Kuna kitu hakiko sawa BAVICHA

Kuna kitu hakiko sawa BAVICHA

ni vema kuanzia ngazi ya vijiji vijana wote wakawekwa wazi juu ya ujio wa ACT na kazi zake, wote wakajuwa kazi aliopewa Zitto na CCM, wajuwe na kuelewa kama wengi wetu tunavyo elewa humu'

ACT na CCM wanatumia uelewa mdogo wa vijana, kuwarubuni ili waaminike ni vema bavicha kutoa elimu mapema.
 
ccm wamejipanga kimkakati kumshambulia m/kiti wa bavicha. Naona wameanza kumwogopa, sasa ni mwendo wa kuanzisha thread! Poleni sana maana hata hili nalo mtashindwa!

hapana kamanda tunataka paschal ajisasahihishe na apige kazi!
 
Sisi kama wanachama na wapenzi wa chadema bila kutegemea Bavicha, pia tuna juku la kutoa elimu kwa vijana.

Mm binafsi nimebadilisha mtazamo wa vijana wote wanao nizunguka juu ya Zitto.

Wameelewa na kutambuwa ujuio wa ACT na dhumu lao.

wameelewa CCM walivyo aribu taifa letu, hivyo ni jukumu letu sote, ila Mwenyekiti ana tuangusha, kiukweli tunzitaka Bavicha ya Heche sasa.

then ndio tuna mwaga sera za CHADEMA.
 
unataka kusema sa iv no kunadi sera mnadeal na zzk?interesting.
 
ukifuatilia cmmnt zote humu ndan utagundua mengi kuhusu chdm haswa suala la uwaz linavyopingwa.kijana freenlnd umejitahid kuwaelewesha bavicha wenzako lkn wap,mi nakupongeza kwa uwezo wako.ila chunga sana uanachama wako uko I.c.u mana kuna sku utauliza matumiz ya ruzuku,itakua.hatar
 
Una point patrobas kafifia inabidi awe alert mana now kibudu
 
Sisi kama wanachama na wapenzi wa chadema bila kutegemea Bavicha, pia tuna juku la kutoa elimu kwa vijana.

Mm binafsi nimebadilisha mtazamo wa vijana wote wanao nizunguka juu ya Zitto.

Wameelewa na kutambuwa ujuio wa ACT na dhumu lao.

wameelewa CCM walivyo aribu taifa letu, hivyo ni jukumu letu sote, ila Mwenyekiti ana tuangusha, kiukweli tunzitaka Bavicha ya Heche sasa.

then ndio tuna mwaga sera za CHADEMA.

Acha uongo, kama Zitto mlimfukuza mlitaka aache siasa? Acheni ujinga nyie, Chadema ni chama cha kibaguzi, kikabila, Kosa la Zotto ni kutaka kugombea uenyekiti wa mwenye chama Mbowe
 
Kuna mtu hapo anasema Heri Ben Saanane. Sijui kama huyo member apo juu anajua kilichotokea.Ben hawezi kukwepa lawama maana kama mwenyekiti aliyepatikana ndio huyu ni kwa sababu ya siasa za kukomoana za akina Ben ,Heche,Munishi na uongozi. Ben sikumuunga mkono katika uchaguzi ule na maandishi yangu yapo hadi sasa uku JF.Niliona kwamba ni lazima angeshinda lakini propaganda ya ukabila si ingetumaliza?alishauriwa ajitoe agombee hata ukatibu mkuu akagoma.Jamaa ni mbishi sana sasa ikabidi marekebisho ya kanuni yawekwe kwa kuwa yeye kazaliwa december83' ikawekwa awe amezaliwa januari 84'. Kwa kufanya hivyo akwa nje tayari lakini Nanyaro Ephata na Dani Naftali walikua na nguvu ya kushinda baada ya yeye kuondoa jina .Akina Heche na Munishi nadhani na uongozi wa juu walimtaka Naftali.Ben kwa hasira na kukomoana na kundi lake wakaamua kuhamishia kambi kwa Upendo Peneza na Petrobas na ilishuhudiwa waziwazi akina Ben wakipiga kampeni ya nguvu dhidi ya Naftali na Nanyaro huku wakiratibu kuelekeza kura kwa Petrobas na hata kwenye ukatibu mkuu kwa Mwita siku iliyofuata.Usiku wa kuamkia kampeni hadi Lema aliingilia uchaguzi kummaliza Nanyaro na ukumbini wakati wa kura akina Ben walielekeza karatasi za maswali ya uchokozi kwa Naftali wakammaliza.Walinikera sana kwa siasa hizi za kulipiza visasi.Ndio maana hata kwenye ule uzi wa mwezi uliopita Ben aliibuka kumtetea Petrobas .Ni lini Heche akiwa Mwenyekiti uliwahi kumuona Ben akimtetea alipopigwa mawe huku?Hapa ndipo baraza letu lilipopoteza Mwelekeo kwa sababu ya siasa za ubabe ,kukomoana na kulipiza visasi. Naftali angeshinda ule uchaguzi na kila mtu alijua.
 
Vikao vya chama vipo kwenye ngazi ya Msingi na ukipeleka maoni yanafika Taifa. Ukiwa mwanachama una wajibu wa kuhudhuria vikao vya chama! Kila mwanachama ana kikao cha kuhudhuria na niwajibu.

Chama kitapigiwa kura na wanachama, wapenzi, washabiki na wale watakaokubaliana na sera zetu. Tunaendelea kuwajengea imani watanzania kuwa sisi ndio tumaini jipya. Watakaotuelewa watatupigia Kura.

