Kuna kitu hakiko sawa BAVICHA

Kuna kitu hakiko sawa BAVICHA

Mkuu si kila anaeweka post hapa ni ccm na haina maana kupokea sifa au kupenda.kusikia kile unachokitaka tu, ni busara kama unapenda kusifiwa basi upende na kukosolewa, chadema.haiwezi kupotezwa na post za jf bali inaweza kujirekebisha,
ndivo wanachama wa CDM mlivo soon watakuira msaliti sijajua wamershwa nn but hawatak ukwel usemwe.... sisi na ACT ....... VAA UZALENDO. mtauana wenyewe
 
Wanachama wa chadema wanafahamu taratibu za kupeleka mawazo yao kwenye chama. Nyie wengine ni either hamfahamu au ni walewale!

nimeuliza swali sijajibiwa .....Do you expect kila mtu .....aje kwenye vikao vya chama?

Do you expect CHADEMA itapigiwa kura na wanachama wake tu?

Hamdhani kuna wakereketwa wa mabadiliko ambao wataipigia kura chadema na hivyo wana haki ya kukosoa?

Nini mtazamo wenu kuhusu ukosoaji wa General Public?
 
kweli bavicha tuna kazi na hapa ndipo tunapoelewa kuna baadhi ua wanachama mi mizigo na wanapenda kupalilia matatizo.

Wewe utakuwa ni wakala wa magamba! Wanachama wa cdm wanafahamu utaratibu na wanapeleka maoni/mawazo yao kwenye chama na taasisi zake kwa utaratibu! Mnajifanya Bavicha na Bawacha kumbe ni UWT!
 
ndivo wanachama wa CDM mlivo soon watakuira msaliti sijajua wamershwa nn but hawatak ukwel usemwe.... sisi na ACT ....... VAA UZALENDO. mtauana wenyewe

Hatujaiomba ACT yako humu.....endeleeni na chama chenu...Ya CHADEMA tuachie...huu ndio uhai wetu...tunakosoana
 
Wewe utakuwa ni wakala wa magamba! Wanachama wa cdm wanafahamu utaratibu na wanapeleka maoni/mawazo yao kwenye chama na taasisi zake kwa utaratibu! Mnajifanya Bavicha na Bawacha kumbe ni UWT!

Kuna tatizo kubwa sana la uelewa na jinsi ya ku handle public opinion
 
I seriously doubt if this Chademakwanza is Ok upstairs, kila siku huwa tunasikia watanzania wenye kadi za vyama hawafiki hata millioni 15 na chama chenye wanachama wengi zaidi ni CCM wanachama millioni 5 tu kati ya watanzania millioni 45. Kwa akili ya huyu anayejiita Chademakwanza CCM inatakiwa kupata kura zisizozidi millioni 5,sijui ana elimu gani huyu jamaa.
Tupe mrejesho wa wewe umenezaje chama? Akiliyangu utaijua tuu maana nikiboko ya ccm
 
Last edited by a moderator:
I seriously doubt if this Chademakwanza is Ok upstairs, kila siku huwa tunasikia watanzania wenye kadi za vyama hawafiki hata millioni 15 na chama chenye wanachama wengi zaidi ni CCM wanachama millioni 5 tu kati ya watanzania millioni 45. Kwa akili ya huyu anayejiita Chademakwanza CCM inatakiwa kupata kura zisizozidi millioni 5,sijui ana elimu gani huyu jamaa.

Nina asilimia nyingi za uhakika this guy Sio mwanachadema...Ni CCM mtiifu kutokana na tabia zake humu jukwaani
 
dah hiyo operesheni kaanzisha yeye? kuwepo kuko hakotoshi kilitakiwa operesheni kama hizo kila mahali tanzania na mwenyekiti akionyesha mfano
Mimi nakaguaga operation zote hizo kwahiyo naelewa ninachozungumza ziropoki kama vijana wa lumumba
 
nimeuliza swali sijajibiwa .....Do you expect kila mtu .....aje kwenye vikao vya chama?

Do you expect CHADEMA itapigiwa kura na wanachama wake tu?

Hamdhani kuna wakereketwa wa mabadiliko ambao wataipigia kura chadema na hivyo wana haki ya kukosoa?

Nini mtazamo wenu kuhusu ukosoaji wa General Public?

Vikao vya chama vipo kwenye ngazi ya Msingi na ukipeleka maoni yanafika Taifa. Ukiwa mwanachama una wajibu wa kuhudhuria vikao vya chama! Kila mwanachama ana kikao cha kuhudhuria na niwajibu.

Chama kitapigiwa kura na wanachama, wapenzi, washabiki na wale watakaokubaliana na sera zetu. Tunaendelea kuwajengea imani watanzania kuwa sisi ndio tumaini jipya. Watakaotuelewa watatupigia Kura.

Kukosoa viongozi kwa wanachama ni kwa kufuata utaratibu, Otherwise itakuwa yale yale, Naibu Katibu mkuu anaenda kuulizia hesabu za chama kwenye Ofisi za PAC. Huo ni upuuzi!
 
ndivo wanachama wa CDM mlivo soon watakuira msaliti sijajua wamershwa nn but hawatak ukwel usemwe.... sisi na ACT ....... VAA UZALENDO. mtauana wenyewe

chama cha kifalme chini ya mfalme zana za kilimo...
 
Vikao vya chama vipo kwenye ngazi ya Msingi na ukipeleka maoni yanafika Taifa. Ukiwa mwanachama una wajibu wa kuhudhuria vikao vya chama! Kila mwanachama ana kikao cha kuhudhuria na niwajibu.

Chama kitapigiwa kura na wanachama, wapenzi, washabiki na wale watakaokubaliana na sera zetu. Tunaendelea kuwajengea imani watanzania kuwa sisi ndio tumaini jipya. Watakaotuelewa watatupigia Kura.

Kukosoa viongozi kwa wanachama ni kwa kufuata utaratibu, Otherwise itakuwa yale yale, Naibu Katibu mkuu anaenda kuulizia hesabu za chama kwenye Ofisi za PAC. Huo ni upuuzi!

Hili ndio tatizo la Bavicha hawapendi kukoselewa..
 
Back
Top Bottom