Kuna member wa JF hawajui kukataliwa

Kuna member wa JF hawajui kukataliwa

Pole kwa usumbufu ila utakua umemkabalia bila ustaarabu mbona angekuelewa!
 
Ukweni wastaarabu kujataliwa ni sehemu ya maisha. Haya mambo ya kuwekeana vinyongo ni kwanini?

Mtu anarudi na ID mpya ana kupaka tu kila unachopost kumbe anamaliza hasira.
🙆🏽‍♂️🙆🏽‍♂️
 
Kukataliwa kunauma kuliko uchungu wa mtoto wa kiume!!! Usione tumekaa kimya, tunakumind in background
 
Ukweni wastaarabu kujataliwa ni sehemu ya maisha. Haya mambo ya kuwekeana vinyongo ni kwanini?

Mtu anarudi na ID mpya ana kupaka tu kila unachopost kumbe anamaliza hasira.
Sky eclat kweli umevurugwa "ukweni, kujataliwa"?
 
Nani siri yake imefichuliwa?
Kwan ni wew ndo ulikataliwa?
Tatizo na nyie tukiwatongoza mnatukataa alafu mnaenda kutoa siri ya kambi wakati ni mambo ya PM yanatakiwa yaishe kule kule
 
Back
Top Bottom