Kuna maisha baada ya kupigwa kibuti

Kuna maisha baada ya kupigwa kibuti

asante....[emoji23] [emoji23] [emoji23] hivi umenizidi umri eeh??nikupe cheo chako cha dada
nahisi nimekuzidi siunanijuaga ninavyo penda ukubwa ila hakuna uzi uliotolewa comments za kueleweka kam huu tangu niijue jf[emoji23][emoji23]
 
Yani leo hakuna alie changia pumba,,watu wamefunguka haswa
 
nahisi nimekuzidi siunanijuaga ninavyo penda ukubwa ila hakuna uzi uliotolewa comments za kueleweka kam huu tangu niijue jf[emoji23][emoji23]
Imebidi niangalie profile yako..hahaha kama ule pale ndio umri wako halisi basi nimekuzid sana
 
Aisee umenikumbusha mbali nilikuwa chuo karibia na mitihani yaani bado mwezi moja nifanye final nikafumania boyfriend yeye alikuwa kaajiriwa kwanza nilikosa usingizi wiki nzima mawazo nikakonda ila nikajiambia kwanini niteseke ni bora kukubali ukweli kuwa sipendwi! nikawekeza muda wangu kusoma kwa bidii yaani huwezi amini nilifaulu kuliko semister zote zilizopita muhimu ni kujitambua unataka nini utoe akili yako na uwekeze kwenye jambo au mambo productive ingawa inahitaji moyo wa ujasiri mno
 
wengine wana disco kabisa,hongera sana kwa kuweza kuhandle situation vyema
 
Back
Top Bottom