Hatimae ajuza fox umerudUmeandika kwa hasira kweli. Hebu edit kidogo baada ya kutulizana.
Wamezoeshwa na kina dada wasiojuwa kukataa.
HahahahaHivi nyie huwa mnafanyaje mnapata hizo pm?
AseeHuwezi amini watu wanatongozana humu na kulana wanakulana na mahusiano juu kwa hizohizo avatar.Ni ajabu na kweli
Nahisi hili tangazo!!Hivi nyie huwa mnafanyaje mnapata hizo pm?
Nahisi hili tangazo!!
[emoji44][emoji44][emoji44][emoji44]Kwamba ulitongozwa na wasiokujua NO ni jibu pia?
Hahahaha, aseePole...Sasa mtu ameshajazwa ujinga..kaambiwa sky eclat sio mchoyo..Halafu anakuja unamnyima..lazima akumaindi..
ha ha ha ha h wengine wanalilia,wengine wanakataa,haya maisha hayaeleweki.Hivi nyie huwa mnafanyaje mnapata hizo pm?
Hahahahaha ha ha ha h wengine wanalilia,wengine wanakataa,haya maisha hayaeleweki.
Wengi wanaigiza tuHahahaha
Humu full senema