Kuna kitu hakiko sawa BAVICHA

Kuna kitu hakiko sawa BAVICHA

nimenukuu katiba ya chadema inayotuongoza, kama kila mtu akisimama kwa nafasi yake chama kitasonga mbele, chadema sasa hivi inafanya kazi kitaasis badala ya kiharakati.


kwa siasa zote duniani hatiwezi ondoa mbinu ya mmoja kwa maelfu!
Wenyekiti kama unasikia fanya kitu kionekane???
 
ndio tunajuwa dada Pendo Peneza na Ben Saanane walikuwa bora, ila viongozi wanaona tuwakilisha walimchaguwa walio Muona yupo juu zaida, kwa mda mfupi viatu vime mpwaya, tuwaombe Ben na Peneza wamsaidi Mwenyekiti wa sasa japo ushauri wa mbinu.
 
ndio tunajuwa dada pendo peneza na ben saanane walikuwa bora, ila viongozi wanaona tuwakilisha walimchaguwa walio muona yupo juu zaida, kwa mda mfupi viatu vime mpwaya, tuwaombe ben na peneza wamsaidi mwenyekiti wa sasa japo ushauri wa mbinu.

upendo was the best.
-
ben for one zone code!
 
ndio tunajuwa dada Pendo Peneza na Ben Saanane walikuwa bora, ila viongozi wanaona tuwakilisha walimchaguwa walio Muona yupo juu zaida, kwa mda mfupi viatu vime mpwaya, tuwaombe Ben na Peneza wamsaidi Mwenyekiti wa sasa japo ushauri wa mbinu.


wajumbe wa BAVICHA ndo walimchagua na si viongozi wa kitaifa,ni wanachama na wapenzi ndo tulimchagua
 
Kwani kitengo cha habari hakiko chini ya Mwenyekiti wa BAVICHA?

Hakuna mtu mwenye majungu hapa...watu tunakosoa hadharani na kwa fact.

Tunataka kuona baraza la vijana Vibrant...wao ndio walitakiwa wawe wana run the shownchi nzima....

walitakiwa wawe kweye midomo ya Watanzania

Tusilete visingizio eti kazi zinafanyika kimya kimya...Kazi ya siasa na kimya kimya wapi na wapi?

Patrobas ajitafakari....mshaurini aiweke timu yake vizuri...waingie kazini

Kama hawezi yeye aunde timu au task force ya kuendesha operesheni anuwai.....

Tatizo lililopo BAVICHA ni central Coordination

Mkuu huo ndio ukweli kabisa, nafasi za kiuongozi za kisiasa sio ea kukaa ofisini,
 
hata mimi nina mashaka nae huyu * chadema kwanza*

uyu jamaa kamekuwa akimpinga yoyote anae toa ushauri yuu ya lolote kuhusu Chadema. kama kweli unaipenda chadema na una nia ya dhati toka mafichoni uje na ID ya kwel. Chadema kwanza, maana mleta mada kaja na Fact na ww njoo na Fact, utuambie mwenyekiti wa sasa kafanya nn
 
wajumbe wa bavicha ndo walimchagua na si viongozi wa kitaifa,ni wanachama na wapenzi ndo tulimchagua

mr.kilunga vyovyote iwavyo kwa siasa hizi za p.katambi lazima tuwe wakweli kuwa anapwaya!
-ombi kwake akisahihishe kwa manufaa ya chama na kama hawezi basi awe na utayaro wa kikisolewa ili challenges zimsaidie kufikia goals tunazozohitaji?
**bado tunampenda ajisahihishe!???
 
mr.kilunga vyovyote iwavyo kwa siasa hizi za p.katambi lazima tuwe wakweli kuwa anapwaya!
-ombi kwake akisahihishe kwa manufaa ya chama na kama hawezi basi awe na utayaro wa kikisolewa ili challenges zimsaidie kufikia goals tunazozohitaji?
**bado tunampenda ajisahihishe!???


ngoja nita ku-Pm mkuu jambo
 
Chademakwanza umenikwaza sana!!!

Mwenyekiti wa BAVICHA kashindwa kazi! That is a fact! Angalia mdee alipochukua tu kiti alifanya amsha amsha tukajua Bawacha imepata jembe!! Though sasa ivi kapoa kidogo.

Huyu wa bavicha hata jina lake ndo nimelijua leo!! huyu ni janga!! mi ni mpenzi wa mabadiliko so nasikitika pale nnapoona kitengo muhimu cha kusukuma haya mabadiliko kimepata steringi bogas kama huyu patrogas!!

Patrogas ni mzuri ofisi lake kwenye jukwaa ni 0, ameziwa na makamu mwenyeti hata katibu.

ni aibu kwa BAVICHA kuzidiwa na BAWACHA.
 
peleka malalamiko au ushauri kwenye vikao au ofisi za chadema zilizo karibu nawe watazishughulikia. Huku kwenye mitandao ya kijamii sio ofisi zetu, huku unaweza kujibiwa na washabiki au wanachama wa kawaida..... Official ni muhimu mkuu


hapo kidogo unaanza kuleweka,pisto lero ushauri huu uufanyie kazi!
 
Back
Top Bottom