Kuna maisha baada ya kupigwa kibuti

Kuna maisha baada ya kupigwa kibuti

Yaani haya mapenzi yanaumiza watu mpaka inafikia hatua mioyo yetu inakuwa sugu. Hata uumizwe vipi hupati maumivu.
Me nilishasema sitakaa nitoe chozi tena katika maisha yangu kisa kulilia mapenzi. Niliyoyatoa yanatosha [emoji113][emoji113][emoji113][emoji113][emoji113].na MUNGU anisaidie
Pole super woman,Mungu akupe moyo wa ujasiri,usiumizwe tena
 
Yaani haya mapenzi yanaumiza watu mpaka inafikia hatua mioyo yetu inakuwa sugu. Hata uumizwe vipi hupati maumivu.
Me nilishasema sitakaa nitoe chozi tena katika maisha yangu kisa kulilia mapenzi. Niliyoyatoa yanatosha [emoji113][emoji113][emoji113][emoji113][emoji113].na MUNGU anisaidie
Polee sana
 
Back
Top Bottom