Kukosoa viongozi kwa wanachama ni kwa kufuata utaratibu, Otherwise itakuwa yale yale, Naibu Katibu mkuu anaenda kuulizia hesabu za chama kwenye Ofisi za PAC. Huo ni upuuzi!

Ya huyu kiongozi wa BAVICHA mimi siyajui na wala sitaki kuyaongelea hapa kwasababu sina uhakika na yanayosemwa kuhusu yeye lakini ningeyajua ningechangi ama kwa kumuunga mkono mleta mada au kumpinga kwa hoja.

Hata hivyo,utaratibu wa kutumia vikao vya chama kukosoa unawafaa kutumika zaidi kwa viongozi na si kwa mashabiki wengine wa kawaida na ambao ndio wapiga kura.

Kama watu wanatoa pongezi kwa viongozi na chama kupitia mitandaoni, ni kwanini basi iwe nongwa kukosoa?!Kukosoa si dhambi na kila mtu ana mawazo yake na isitoshe hakuna mtu aliekamilika.

Kumbukeni hizi ni nyakati za teknolojia kama hii mitandao ya kijamii na watu wako huru kutoa mawazo yao na pia hizi ni siasa za ushindani.

Mkiminya uhuru wa mawazo kwa mashabiki wa chama maana yake ni kuwataka watu hao wakatafute uhuru huo kwenye vyama vingine jambo ambalo si jema hata kidogo.

Mfano,msemaji wa chama ana akaunti hapa JF.Sasa akileta hoja au jambo hapa ina maana watu wasichangie wasubiri vikao vya chama?

Je,wapiga kura wa CHADEMA ni wanachama tu?

Jambo baya na hatari ni kwa viongozi kulumbana wao kwa wao hadharani na majukwaani lakini mashabiki wa kawaida tu waachwe watoe yao ya moyoni na uzuri penye ukweli uongo hujitenga hivyo alie mnafiki na mzushi mwisho wa siku ataishia kuumbuka tu.

Mtu kama ni pandikizi mwisho wa siku atajulikana tu na hapo ndio itakuwa sahihi kumpuuza na hata kumuita msaliti lakini si kama hivi mnavyofanya baadhi ya mashabiki wa CHADEMA hapa JF.

Tukumbuke hata Nyerere mwenyewe alikuwa anaikosoa CCM na viongozi wake tena hadharani kabisa na mchana kweupe.
 
ni vema kuanzia ngazi ya vijiji vijana wote wakawekwa wazi juu ya ujio wa ACT na kazi zake, wote wakajuwa kazi aliopewa Zitto na CCM, wajuwe na kuelewa kama wengi wetu tunavyo elewa humu'

ACT na CCM wanatumia uelewa mdogo wa vijana, kuwarubuni ili waaminike ni vema bavicha kutoa elimu mapema.

Mkuu uko nje ya mada
 
Kuna mtu hapo anasema Heri Ben Saanane. Sijui kama huyo member apo juu anajua kilichotokea.Ben hawezi kukwepa lawama maana kama mwenyekiti aliyepatikana ndio huyu ni kwa sababu ya siasa za kukomoana za akina Ben ,Heche,Munishi na uongozi. Ben sikumuunga mkono katika uchaguzi ule na maandishi yangu yapo hadi sasa uku JF.Niliona kwamba ni lazima angeshinda lakini propaganda ya ukabila si ingetumaliza?alishauriwa ajitoe agombee hata ukatibu mkuu akagoma.Jamaa ni mbishi sana sasa ikabidi marekebisho ya kanuni yawekwe kwa kuwa yeye kazaliwa december83' ikawekwa awe amezaliwa januari 84'. Kwa kufanya hivyo akwa nje tayari lakini Nanyaro Ephata na Dani Naftali walikua na nguvu ya kushinda baada ya yeye kuondoa jina .Akina Heche na Munishi nadhani na uongozi wa juu walimtaka Naftali.Ben kwa hasira na kukomoana na kundi lake wakaamua kuhamishia kambi kwa Upendo Peneza na Petrobas na ilishuhudiwa waziwazi akina Ben wakipiga kampeni ya nguvu dhidi ya Naftali na Nanyaro huku wakiratibu kuelekeza kura kwa Petrobas na hata kwenye ukatibu mkuu kwa Mwita siku iliyofuata.Usiku wa kuamkia kampeni hadi Lema aliingilia uchaguzi kummaliza Nanyaro na ukumbini wakati wa kura akina Ben walielekeza karatasi za maswali ya uchokozi kwa Naftali wakammaliza.Walinikera sana kwa siasa hizi za kulipiza visasi.Ndio maana hata kwenye ule uzi wa mwezi uliopita Ben aliibuka kumtetea Petrobas .Ni lini Heche akiwa Mwenyekiti uliwahi kumuona Ben akimtetea alipopigwa mawe huku?Hapa ndipo baraza letu lilipopoteza Mwelekeo kwa sababu ya siasa za ubabe ,kukomoana na kulipiza visasi. Naftali angeshinda ule uchaguzi na kila mtu alijua.

Hakika Bavicha ilimuhitaji mtu kama Ben Saanane au Upendo Furaha Peneza au Rose Mayemba. Bavicha imekufa kabisa kabisa haina mchango wowote wamebaki kuiga sauti za Mbowe na Slaa...Bavicha wanaihujumu chadema..
 
Last edited by a moderator:
CCM wamejipanga kimkakati kumshambulia M/kiti wa Bavicha. Naona wameanza kumwogopa, sasa ni mwendo wa kuanzisha thread! Poleni sana maana hata hili nalo mtashindwa!

Inamaana kutoka mioyoni kwenu hamuoni bavicha imepwaya?Fanyeni ulinganifu wakati wa Heche na sasa
 
Back
Top Bottom