Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 76,364
- 108,508
Halafu unaeza kuta kuwa ni dume hilo.
Mpwa tulia kwanza hahaha...
Halafu unaeza kuta kuwa ni dume hilo.
Habar zenu hop mko gud
okay katika chat chat zangu humu c nkakutana na jamaa mmoja tukawa tumeelewana sana
tukachage namba basi daily lazma tuongee yan silali bila kusikia saut yake nae halali bila kunisikia (apo mie nina mchumba wangu) nae ana wake!
bas tukapanga kuonana ye anakaa mbali kdg na nilipo mkaka wa watu huyo kajaza mafuta huyoo mguu kwangu
akafika zake hotel akanialika for diner
nikajikwatua mtoto wa kike
mie hyo had nlipoelekezwa kufika kuonana na yule mkaka oooh my God it was suprz ckuamn nilivutiwa sana na muonekano wake na yy akafurah sana kuniona
tukakaaa story tukapata diner vinywaj fresh
Kwa muda mfupi niliokaa na yule mkaka nulijikuta nimempenda na yeye pia alinambia amenipenda yupo radh kwa lolote he dnt care!ananihitaji
Niliinjoy sana kwa kweli tulivyoagana dah acha tu ilikuwa majonzi sasa nipo njia panda jamaa ananiambia anataka kwenda nyumbani kwetu kwa gharama yyte
nipen msaada wenu mchumba wangu nampenda na huyu mkaka wa jf nimempenda tena sana
Nukuu hii hapa chini nimeitoa katika thread yako ya karibuni...
https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/590805-alichonifanyia-mdogo-wangu-naumia.html
Katika thread hiyo ulitueleza kuwa umeolewa, una mume na namna mdogo wako alivyoiweka ndoa yako matatani...
Nanukuu:
Lakini leo tena naona unatueleza kuwa una mchumba, lakini umekutana na mkaka wa JF ambaye umevutiwa naye na yeye kavutiwa nawe...
Nanukuu:
Sasa bi mkubwa, huku kama si ni kucheze akili na muda wetu?
Nahisi utajitetea kama wanavyojitetea wengine kuwa katika thread ya mwanzo hakikuwa kisa kinachokuhusu, lakini uliamua kutumia nafsi ya kwanza umoja.
Hebu tuletee utetezi wako bi mkubwa....
Habari,
Naishi na mume wangu kwa muda wa miaka saba sasa.
Mume wangu hajatulia, kuna nyumba yetu tunajenga na ndio tumepiga bati. Nina uwezo wa kuiendeleza ka sasa, na hapa tunapokaa tunalika kodi ya laki tatu. Mimi nina uwezo wa pesa ambayo naweza malizia hiyo nyumba ya vyumba vitatu tukahamia hapo kwetu.
Habar zenu hop mko gud
okay katika chat chat zangu humu c nkakutana na jamaa mmoja tukawa tumeelewana sana
tukachage namba basi daily lazma tuongee yan silali bila kusikia saut yake nae halali bila kunisikia (apo mie nina mchumba wangu) nae ana wake!
bas tukapanga kuonana ye anakaa mbali kdg na nilipo mkaka wa watu huyo kajaza mafuta huyoo mguu kwangu
akafika zake hotel akanialika for diner
nikajikwatua mtoto wa kike
mie hyo had nlipoelekezwa kufika kuonana na yule mkaka oooh my God it was suprz ckuamn nilivutiwa sana na muonekano wake na yy akafurah sana kuniona
tukakaaa story tukapata diner vinywaj fresh
Kwa muda mfupi niliokaa na yule mkaka nulijikuta nimempenda na yeye pia alinambia amenipenda yupo radh kwa lolote he dnt care!ananihitaji
Niliinjoy sana kwa kweli tulivyoagana dah acha tu ilikuwa majonzi sasa nipo njia panda jamaa ananiambia anataka kwenda nyumbani kwetu kwa gharama yyte
nipen msaada wenu mchumba wangu nampenda na huyu mkaka wa jf nimempenda tena sana
habari za humu
naamini wote wazima kabisa
nimeamua nije humu mnishauri kwani nipo njia panda
nina mume ambaye nimeishi nae miaka 7tuna mtoto mmoja wa kiume nina
.....
Nukuu hii hapa chini nimeitoa katika thread yako ya karibuni...
https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/590805-alichonifanyia-mdogo-wangu-naumia.html
Katika thread hiyo ulitueleza kuwa umeolewa, una mume na namna mdogo wako alivyoiweka ndoa yako matatani...
Nanukuu:
Lakini leo tena naona unatueleza kuwa una mchumba, lakini umekutana na mkaka wa JF ambaye umevutiwa naye na yeye kavutiwa nawe...
Nanukuu:
Sasa bi mkubwa, huku kama si ni kucheze akili na muda wetu?
Nahisi utajitetea kama wanavyojitetea wengine kuwa katika thread ya mwanzo hakikuwa kisa kinachokuhusu, lakini uliamua kutumia nafsi ya kwanza umoja.
Hebu tuletee utetezi wako bi mkubwa....
Nukuu hii hapa chini nimeitoa katika thread yako ya karibuni...
https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/590805-alichonifanyia-mdogo-wangu-naumia.html
Katika thread hiyo ulitueleza kuwa umeolewa, una mume na namna mdogo wako alivyoiweka ndoa yako matatani...
Nanukuu:
Lakini leo tena naona unatueleza kuwa una mchumba, lakini umekutana na mkaka wa JF ambaye umevutiwa naye na yeye kavutiwa nawe...
Nanukuu:
Sasa bi mkubwa, huku kama si ni kucheze akili na muda wetu?
Nahisi utajitetea kama wanavyojitetea wengine kuwa katika thread ya mwanzo hakikuwa kisa kinachokuhusu, lakini uliamua kutumia nafsi ya kwanza umoja.
Hebu tuletee utetezi wako bi mkubwa....
Katika vitu nnavyopenda ni kuonana na waty mbali mbali na kubadilishana mawazo
nawaza kama kuna wadada/wamama wenzangu wababa/wakaka tunaweza kuweka umoja wa kufahamiana kwa wote waishio dodoma
ama nitakuwa nimekosea kwa wazo hili???