Fbn
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 14,138
- 33,525
Hapa na zungumzia usafi wa kuoga na kutumia mafuta.
Ukiangalia kwa jicho la tatu yani una toa uchafu ulicho kitumia na uchafu wako kisha unajipaka uchafu.
Mafuta tunayopaka unakuta yame changanywa na maziwa,mafuta yametoka vyanzo vya leo tuna tumia kwenye vyombo vya moto,wanyama,matunda.
Swali kifikra unaweza ukachukua maziwa hapo ukajipaka kama utakubari.