Nokia83
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 24,643
- 44,389
Tufanye marudio basi.
Hapana...first impression means alot [emoji41]
Tufanye marudio basi.
Hapana...first impression means alot [emoji41]
Wacha bwana!! Kwahiyo sikukuipress jamani!! Nitajitahidi this time kweli tena.
There wont a nxt time jn ulishakataa ombi langu
Ombi gani hilo tena jamani!! Mie sio mchoyo mbona, si ulisema mwenyewe!!!
Yo the one playing games ujue!! Mie niko serious kabisa.Ctaki tena ur playn games wit me
Yo the one playing games ujue!! Mie niko serious kabisa.
I av pleadin wit u toka jana lkn nmeona hamna dalili
Na wewe Sky ndio nini kumnyima mtu kitu ulichopewa bure
Hizi nyuzi ukinziunganisha kama Kuna 🤔au ndio yeye
We dalili zote hizi bado tu unasema huoni dalili jamani!! Si nadengua kidogo ili unibembeleze.
Njoo pm basi
We pm nilikutumia tangu jana hata haujibu alafu unanisingizia!!
Leo ni siku ya promo....!Yalishanikuta hayo, huwa nabonyeza button ya ignore, ila haichukui mda inakuja id mpya tena.
The cowardly act,.. The cowards....! Mimi ni muathirika wa hilo ila sikuwahi kuwaacha salama niliwapa vitasa vya nguvuUkweni wastaarabu kukataliwa ni sehemu ya maisha. Haya mambo ya kuwekeana vinyongo ni kwanini?
Mtu anarudi na ID mpya ana kupaka tu kila unachopost kumbe anamaliza hasira.
Basi bwana [emoji35]
Siku hizi PM zikijichanganya na kuwa wazi tutabaki wachache sana.Unaanzaje kutongoza mtu ambaye haumfahamu? Ushamba mzigo