Kuna kitu hakiko sawa BAVICHA

Kuna kitu hakiko sawa BAVICHA

Unadhani anayoyafanya mwenyekiti wa BAVICHA yanatakiwa yafahamike kwa BAVICHA tu?

Unadhani watanzania wote hawana haja ya kuona BAVICHA inafanya nini?



BAVICHA iko imara mkuu ondoa hofu,kila taasisi inaprogramme zake,uliza ametekeleza mangapi aliyoyaahidi?mengine majungu ,BAVICHA si mwenyekiti pekee,me nalia na Kitengo cha Habari BAVICHA,kiamke
 
si kweli mkuu kama anafanya ni kwafaida ya nani?,je anafanya ili aone pekeyake na waliomzunguka?, au inatakiwa jamii nzima ya watanzania ione. Hakuna anaemchukia na hakuna aliependekeza aondolewe bali kianzishwe chimbo ndani ya bavicha kitakachokuwa na majukumu ya kuamsha bavicha.



Kitengo cha habari BAVICHA ndo cha kuvisha lawama,hakifanyi Publicity ya kutosha,bt ushauri nao ni muhimu na utafanyiwa kazi,kwani hata mimi ni BAVICHA
 
BAVICHA iko imara mkuu ondoa hofu,kila taasisi inaprogramme zake,uliza ametekeleza mangapi aliyoyaahidi?mengine majungu ,BAVICHA si mwenyekiti pekee,me nalia na Kitengo cha Habari BAVICHA,kiamke

Kwani kitengo cha habari hakiko chini ya Mwenyekiti wa BAVICHA?

Hakuna mtu mwenye majungu hapa...watu tunakosoa hadharani na kwa fact.

Tunataka kuona baraza la vijana Vibrant...wao ndio walitakiwa wawe wana run the shownchi nzima....

walitakiwa wawe kweye midomo ya Watanzania

Tusilete visingizio eti kazi zinafanyika kimya kimya...Kazi ya siasa na kimya kimya wapi na wapi?

Patrobas ajitafakari....mshaurini aiweke timu yake vizuri...waingie kazini

Kama hawezi yeye aunde timu au task force ya kuendesha operesheni anuwai.....

Tatizo lililopo BAVICHA ni central Coordination
 
PISTO
Tambua kuwa chadema,inafanya mambo kisayansi,kila siku kuna staili ya kutoka.
Ushauri wako unaweza kupeleka ofisini kwao.
wanachama wa Bavicha wanataratibu zao,Heche alifyeka misitu,Patrobasi anajenga sasa hatia hizi hazifanani

Teh Teh kisayansi...
 
bavicha iko imara mkuu ondoa hofu,kila taasisi inaprogramme zake,uliza ametekeleza mangapi aliyoyaahidi?mengine majungu ,bavicha si mwenyekiti pekee,me nalia na kitengo cha habari bavicha,kiamke
unakubali nini na unakataanini sasa,hizo habari unataka zitoke wapi? Jamaniiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii bavicha tuamke
 
kwani kitengo cha habari hakiko chini ya mwenyekiti wa bavicha?

Hakuna mtu mwenye majungu hapa...watu tunakosoa hadharani na kwa fact.

Tunataka kuona baraza la vijana vibrant...wao ndio walitakiwa wawe wana run the shownchi nzima....

Walitakiwa wawe kweye midomo ya watanzania

tusilete visingizio eti kazi zinafanyika kimya kimya...kazi ya siasa na kimya kimya wapi na wapi?

Patrobas ajitafakari....mshaurini aiweke timu yake vizuri...waingie kazini

kama hawezi yeye aunde timu au task force ya kuendesha operesheni anuwai.....

Tatizo lililopo bavicha ni central coordination
i like you kamanda
 
Mkuu huna card wala nini huwezi kukipenda kitu usichokijua hata mbwa anapenda dampo kwakua analijua anapata chakula

Kwa mawazo yako unafikiri wanaokipigia kura ya ndio chadema wote ni wanachama?
 
BAVICHA inabeba matumaini makubwa kwa taifa hili ambalo kwa takwimu za sensa ya mwaka 2012 ni taifa la vijana.

