Kuna kitu hakiko sawa BAVICHA

Kuna kitu hakiko sawa BAVICHA

Ni sawa tunataka kwa dhati kabisa kuiondoa ccm.BAVICHA ilishawekewa msingi mzuri kusaidia harakati za kuiondoa ccm.Mchango wake ndio tunaoulilia kwa umuhimu wake.
Vijana wengi wamehamasika sana,hivyo wanamhitaji kamanda shupavu wa kuwaongoza.
Subiri kwanza tumuondoe ccm
 
Elewa kuwa kunamambo yanayofanya na mti mojammoja na kunavikundi, pia taasisi, vyote kwa pamoja vinatakiea kufanya kazi kwa pamoja na kwa kasi inayo endana.

Sasa wewe unaendesha gari kwa tair tatu moja imegoma kisha unajisifu na kupiga kifua kuwa gari inakimbia!?.

Bavicha tuamke

Kwa sisi tunaojua kazi zake niwatendaji bora sana
 
Kama unasema hujui katiba ndio tunakujuza sasa kuna namna yakuwasilisha hatufanyi kazi zetu ki ccm

Wewe sijui ni mgumu kuelewa ...sijui ni ulevi tu...sijui ni uropokaji....sipati jibu

Ila in short...Kama Patrobas angekuwa anafanya kazi yake ipasavyo....Lawama hizi za mara kwa mara zisingetokea
 
Wewe sijui ni mgumu kuelewa ...sijui ni ulevi tu...sijui ni uropokaji....sipati jibu

Ila in short...Kama Patrobas angekuwa anafanya kazi yake ipasavyo....Lawama hizi za mara kwa mara zisingetokea
Kazi anazofanya zimetukuka
 
CCM wamejipanga kimkakati kumshambulia M/kiti wa Bavicha. Naona wameanza kumwogopa, sasa ni mwendo wa kuanzisha thread! Poleni sana maana hata hili nalo mtashindwa!
Nivigumu kumuchafua mkuu kwani akuna kijana yeyote wa chama chochote ane sikika akifany arakati unajua watu wana chukulia siasa nikitu rahisi mbona hawaulizi vijana wa vyama vingine wako wap?
 
Hujaelewa ninacho kimaanisha mkuu, hivi hata kwenu unaingia tu na kuanza kuoakua wakati baba yako hajapakua chakula, tunahitaji bawacha yenye kasi na inayoonyesha njia,ili kuwatia moyo na wengine,unafikiri heche angekuwa anafanya kazi hivi leo tungekuwa na bawacha hii?.

Tuache mawazo mgando
Nimenukuu katiba ya chadema inayotuongoza, kama kila mtu akisimama kwa nafasi yake chama kitasonga mbele, Chadema sasa hivi inafanya kazi kitaasis badala ya kiharakati.

 
Ni wengi tunao ona ombwe la uongozi BAVICHA.Wengine ni wanachama na wengine wapenzi na wanamageuzi.
Huku tukijitahidi kutimiza wajibu wetu,tunaona pale juu kuna mtu kalala.Ni ubaya kumwamsha au kumtoa nje akapunge upepo ili mwingine aje afanye ule wajibu?
Hii si tu kwa ajili ya BAVICHA bali CHADEMA na taifa.
Tumeichoka ccm ndio maana hatutaki kuona mtu mzembemzembe.
Kama kweli wewe ni mwanachadema piga kazi mafanikio yataonekana, kama unasubiria viongozi wa kitaifa ndio waje kwenye maeneo yako waeneze chama ......kama wewe ni kiongozi wa Msingi au ngazi yoyote hautufai, kuwa tuu mwanachama wa kawaida. Hata mwanachama wa kawaida anatakiwa aeneze chama kwa eneo alilopo.

Ukisoma kadi ya Chadema kwa nyuma...Wajibu wa Mwanachama namba 3. (imetolewa kwenye katiba ya chadema) Imeeleza kwamba "Kutetea na kueneza itikadi, falsafa na Madhumuni ya chama ndani ya jamii anamoishi"
 
Niliyajua haya pale Heche alipomaliza muda wake.Bavicha kama youth wing imedorora sana,hamna mshikemshike kama uliokuwepo a wali.All in all,niliyatabiri haya.So I'm not surprised at all.
 
Back
Top Bottom