Chademakwanza
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 6,346
- 1,872
Zimetukuka wapi?
Kwenye kuwashugulikia ccm
Zimetukuka wapi?
Niliyajua haya pale Heche alipomaliza muda wake.Bavicha kama youth wing imedorora sana,hamna mshikemshike kama uliokuwepo a wali.All in all,niliyatabiri haya.So I'm not surprised at all.
Patrobas anakera...Enzi hizi zinatakiwa kuwa na BAVICHA vibrant
Heche aliiweza nafasi hii
This guy is a disgrace
Kwenye kuwashugulikia ccm
Huyo ni mwana CCM mwenzenu mkuu...akili zake zinafanana sana na zako na za laki si pesa
kweli bavicha tuna kazi na hapa ndipo tunapoelewa kuna baadhi ua wanachama mi mizigo na wanapenda kupalilia matatizo.Ukitaka kudhibitisha wewe ni kibaraka na umetumwa na lumumba ni kwamba hujui tofauti ya Bavicha na Bawacha!!Mtaweweseka sana mwaka Huu magamba!!
Heche ni kiongozi na mwana harakati. Katambi ni kiongozi, hana traits za kiharakati
Unawashughulikiaje CCM? Kwa kuropoka kama wao waropokavyo?
Pole sana Kwa kuwaza kifisi fisi
Tulia utaona october mtajifungia kwenye yale makabati ya fisi
Chama Cha Democrasia na Maendeleo CHADEMA chini ya majemedari wawili Mbowe na Dr Slaa hakika katika siasa za Mageuzi hamtasaulika kamwe, na hakuna wakufananishwa nanyi kwa fikira zangu. CHADEMA tumeona matunda yenu ni mengi kwa Taifa letu kwa hilo nawapongeza kwa dhati ya moyo wangu, mwaka jana kila mtu anajua kuwa CONGRESS ilikuwa ya mfano katika siasa zetu za upinzani you did fantastic. Nije katika kile nilichopenda kushare nanyi kwa muono wangu juu ya Uchaguzi wa BAVICHA ambapo M/Kiti wake ni Pastrobas Katambi ni kijana msomi na muhimu kati chama ila nafasi ya kuwa Rais wa BAVICHA ameshindwa kuitendea haki hang,ati wala haumi hakika Baraza limepoa sana. Sababu ya kumchagua ni za kikabila na kikanda mlisikiliza propoganda na kweli zimewatosa kuwa chama kina element za ukanda na ukabila mkaamua kuacha vijana wenye maono mkamchagua mtu kwa kuogopa kadhia hiyo. Mfano mswada wa Mnyika wa Baraza la vijana hakuna tena lakini ulikuwa wajibu wa BAVICHA kupiga kelele na vijana wote wakajua kuhusu hilo. THANKS
Kwa sisi tunaojua kazi zake niwatendaji bora sana
Unadhani wote tuna akili kama za kwako?
hatuja kataa hilo, swali ni je unafikiri kung"ang"ania ofisini kutaisaibia,bavicha?
Unajielewa kweli wewe? au una hangover?
A serious CHADEMA Cadre can not act stupidly like you.
Chadema wako imara sana kuliko unavyoweza kufikiri, tulia tu utaonaNi wengi tunao ona ombwe la uongozi BAVICHA.Wengine ni wanachama na wengine wapenzi na wanamageuzi.
Huku tukijitahidi kutimiza wajibu wetu,tunaona pale juu kuna mtu kalala.Ni ubaya kumwamsha au kumtoa nje akapunge upepo ili mwingine aje afanye ule wajibu?
Hii si tu kwa ajili ya BAVICHA bali CHADEMA na taifa.
Tumeichoka ccm ndio maana hatutaki kuona mtu mzembemzembe.
Naona kila mtu ananena kwa lugha yake.
Unajielewa kweli wewe? au una hangover?
A serious CHADEMA Cadre can not act stupidly like you.
Kwa hio CHADEMA mtapigiwa kura na wanachama wenu tu wenye kadi?
Kwa hio kura za wasio wanachama wenu hamzitaki?
Wewe una matatizo tena sio madogo...na yako Upstairs