Sensa ya mwaka 2012 ilionesha taarifa zifuatazo

[TABLE="class: cms_table, width: 500"]
[TR]
[TD]Umri
[/TD]
[TD]Idadi ya watu
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Miaka 0-4[/TD]
[TD]7,273,832[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Miaka 4 hadi 14[/TD]
[TD]12,451,624[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Muaka 14 hadi 17[/TD]
[TD]2,779,070[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Miaka 17 hadi 60[/TD]
[TD]18,179,978[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Miaka 60 hadi 65[/TD]
[TD][TABLE="class: cms_table, width: 145"]
[TR]
[TD] 2,507,568[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Miaka 65 na kuendelea[/TD]
[TD]1,736,851[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Jumla
[/TD]
[TD]44,928,923
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]


Ukisoma Takwimu hizo za baraza la taifa la Takwimu (National Bureau of Statistics | Statistics for Development) ni kwamba zaidi ya watanzania milioni 30 ni Vijana.Hawa ndio BAVICHA inabeba matumaini yao yote.

Kati yao Milioni 22 ni vijana na watoto chini ya miaka 17.BAVICHA ianabeba matumaini yao.

BAVICHA Inatakiwa itambue kwamba serikali iliyopo imeshindwa kulisaidia taifa hili hasa katika hali ya maisha ,elimu,afya ,ajira,kuondokana na subsistence economy n.k
 
By Freeland :
A lady Upendo Furaha Peneza
would have fitted for this
job.....Tumepoteza sana kwa
yule Patrobas kuchukua hii Youth
Wing



Finally you show up your colours!
 
By Freeland :
A lady Upendo Furaha Peneza
would have fitted for this
job.....Tumepoteza sana kwa
yule Patrobas kuchukua hii Youth
Wing



Finally you show up your colours!

Mkuu...ebu tusianze kuokotezaaaaaa comments ili kukimbia hoja

Nina haki ya kutoa maoni na matazamo wangu as far as naona mambo hayaendi sawa.

Hii ni wake up Call kwa mwenyekiti wa Bavicha........Akiendelea kwa mwendendo huu of course tutakuwa tumepoteza big time
 
Mwenyekiti Bavicha anawatia viwewe vibaraka Wa CCM...

Kiukweli mwenyekiti wetu wa bavicha amepwaya sana viatu alivyo vaa ni vikubwa sana kwake anatakiwa kujitathmini upya. Popote hapa sio mahali pake pa kusemea lkn tatizo lipo. Lazima tumwambie ukweli ajirekebishe kabla hajachelewa. Mbona kamanda Mawazo anapiga kazi na inaonekana? Walioko kanda ya ziwa naamini ni mashahidi.
 
Are you sure? Nina wasiwasi mkubwa sana na wewe ...Wewe sio Mwanachama wala shabiki wa CHADEMA

Wewe ni mwanachama wa CCM ndani ya ID inayojifanya ni CHADEMA

Lengo lako ikiwa ni kuropoka kuonesha kwamba CHADEMA kuna wapuuzi kama waliopo CCM
Upo sahihi sana ndugu.Huyo jamaa yupo kwenye mission hiyo.Hajawahi kuongea point hata moja.Nawashangaa sana wanaomuunga mkono na huku wanajiita makamanda.

Na ndiye kiongozi wa hii mentality kuwa kila anayekosoa hata kama ni kwa hoja kiasi gani basi ni mwanaccm.Na kuna watu wamehadaiwa mpaka wanatia huruma na jamaa.Kama sivyo basi wapo kwenye mission moja
 
Mwenyekiti wa BAVICHA kashindwa kazi, chama kitafute mtu mwingine vijana wa CHADEMA hatutaki kuliuwa baraza hili kabisa, leo hii ipo wapi tofauti ya UVCCM na BAVICHA?
 
Chademakwanza umenikwaza sana!!!

Mwenyekiti wa BAVICHA kashindwa kazi! That is a fact! Angalia mdee alipochukua tu kiti alifanya amsha amsha tukajua Bawacha imepata jembe!! Though sasa ivi kapoa kidogo.

Huyu wa bavicha hata jina lake ndo nimelijua leo!! huyu ni janga!! mi ni mpenzi wa mabadiliko so nasikitika pale nnapoona kitengo muhimu cha kusukuma haya mabadiliko kimepata steringi bogas kama huyu patrogas!!
 
Back
Top Bottom