Ukikataliwa na mwanamke usiumie, si jambo baya kama unavyodhani ni jambo zuri

Infinite_Kiumeni

JF-Expert Member
Jan 23, 2023
382
661
Kukataliwa maana yake haufai kwa huyo mtu.

Sababu zinaweza zikawa nyingi/ tofauti, lakini kukataliwa si jambo baya.

Hiyo ni sehemu moja kati ya sehemu nyingi ambazo utakutana nazo maishani.

Asikudanganye mtu kwamba kuna kitu ukikosa hutopata tena.

Wanaume wengi wamekua wakilalamika na maumivu ya kukataliwa.

Wengine wanawatukana wanawake, kuwafanyia visa au kuwanunia.

Unajishusha heshima ukifanya hivyo. Hizo ni tabia za kike.
Mwanaume hujaumbwa kutetereshwa na mwanamke kwa jambo lolote.

Awe amekusema vibaya au amekukataa mbele ya umati, kumbuka we ni mwamba hautetereshwi na chochote kile.
.
Unapata shida sababu unamuweka mwanamke juu yako.

Unamuweka kama jaji kwako, kwamba akikujaji jamii itakuona vibaya pia. Hiyo ilikua kweli zamani. Lakini sasa mambo yamebadilika.

Mawazo yako yasiwe “atanifikiriaje huyu?”/ “sjui atakubali hili”.

Hayo ni mawazo ya mtoto kwa mama yake.

Sasa wewe badilisha picha umchukulie kama mdogo wako (kihisia wanawake ni watoto).

Usimuweke mwanamke juu yako.

Kiasi kwamba unaona maisha yako yatakua mabaya ukimkosa. Hapana. Yeye ndo atakukosa wewe, yeye ndo atakosa mtu mzuri wa kuwa naye kwenye mahusiano.

Usilalamike umekataliwa.

Hata hivyo, matendo au maneno ya mwanamke hayatakiwi kukuteteresha.
.
Kwanini kukataliwa ni jambo zuri.
Kila unapokataliwa ni nafasi yako ya kujifunza.

Ni nafasi nzuri ya kufanya mazoezi ya kuwa na akili imara. Ni nafasi nzuri ya kujifunza kuhusu wewe. Ni nafasi nzuri kujua unachotaka ni nini.

Utajua nini ukifanya haina faida, na nini kina faida.

Unakua imara bila kumtegemea mwanamke.

Na unajitengenezea akili kwamba ‘mwanamke sio chanzo cha furaha yangu’.

Akili hiyo inakusaidia kujiondoa kwenye kufikiria ‘kukataliwa/ kukubaliwa na mwanamke’ na inakuweka katika akili ‘huyu ndo ananivutia zaidi acha niendelee naye’/ ‘ngoja niendelee kutafuta mwanamke atakaye nivutia zaidi’.

Kuliko kukaa kusubiri muujiza.

Uchaguzi ni wako, uwe mwanaume wa kulalamika na kukosa matokeo au uwe mwanaume wa kubadilika na kuwajibika ili upate matokeo.

Pia ukikataliwa hujui ni baya gani umeepushwa nalo, mshukuru Mungu.

Lakini,
Ukiona unakataliwa kila mara ujue una shida fulani. Ujue hauna hadhi ya kuendeleza uzao wako. Mchakato wako au tabia yako kiujumla ina shida fulani.

Kwa maana hiyo unashida binafsi ila sio jambo baya hivyo inabidi uanze kujishughulikia wewe kwanza, hivyo usisite kunifata whatsapp ili ujue ni wapi ubadilishe mchakato na ufanikiwe.

Nikutakie Sikukuu Njema.
 
Sikumbuk kama nimewahi kukataliwa na mwanamke... Labda useme kucheleweshewa kupewa utelezi...
Vijana tafuteni pesa na maisha achaneni kuhangaika na wanawake wanawapotezea muda na maisha...
By the way huo muda wa kuhangaika na mwanamke kujenga mahusiano, utumie muda huo kujenga uchumi kwajili ya maisha yako...
 
Kukataliwa maana yake haufai kwa huyo mtu.

Sababu zinaweza zikawa nyingi/ tofauti, lakini kukataliwa si jambo baya.

Hiyo ni sehemu moja kati ya sehemu nyingi ambazo utakutana nazo maishani.

Asikudanganye mtu kwamba kuna kitu ukikosa hutopata tena.

Wanaume wengi wamekua wakilalamika na maumivu ya kukataliwa.

Wengine wanawatukana wanawake, kuwafanyia visa au kuwanunia.

Unajishusha heshima ukifanya hivyo. Hizo ni tabia za kike.
Mwanaume hujaumbwa kutetereshwa na mwanamke kwa jambo lolote.

Awe amekusema vibaya au amekukataa mbele ya umati, kumbuka we ni mwamba hautetereshwi na chochote kile.
.
Unapata shida sababu unamuweka mwanamke juu yako.

Unamuweka kama jaji kwako, kwamba akikujaji jamii itakuona vibaya pia. Hiyo ilikua kweli zamani. Lakini sasa mambo yamebadilika.

Mawazo yako yasiwe “atanifikiriaje huyu?”/ “sjui atakubali hili”.

Hayo ni mawazo ya mtoto kwa mama yake.

Sasa wewe badilisha picha umchukulie kama mdogo wako (kihisia wanawake ni watoto).

Usimuweke mwanamke juu yako.

Kiasi kwamba unaona maisha yako yatakua mabaya ukimkosa. Hapana. Yeye ndo atakukosa wewe, yeye ndo atakosa mtu mzuri wa kuwa naye kwenye mahusiano.

Usilalamike umekataliwa.

