hakika mtu ambae hana akili ni weweNi jambo baya ila naweka pia na wengine wajifunze. Wakati mwingine usitake sana kumridhisha au kumfurahisha mwenzio. Usitake kuvumilia sana tabia ambazo unajua si sawa kwa kigezo cha mapenzi.
Huyu dada nilimkuta na mtoto nikamwambia haina shida nitamlea mtoto. Mumewe alifariki. Lakini kama ambavyo nliandika uzi jana. Sisemi single mothers wote wapo hivi ila huyu wangu ni kilaza. Nlimuamini sababu ana degree alimaliza CBE na ni dada mzuri wa sura , umbo na rangi. Nlidhani pia kwa kufiwa na kuwa na mtoto angekuwa matured. Bado ana upumbavu mwingi kichwani.
View attachment 2866044View attachment 2866046View attachment 2866048View attachment 2866049
😍😍Eishhhhh! Hata mimi fellow single mother nakuunga mkono 💯
Achana nae huyo single mother wako maana utoto umemjaa sana.
Excuses zake zote ni za kipuuzi 100%. Ata/mtaleaje mtoto kwa style hiyo eti kisa baba yake kafariki..?🙄🙄
Hapo ndo utagundua kwanini wachaga tuligundua kusema "Yesu na Maria"Ila kwa hizi conversation kama ni real hapo hakuna mtu , atakutesa wakati yeye anaona wewe unamtesa , Yani hata kama hujasoma sms zote ukisoma ya kupangiwa nyumba tu 300k unaona hapo hivi kichwa RIP
Yani hiyo 300k imenifanya nimekasirika ghafla nikasonya kumbe jirani kanisikia akajua namsonya yeye
Mtu ambaye hana akili timamu huwa anajiona yupo entitled kwa vitu ambavyo hata sio stahiki yake muda mwingi.Ukilipa hiyo 300k wewe unafaidika na nini? Maana utelezi hautoshi kwa hiyo pesa
Mshahara wa mwalimu kabisa huo yeye anaona simple tu
Mwambie atafute zake akajipangie hiyo nyumba
Miaka mitatu mbali sana, mwaka na miezi tayari anakuwa ameshaanza kijua kujikojolesha.Dr. Unakubaliana mtoto wa miaka Saba kujikojolea?mtoto kuacha kukojoa kitandani wengi kuanzia miaka 3 wenye akili shape ni 2.8....huyo dada analea vibaya mtoto uongo ni dhambi,
Hebu fikiria jamani!Miaka mitatu mbali sana, mwaka na miezi tayari anakuwa ameshaanza kijua kujikojolesha.
Tunaomba Notes za trauma tuzipitiemtoto ana trauma
Tupe Notes za trauma tuzipitiemtoto ana trauma
Nimekuelewa sana broSasa kwani uwongo....wee ulionaga wapi mechi inaanza 1-0
Tusilete ujuaji mwingi hapa single mothers watamu ila kuwa date kuna changamoto nyingi ambazo u can do without kama ukichukua demu ambaye wee ndio unaanza kuweka kitu kwa oven.
Wee kama unaona utawezana na hizo changamoto sawa. Ila sio waja lalamika hapa na wakati tulishawaambia.
Wee ukitaka kujua hawa single maza wahuni, wao hawataki kabisa mtoto wao wa kiume aoe single maza. So they know its never a virtue being a single maza but wanajitia uwazimu tuu hapa
Siku yakikukuta ndio utajua kua ulikua hujui u achokijua.Wachangiaji wengi Ni wa binafsi Sana hapa wanaungana na huyu psychopath , mwenye shida ya Akili na ubinafsi mwingi
Angekuwa mwanao ungesema apelekwe kwa bibi yake? Jibu ni hapana.
Nakumbuka kuna siku mwenzangu alienda kazn mm nipo home mtoto mkubwa tu kama miaka 4 Akaenda karuharibu mazingira, karbu na bara bara akachafua mazingira nikaskia Naitwa na mrembo mmoja , baba fulan. .....njoo uone mwanao alicho Fanya nikafika nikapasafisha, na kajasho la aibu. nikamwosha nikatulia zangu kimya.
Siku mchapa ila Baada siku kazaa akaaza kupenda kwenda chooni bila kushurtishwa hivyo upendo ni Mzuri.
Mimi kinyesi Cha mwanangu huwa naona kama hakina harufu.
Huyo mtoto ulimchukia kwasababu siyo wako.
Ukweli ulimtamani Huyo mwanamke Baada ya kimchoka ukaanza kuonyesha Rangi halisi uliyo nayo.
Kwa Masuala ya mtoto una roho mbaya Sana naungana naye na huku
Unajiona ulitenda wema ...ukisha mlala mwanamke kola unachomfanyia siyo wema hata ukijanga kwao ni fadhila ya unyumba wake.
Jifunze upendo acha roho mbaya na kiburi.
Hata ww huna stara kwann umesema moja kwa moja jamaa anaroho mbaya yaani mtoto wa miaka Saba tulale nae kweli we unaakili kweli... Yaan kweli sisi wanaume mungu atusaidie kama ndio wanawake kama Hawa dahWachangiaji wengi Ni wa binafsi Sana hapa wanaungana na huyu psychopath , mwenye shida ya Akili na ubinafsi mwingi
Angekuwa mwanao ungesema apelekwe kwa bibi yake? Jibu ni hapana.
Nakumbuka kuna siku mwenzangu alienda kazn mm nipo home mtoto mkubwa tu kama miaka 4 Akaenda karuharibu mazingira, karbu na bara bara akachafua mazingira nikaskia Naitwa na mrembo mmoja , baba fulan. .....njoo uone mwanao alicho Fanya nikafika nikapasafisha, na kajasho la aibu. nikamwosha nikatulia zangu kimya.
Siku mchapa ila Baada siku kazaa akaaza kupenda kwenda chooni bila kushurtishwa hivyo upendo ni Mzuri.
Mimi kinyesi Cha mwanangu huwa naona kama hakina harufu.
Huyo mtoto ulimchukia kwasababu siyo wako.
Ukweli ulimtamani Huyo mwanamke Baada ya kimchoka ukaanza kuonyesha Rangi halisi uliyo nayo.
Kwa Masuala ya mtoto una roho mbaya Sana naungana naye na huku
Unajiona ulitenda wema ...ukisha mlala mwanamke kola unachomfanyia siyo wema hata ukijanga kwao ni fadhila ya unyumba wake.
Jifunze upendo acha roho mbaya na kiburi.
Utoto rahaWachangiaji wengi Ni wa binafsi Sana hapa wanaungana na huyu psychopath , mwenye shida ya Akili na ubinafsi mwingi