Kuna member wa JF hawajui kukataliwa

Wew nae kichwa panz tuu, najua na mme anae kustahili usha mkataa, utadanga ovyo na kuachika hadi ukomeee.
Umeandika kwa hasira kweli. Hebu edit kidogo baada ya kutulizana.

Wamezoeshwa na kina dada wasiojuwa kukataa.
 
Ukweni wastaarabu kujataliwa ni sehemu ya maisha. Haya mambo ya kuwekeana vinyongo ni kwanini?

Mtu anarudi na ID mpya ana kupaka tu kila unachopost kumbe anamaliza hasira.
Baba yetu amejaa visasi, kila aliyemuudhi utotoni sasa hivi anaisoma namba.
Ikiwa baba yetu amejaa kisasa why sisi tusiwe na kisasi?
hujawahi kuwa "mtoto wa nyoka ni nyoka?

Jiwe la Majiwe
 
kabisa mkuu, umeongea kweli, japo hata humu kuna k za maana tu but weledi, busara na hekima inatakikana
Mtu anaefukuzia k JF atakua na roho ngumu kama jiwe anahitaji medali ya ujasiri aisee!

JF central issue ni "anonymity"

I can never risk my precious anonymity for some random k JF..

Huku nchi kavu kuna k za kumwaga na kusaza!
 
Ukweni wastaarabu kukataliwa ni sehemu ya maisha. Haya mambo ya kuwekeana vinyongo ni kwanini?

Mtu anarudi na ID mpya ana kupaka tu kila unachopost kumbe anamaliza hasira.
Ila sista bwana, nakushauri upitie/uhariri habari zako kabla hujazituma.

Kwenye mada, hao wana tabia mbaya tu, mtu ukikataliwa si unanyamaza uanze upya tu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom