Kuna martial art bora kuliko Judo?

Nimeona wanamartial arts wengi wanapigwa na wacheza judo. Je judo ndiyo martial art bora zaidi?
View attachment 3656076
Je, judo iko ndani ya martial arts, kama jibu ni ndiyo kwa nini unasema "wanamartial arts wengi hupigwa wacheza judo"?

Hebu tueleze bhana sisi wazee wa kanisa maana hatuelewi lolote kuhusu michezo hiyo.
 
Inategemea unamaanisha ubora gani. Kama ni ubora wa kukumbatiana na kuangushana chini, sawa.
Ubora wa kwamba mtu wa Kickboxing, mieleka, ndondi, karate, Muay Thai etc si rahisi akampiga mtu wa Judo. Asilimia kubwa mtu wa Judo ataibuka mshindi.
 
Nimeona wacheza Judo wakiwadhibiti watu wa martial arts zingine bila hata kustrike
Toa mifano hai.

Mtu wa Judo wa rank gani kamdhibiti mtu wa mchezo gani na wa rank ipi?

Isije kuwa black belt wa Judo kapigana na white belt au yellow belt wa shotokan hapo lazima awadhibiti tu.

Mwisho kumbuka the deadliest style in martial arts is the one you train most.
 
Hivi mkuu judo au karate ina mwisho wa umri mtu kujifunza?
 
Alikudanganya pakubwa sana.

Karate unaweza kujifunza hata ukiwa mzee wa miaka 70.

Mazoezi hayana age limit.

Akina James Bond,Wesley Snipes,Chuck Norris hao wote wameanza mazoezi wakiwa na miaka 30+ na wametoboa fresh.
natamani mno nijifunze karate ila shida sipo dar
 
Je, judo iko ndani ya martial arts, kama jibu ni ndiyo kwa nini unasema "wanamartial arts wengi hupigwa wacheza judo"?

Hebu tueleze bhana sisi wazee wa kanisa maana hatuelewi lolote kuhusu michezo hiyo.
Martial art maana yake ni sanaa ya mapigano.

Michezo yote ya mapigano inaingia humo kuanzia karate, kung fu , wushu, boxing, capoeira , jeet kun do , judo, taekwondo nk
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…