FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 92,883
- 109,212
Umeandika kwa hasira kweli. Hebu edit kidogo baada ya kutulizana.Ukweni wastaarabu kujataliwa ni sehemu ya maisha. Haya mambo ya kuwekeana vinyongo ni kwanini?
Mtu anarudi na ID mpya ana kupaka tu kila unachopost kumbe anamaliza hasira.
Wamezoeshwa na kina dada wasiojuwa kukataa.