa....
miss wa kinyaru mi sidanganyiki, labda unidanganye wewe.....kwetu pazuriHuyu mchaga kakimbia tuhuma, wewe Mankaa kuja huku ujibu mashitaka yako, tunasubiri utetezi wako wewe njoo utudanganye danganye tu tutakuelewa.
Bado unasubir hilo!! Keshaacha vumbi.
Ahaaa wewe utakuwa ndo huyo ulokutana na Mankaa,kwann unatetea upuuzi??
Sijasema ni mwisho wa hisia,Ukishakuwa na committment(uchumba/ndoa) lazima ujifunza kucontroll hisia zako au utakuwa mzinzi.....Kwanza kitendo cha yeye kuongea na mwanaume mwengine mpaka kuonana nae angali yupo kwenye mahusiano tayari kimenifanya nimuweke kwenye "BLACK LIST",hajiheshimu wala hajitambui na ana tamaa!!Kama hana furaha katika ndoa/uhusiano wake atafute suluhisho kwanza kabla hajaangukia pua.....
NANUKUU HAKUNA URAFIKI KATI YA MWANAMKE NA MWANAUME......MTAKUJA KUTAMANIANA TU NA NI NATURE!!
nadhani wahusika watashughulikia....huu utaratibu wa kupotezeana muda sio mzuri....ndo maana wengine inabidi tuchat tu manake hakuna mtu aliye serious
Kucopy post za watu wengine kutoka blog nyingine au Facebook na kuleta hapa bila kusema sio tabia nzuri...wengine tunakuwa tumeshacomment huko huko
CC watu8 Fixed Point nadhani tunahitaji policy ya hii makitu...copy paste bila proper acknowledgement iwe ina attract ban ya wiki
Habar zenu hop mko gud
okay katika chat chat zangu humu c nkakutana na jamaa mmoja tukawa tumeelewana sana
tukachage namba basi daily lazma tuongee yan silali bila kusikia saut yake nae halali bila kunisikia (apo mie nina mchumba wangu) nae ana wake!
bas tukapanga kuonana ye anakaa mbali kdg na nilipo mkaka wa watu huyo kajaza mafuta huyoo mguu kwangu
akafika zake hotel akanialika for diner
nikajikwatua mtoto wa kike
mie hyo had nlipoelekezwa kufika kuonana na yule mkaka oooh my God it was suprz ckuamn nilivutiwa sana na muonekano wake na yy akafurah sana kuniona
tukakaaa story tukapata diner vinywaj fresh
Kwa muda mfupi niliokaa na yule mkaka nulijikuta nimempenda na yeye pia alinambia amenipenda yupo radh kwa lolote he dnt care!ananihitaji
Niliinjoy sana kwa kweli tulivyoagana dah acha tu ilikuwa majonzi sasa nipo njia panda jamaa ananiambia anataka kwenda nyumbani kwetu kwa gharama yyte
nipen msaada wenu mchumba wangu nampenda na huyu mkaka wa jf nimempenda tena sana
lol bestito Watu 8 unamwacha uchi mtoto wa mwanamke mwenzio plizzzzz msitiri kwa japo ngozi bababkatika thread hii hapa chini umejitabanaisha kwamba una mume na una ndoa ya miaka saba...
https://www.jamiiforums.com/mahusia...1-kuolewa-rahaaaaaaaa-kuzaa-nako-utamuuu.html
nanukuu:
Mweee...