Hata hivyo, matendo au maneno ya mwanamke hayatakiwi kukuteteresha.
.
Kwanini kukataliwa ni jambo zuri.
Kila unapokataliwa ni nafasi yako ya kujifunza.

Ni nafasi nzuri ya kufanya mazoezi ya kuwa na akili imara. Ni nafasi nzuri ya kujifunza kuhusu wewe. Ni nafasi nzuri kujua unachotaka ni nini.

Utajua nini ukifanya haina faida, na nini kina faida.

Unakua imara bila kumtegemea mwanamke.

Na unajitengenezea akili kwamba ‘mwanamke sio chanzo cha furaha yangu’.

Akili hiyo inakusaidia kujiondoa kwenye kufikiria ‘kukataliwa/ kukubaliwa na mwanamke’ na inakuweka katika akili ‘huyu ndo ananivutia zaidi acha niendelee naye’/ ‘ngoja niendelee kutafuta mwanamke atakaye nivutia zaidi’.

Kuliko kukaa kusubiri muujiza.

Uchaguzi ni wako, uwe mwanaume wa kulalamika na kukosa matokeo au uwe mwanaume wa kubadilika na kuwajibika ili upate matokeo.

Pia ukikataliwa hujui ni baya gani umeepushwa nalo, mshukuru Mungu.

Lakini,
Ukiona unakataliwa kila mara ujue una shida fulani. Ujue hauna hadhi ya kuendeleza uzao wako. Mchakato wako au tabia yako kiujumla ina shida fulani.

Kwa maana hiyo unashida binafsi ila sio jambo baya hivyo inabidi uanze kujishughulikia wewe kwanza, hivyo usisite kunifata whatsapp ili ujue ni wapi ubadilishe mchakato na ufanikiwe.

Nikutakie Sikukuu Njema.
Haya ndio mawazo anayotakiwa kuwa nayo mwanaume mwenye umri wa miaka 33 na kuendelea
 
Hayanaga muongozo, na tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...
 
Ww endelea kukaza fuvu kwa kutongoza, kutongoza iliisha miaka ya90 ndyo maana unakataliwa, kwa hali iyo ya kutongoza hta uende Riverside utakataliwa2
 
Kukataliwa maana yake haufai kwa huyo mtu.

Sababu zinaweza zikawa nyingi/ tofauti, lakini kukataliwa si jambo baya.

Hiyo ni sehemu moja kati ya sehemu nyingi ambazo utakutana nazo maishani.

Asikudanganye mtu kwamba kuna kitu ukikosa hutopata tena.

Wanaume wengi wamekua wakilalamika na maumivu ya kukataliwa.

Wengine wanawatukana wanawake, kuwafanyia visa au kuwanunia.

Unajishusha heshima ukifanya hivyo. Hizo ni tabia za kike.
Mwanaume hujaumbwa kutetereshwa na mwanamke kwa jambo lolote.

Awe amekusema vibaya au amekukataa mbele ya umati, kumbuka we ni mwamba hautetereshwi na chochote kile.
.
Unapata shida sababu unamuweka mwanamke juu yako.

Unamuweka kama jaji kwako, kwamba akikujaji jamii itakuona vibaya pia. Hiyo ilikua kweli zamani. Lakini sasa mambo yamebadilika.

Mawazo yako yasiwe “atanifikiriaje huyu?”/ “sjui atakubali hili”.

Hayo ni mawazo ya mtoto kwa mama yake.

Sasa wewe badilisha picha umchukulie kama mdogo wako (kihisia wanawake ni watoto).

Usimuweke mwanamke juu yako.

Kiasi kwamba unaona maisha yako yatakua mabaya ukimkosa. Hapana. Yeye ndo atakukosa wewe, yeye ndo atakosa mtu mzuri wa kuwa naye kwenye mahusiano.

Usilalamike umekataliwa.

Hata hivyo, matendo au maneno ya mwanamke hayatakiwi kukuteteresha.
.
Kwanini kukataliwa ni jambo zuri.
Kila unapokataliwa ni nafasi yako ya kujifunza.

Ni nafasi nzuri ya kufanya mazoezi ya kuwa na akili imara. Ni nafasi nzuri ya kujifunza kuhusu wewe. Ni nafasi nzuri kujua unachotaka ni nini.

Utajua nini ukifanya haina faida, na nini kina faida.

Unakua imara bila kumtegemea mwanamke.

Na unajitengenezea akili kwamba ‘mwanamke sio chanzo cha furaha yangu’.

Akili hiyo inakusaidia kujiondoa kwenye kufikiria ‘kukataliwa/ kukubaliwa na mwanamke’ na inakuweka katika akili ‘huyu ndo ananivutia zaidi acha niendelee naye’/ ‘ngoja niendelee kutafuta mwanamke atakaye nivutia zaidi’.

Kuliko kukaa kusubiri muujiza.

Uchaguzi ni wako, uwe mwanaume wa kulalamika na kukosa matokeo au uwe mwanaume wa kubadilika na kuwajibika ili upate matokeo.

Pia ukikataliwa hujui ni baya gani umeepushwa nalo, mshukuru Mungu.

Lakini,
Ukiona unakataliwa kila mara ujue una shida fulani. Ujue hauna hadhi ya kuendeleza uzao wako. Mchakato wako au tabia yako kiujumla ina shida fulani.

Kwa maana hiyo unashida binafsi ila sio jambo baya hivyo inabidi uanze kujishughulikia wewe kwanza, hivyo usisite kunifata whatsapp ili ujue ni wapi ubadilishe mchakato na ufanikiwe.

Nikutakie Sikukuu Njema.
Kwani Yana muda bhas
 
Back
Top Bottom